TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,649
- 1,128
Mimi si mwanachama wa chadema wala si shabiki wa chadema, nimekuwa neutral nimekuwa nampa kura kiongozi anayeongea sera za maendeleo kwa manufaa ya wananchi, watu hao hata ndani ya CCM wapo, LAKINI baada ya kuanza mchakato wa katiba mpya, nimeichukia CCM na yeyote anayeiunga mkono kwa namna moja ama nyingine, nimegundua kuwa ccm hawana lengo zuri kwa watanzania na wameweka masilahi ya chama mbele kuliko masilahi ya wanachama.
Nimegundua kuwa mashabiki na viongozi wa CCM ni wanafiki, wanajua ni nini wananchi wanataka lakini kwa unazi na ukereketwa wa kip.umbav.u wa KICCM wamekuwa kama wamefungwa bongo zao hawataki kuangalia upande wa ukweli huku wameweka mbele masilahi binafsi.
CCM wamekuwa wakipita kwa wananchi wakieneza propaganda za kijinga, na tageti yao imekuwa kwa wazee na wanawake wa vijijini, wasio jua ukweli wa nini kinaendelea, wakiwatia hofu kuwa mageuzi yataleta fujo.
Kinana mtu mzima amekuwa akipita akiwaambia wananchi kuwa katiba haitawasaidia chochote, wataendelea kukaa katika nyumba zao za nyasi hata kama katiba mpya ikipatikana, hayo sio maneno yanayotakiwa kuzungumzwa na kiongozi mkubwa katika chama tena chama tawala. Kama anajua kuwa katiba haitaleta chochote kwa wananchi, kwanini wao kama chama na kiongozi wao mkuu wamekubali kuanzisha mchakato wa rasimu na kisha kuubariki kuingia bungeni, na kutumia pesa nyingi za walipa kodi, kisha wanakuja na kauli za ki,she,nzi kabisa.
Kama jambo baya litatokea katika nchi hii CCM watabema lawama kubwa kutokana na mambo wanayo yafanya.
You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time.
Abraham Lincoln
FREEDOM IS COMING, Haijalishi how long it will take, if its within a year, 2yrs, 5yrs even 10 yrs lakini itafika siku watanzania watasema ' SASA BASI"