MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Kwa hiyo hao wanaoshangilia, walikuwa wanashangilia nyimbo?
Hapana. Walikunwa na porojo za Heche.
Kwa hiyo hao wanaoshangilia, walikuwa wanashangilia nyimbo?
foxy kwa lugha za kimarekani kilichojaa ni wale prostituters walioshindikana
Nini ilikuwa Ajenda ya mkutano?
Vipi na wewe haukuwepo kibo palace kuhongwa bia na joshua nasari kwa siku mbili na wenzako kina mungi. Cheap politicianhiyo ndiyo cdm mjomba , imeteketeza ccm nchi nzima , imehakikisha ccm imefirisika kwa hela za kuhujumu cdm !
In CHADEMA we TRUST
ninao uwezo wa kukupa bia 5 kila siku kwa muda wako wote uliosalia hapa dunia , sasa unaweza kukuta mungi ndiye alikuwa anampa bia mbunge wake ,hiyo ni kawaida tu , huku cdm vijana wote wanajiweza .Vipi na wewe haukuwepo kibo palace kuhongwa bia na joshua nasari kwa siku mbili na wenzako kina mungi. Cheap politician
Kwa taarifa nilizonazo joshua nasari kwa siku mbili kawalaza kibo palace kuwalamba miguu kwa kuwasaliti mtandao uliomuweka kwenye ubunge . Kanusha hilininao uwezo wa kukupa bia 5 kila siku kwa muda wako wote uliosalia hapa dunia , sasa unaweza kukuta mungi ndiye alikuwa anampa bia mbunge wake ,hiyo ni kawaida tu , huku cdm vijana wote wanajiweza .
Nini ilikuwa Ajenda ya mkutano?
Nini ilikuwa Ajenda ya mkutano?
Kwa taarifa nilizonazo joshua nasari kwa siku mbili kawalaza kibo palace kuwalamba miguu kwa kuwasaliti mtandao uliomuweka kwenye ubunge . Kanusha hili
Mwaka huu mtatafuta kila cha kusema, majibu yapo kwa Kinana. Kiboko yenu. Chopa tatu kata tatu, Kalenga na Chalinze, na uchaguzi mdogo wakaribia, mtalia sana.
Unadhani ruzuku ya Chadema inatoka wapi kama siyo kwenye ilo deni.nyie ndio mmesababisha deni la taifa kufikia trilion 30 kwa ulafi wenu ( kuropoka ropoka sana ili mlipwe)!