John Heche apokelewa kama mfalme, afunika Itilima

John Heche apokelewa kama mfalme, afunika Itilima

namkubali kweli huyu jamaa,hizi siku 498 zilizosalia kabla uchaguzi mkuu inatakiwa ccm kuwapeleka mpela mpela,hadi waipate habari yao
 
Ameonyesha uwezo, kujenga hoja kusimamia anachokiamini. Anaelimisha jamii kuhusu kujijua, haki, na sheria ya nchi.

Anotoa elimu ya uraia na umuhimu wa katiba kwa wananchi bila kupaka rangi.

Anawaamsha wananchini na umuhimu wa kusimamia moni yao kwenye rasimu ya katiba inayotaka kubwakwa na wana CCM, kwa faida ya wana CCM wachache.

Hakuna kulala mpaka walale wao.

Khaa!! Jinga kwelikweli. Umemlinganisha na kina nani wengine?? Kwa vigezo vipi?? Kwanini?? Kina nani walihusika?? Au umelewa tuukapost huu uharo?? Acha ujinga bana
 
Hila za Lumumba na ufisadi zitawamaliza kubalini nchi imewashinda, chadema ni chama makini nakinakubalika
 
Kupokelewa kama mfalme si tatizo, yeye kama mwenyekiti wa vijana atueleze strategies alizoziandaa na sisi vijana tushirikiane na chama in a more systematic way

ameseema ana mkakati wa kuingiza hoja ya deni la taifa kwenye ilani ya chama mwaka 2015 kuwa chadema itahakikisha ndani ya miaka mitano inapunguza deni la taifa amabalo limeletwa na ccm
anasema mpango mwingine ni kuelimisha vijana kutoamini katika fedha
hana strategy za papo kwa papo naona ana za philosophical and long term
 
Khaa!! Jinga kwelikweli. Umemlinganisha na kina nani wengine?? Kwa vigezo vipi?? Kwanini?? Kina nani walihusika?? Au umelewa tuukapost huu uharo?? Acha ujinga bana

mi naona jinga ni hili lilioandika ujinga hapa badala ya hoja na jina lake ni roho mbaya
 
Wee subiri waje wachumia tumbo hapa wa Lumumba kwa ujira wa b7 uone watakavyoharisha.

nasikia wameongezewa imekuwa 10 ndio maana deni la taifa nalo linashoot ila kuna siku wataandamana maana sasa wengine na computer wameuza wakidhani zipo za bure haha
 
quote_icon.png
By MSALANI


Msalani si ni chooni ama sijaelewa?
 
Hawa wakina mama wataki kanga za india za elfu mbili tena CCM komeni sasa
attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom