John Heche apokelewa kama mfalme, afunika Itilima

Mkuu.

Naamini hapo kwenye "UWA" umemaanisha "Huwa" kwa hili tu unapaswa kujitafakari maana umeshindwa kuandika kiswahili fasaha. Ni madhara ya kuharibiwa kwa mfumo wa elimu na chama unacho shabikia.

Mapokezi ya Chifu au Mfalme au kiongozi yoyote aliyepewa heshima na jamii aliyoikuta hutegemeana na utamaduni wa eneo husika. Itilima wanamfunga furushi la khanga kiongozi kama ishara ya kumthamini, kama wanavyofanya kwa machiefu wao, kama walivyo mpokea Heche kama mfalme.

Kama "mfalme" sishangazwi na neno hilo haswa baada ya Ufipa kuchakachuwa katiba iliyoachwa na kina Bob Makani.

Ufalme nje-nje. Imefikia mpaka kurithishana baba mkwe na mkwe. Tumesoma humu pia kuwa Mfalme mstaafu Mtei hamtaki tena Slaa, hayuko kwenye ukoo. Vipi wewe? bado unahitajika au unajipendekeza-pendekeza tu?

Kama hivi kumpamba mtu eti "kama mfalme". Khaa, mwanamme mzima kupamba wanaume wenzio kwa maslahi hata haya huoni?
 
Huyu hapo ndio alikuwa mgombea wa ccm mwaka 2010 na alikuwa wa pili kwa asilimia 45 nyuma ya Bwana Mapesa.

Na uano waona ni wana CCM walio amua kuachana na chama cha kuchakachua maoni ya wananchi achili mbali ufisadi wa kila kukicha.

Hutaaki niseme kama "mfalme" ulitaka niseme kama FISADI au kama JANGILI?!

Hivi kwenye kiswahili cha darasa la kwanza msamiati "kama" bado ni mgumu kwako?!
 
Kuna ufisadi zaidi ya kubadili katiba kinyemela na kujikita kwenye Ufalme?
 
Kuna ufisadi zaidi ya kubadili katiba kinyemela na kujikita kwenye Ufalme?

Mkuu.

Acha kutapa tapa kama Mwigamba! alipeleka shauri kwa msajili kuhusu unacho lalamika hapa tena yeye akiwa ameshiriki mchakato mzima akiwa kiongozi. Muombe majibu aliyopewa na msajili na jiulize kwa nini yuko kimya hatapitapi tena kuhusu hilo?!

Vipi kuhusu swala la mchakato wa katiba ya nchi, CCM kuhodhi mchakato na kupuuza maoni ya wananchi kupitia tume ya Warioba?! Hilo kwako sio muhimu kabisa maana halina maana kwa Taifa?!
 
Safi sana CHADEMA, inasonga mbele kwambele mpaka kieleweke,

Maccm yamekelia propaganda za kwenye media na misukule ya JF kwa ujila wa buku7 kwa mwezi.

Maccm yanaona eti hiyo ndio siasa.. shame on maccm
 
Mkuu.

Huyu hapo ndio alikuwa mgombea wa ccm mwaka 2010 na alikuwa wa pili kwa asilimia 45 nyuma ya Bwana Mapesa.

Na uano waona ni wana CCM walio amua kuachana na chama cha kuchakachua maoni ya wananchi achili mbali ufisadi wa kila kukicha.

Hutaaki niseme kama "mfalme" ulitaka niseme kama FISADI au kama JANGILI?!

Hivi kwenye kiswahili cha darasa la kwanza msamiati "kama" bado ni mgumu kwako?!
Kujifanya kukosoa wenzako kwenye kuandika kiswahili kumbe na wewe mtupu tu ulivyoandika neno "JANGILI" ulikuwa una maanisha "JANGIRI".

