frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Mfalme wa wapi uwa anapokelewa hivyo.
Wakati tunasoma mwanza haukuwa hivi.
Mfalme wa wapi uwa anapokelewa hivyo.
CDM hamasisheni wananchi hasa vijana wajitokeze kwa wingi kujiandikisha daftari la mpiga kura. Wasiogope kula ccm kura cdm. Waelimishwe kuwa kura ni siri na mgombea huwa hawezi kufahamu aliyempigia kura au la hivyo wasiogope. Hamasishaaa nyumba hadi nyumba kitanda hadi kitanda. Si msemo wangu ila wa mama Salma wakati wa kampeni 2010 huko Kusini.
Ha ha ha!!inasemekana hao wote ni jeshi la mtu mmoja !
Mfalme wa wapi uwa anapokelewa hivyo.
Maweeeeeeeeee................... Niliambiwa Chadema imekufa jamani, sasa huyu si ni mwenyekiti tu wa BAVICHA? Sasa angekuwa Dr hapo au Mkiti taifa ingekuwaje?
BACK TANGANYIKA
hamna kitu hapo chadema kwishiney
Kama "mfalme" sishangazwi na neno hilo haswa baada ya Ufipa kuchakachuwa katiba iliyoachwa na kina Bob Makani.
Ufalme nje-nje. Imefikia mpaka kurithishana baba mkwe na mkwe. Tumesoma humu pia kuwa Mfalme mstaafu Mtei hamtaki tena Slaa, hayuko kwenye ukoo. Vipi wewe? bado unahitajika au unajipendekeza-pendekeza tu?
Kama hivi kumpamba mtu eti "kama mfalme". Khaa, mwanamme mzima kupamba wanaume wenzio kwa maslahi hata haya huoni?
Kwa heri udp Bariadi,Itilima na Kisesa.karibu Chadema uongoze majimbo hayo!! Nafarijika kusikia chadema imefika hadi nyumbani Bariadi na Itilima.
mkuu kama kuna hazina mnayo ndani ya chama chenu huyu dogo ni mkali kwa kweli alikuja tabora sifichi pamoja na nguvu kubwa waliotumia kina rage kuandaa vibaka wa kuzomea dogo akisimama anazungumza data na ana volume za kutosha
mlindeni sana ni ushauri tu mkuu
nyie ndio mmesababisha deni la taifa kufikia trilion 30 kwa ulafi wenu ( kuropoka ropoka sana ili mlipwe)!
Watanzania! Chukieni matumizi ya lugha za matusi. Hivi watu wenye busara zao wakiona sentensi hiyo kweli wakuvalue kuwa wewe na kundi lako mnafaa hata kuswaga ng'ombe? Au watakuwa na hamu ya kukutana nanyi? Jengeni hoja ambazo mtu mwenye akili si kama wewe atashawishika na kukuunga mkono!
Vinginevyo, endeleeni kumuunga mkono kagame - rais wenu wa awamu ya tano! kisha almasi na dhahabu anazoiba kongo ndizo mtumie kurushia HELKOPITA! Kabla ya sijaimbiwa nyimbo za RIP mwisho wenu nitauona!
AKATI KIKONZE KAKILA'MUYAGA! UKEMBHUYE INDAKI UMALA IMBHINONKO!
![]()
Kwi kwi kwi teh teh teh!
1. Ccm kudharau maoni ya wananchi kwenye rasimu ya tume ya Warioba.
2. Kupaaa kwa deni la taifa ambapo sasa hata mtoto aliye tumboni anadaiwa shilingi 400000
3. Wizi wa fedha za walipa kodi kupitia Escrow akaunti
4. Utawala mbovu nawa kidhalimu usio heshimu haki za kiraia na kidemokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2015.
Na ile agenda ya kudumu ya ufisadi na katiba mpya na bora yenye maoni ya wananchi na si kikundi cha walinda maslahi.
Asante.
Nini ilikuwa Ajenda ya mkutano?
Angalau leo fahamu imekujia umeandika kinachoweza kusomeka kwa hekima.
Jibu nini ilikuwa ajenda ya mkutano. Nimeuliza hivyo kwa sababu namjua Heche hana busara za kuongea kitu cha maana.
Itilima ni ya mageuzi na kama CDM wataunganisha nguvu na UDP inayokata roho kule basi watashinda uchaguzi ujao kwa zaidi ya 80%