Halafu wewe ndiyo mwalimu...majanga.
 
heche ni msukule wa mbowe

Kama unayo sema utakuwa sahihi walau kwa -0.000003 asilimia, huoni kuwa kama ni msukule basi utakuwa msukule mzuri sana ulio safiri na kwenda kupokewa kwa bashasha na kupata watu unao ona kwenye picha ikiwa ni pamoja na mgombea wa ccm aliyeshika nafasi ya pili?!
 
Hivi CCM, hawana Mwenyekiti wa umoja wa vijana? kama vipi kwa nini hiyo kazi wasimpe Juliana Shonza mbona anaiweza sana.
 
Last edited by a moderator:
Kujifanya kukosoa wenzako kwenye kuandika kiswahili kumbe na wewe mtupu tu ulivyoandika neno "JANGILI" ulikuwa una maanisha "JANGIRI".

Halafu wewe ndiyo mwalimu...majanga.
tujikite kwenye hoja ya msingi, japo katika hilo hilo neno JANGIRI, kwamba CCM NI MA JANGIRI, haya discuss
 
1. Ccm kudharau maoni ya wananchi kwenye rasimu ya tume ya Warioba.

2. Kupaaa kwa deni la taifa ambapo sasa hata mtoto aliye tumboni anadaiwa shilingi 400000

3. Wizi wa fedha za walipa kodi kupitia Escrow akaunti

4. Utawala mbovu nawa kidhalimu usio heshimu haki za kiraia na kidemokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2015.

Na ile agenda ya kudumu ya ufisadi na katiba mpya na bora yenye maoni ya wananchi na si kikundi cha walinda maslahi.

Asante.

umesahu misamaha ya kodi na kejeli za P.A.Y.E kwa wafanyakazi
 
heche ni msukule wa mbowe

Hivi Msukule ni nini? Hili neno nimekuwa nikilisikia toka nikiwa mdogo likiongewa sana na watu wanaoendekeza mambo ya kishirikina shirikina, kilozi na kichawi.

Maana yake ni nini haswa mkuu, na huwa mnafanyaje fanyaje hadi mtu awe msukule,
 
Bangi siyo sigara jamani acheni mfalme anapokelewa na khanga huyo makondo kaanda wahuni wachache nakuwapa pombe ya kienyeji alafu mnasema kundi LA wamama nani anayemfahamu heche heche ninani ?

Ww si tunakujua ni cha wote badilika hata uwe cha wageni bac, kama upo hapa kutukana nami sitoacha kukutukana nasema hv pigwa cha asubuh kwanza na mwigulu ndo ukae sawa
 
Binafsi huwa namkubali sana kamanda Heche! Hivi m/kiti wa UVCCM ni nani? Sikumbukia jina jamani.
 
Kujifanya kukosoa wenzako kwenye kuandika kiswahili kumbe na wewe mtupu tu ulivyoandika neno "JANGILI" ulikuwa una maanisha "JANGIRI".

Halafu wewe ndiyo mwalimu...majanga.

Hapa Jangili nilikuwa namaanisha yule ambaye meli yake ilikamatwa na meno ya tembo. Hawezi kufananishwa na ulio wataja ambao wanavua samaki kwa kutumia mabomu.
 
Watanzania! Chukieni matumizi ya lugha za matusi. Hivi watu wenye busara zao wakiona sentensi hiyo kweli wakuvalue kuwa wewe na kundi lako mnafaa hata kuswaga ng'ombe? Au watakuwa na hamu ya kukutana nanyi? Jengeni hoja ambazo mtu mwenye akili si kama wewe atashawishika na kukuunga mkono!

Vinginevyo, endeleeni kumuunga mkono kagame - rais wenu wa awamu ya tano! kisha almasi na dhahabu anazoiba kongo ndizo mtumie kurushia HELKOPITA! Kabla ya sijaimbiwa nyimbo za RIP mwisho wenu nitauona!

AKATI KIKONZE KAKILA'MUYAGA! UKEMBHUYE INDAKI UMALA IMBHINONKO!

KUNA MATUSI lakini PIA KUNA LUGHA YA KUFUNDISHIA .
 
Back
Top Bottom