John Heche apokelewa kama mfalme, afunika Itilima

Nini ilikuwa Ajenda ya mkutano?

Yaliyozungumzwa hayana tofauti na haya hapa kwenye hizi video hapa chini unaweza kuzifungua na kusikiliza kilichoongelewa hususani kilio cha Kinana kule Urambo Tabora.

Last edited by a moderator:
Vipi na wewe haukuwepo kibo palace kuhongwa bia na joshua nasari kwa siku mbili na wenzako kina mungi. Cheap politician
ninao uwezo wa kukupa bia 5 kila siku kwa muda wako wote uliosalia hapa dunia , sasa unaweza kukuta mungi ndiye alikuwa anampa bia mbunge wake ,hiyo ni kawaida tu , huku cdm vijana wote wanajiweza .
 
Chadema wana bahati kumpata huyo mgombea wa CCM maana mwaka 2010 alimsumbua sana Cheyo hadi akaanguka jukwaani. Na mzee wa Mapesa kama sasa vijana wake wanahama UDP basi CDM watachukua Itilima maana CCM haina mtu tena hasa ukizingatia matajiri wachache waliokuwa wakitukana wapiga kura tu na pesa zao.
 
ninao uwezo wa kukupa bia 5 kila siku kwa muda wako wote uliosalia hapa dunia , sasa unaweza kukuta mungi ndiye alikuwa anampa bia mbunge wake ,hiyo ni kawaida tu , huku cdm vijana wote wanajiweza .
Kwa taarifa nilizonazo joshua nasari kwa siku mbili kawalaza kibo palace kuwalamba miguu kwa kuwasaliti mtandao uliomuweka kwenye ubunge . Kanusha hili
 
Nini ilikuwa Ajenda ya mkutano?

Agendaya mkutano ni sera mbovu za ccm juu ya kilimo cha pamba kilichokosa soko bora,kushuka kwa uzalishaji kunakosababishwa na ukosefu wa soko hadi kumpelekea vijana kwenda mjini kutafuta biashara za kimachinga,huku wakiahidiwa machinga complex zisizo isha
 
Kujitambua kulikokuwa kunatarajiwa ni pale tu wasukuma walipojitambua tumejua sasaccm kwishinei ,jamaa wamesoma hawahongeki tena,ukistaajabu ya itilima kayaone ya mwanza kwa wenje
 
Mbona wananchi hawana nguo za chadema kama ilivyo mikutano ya ccm?ccm hupata wapi nguo za kuwapa wasikilizaji wote?hao wanaovaa sare za ccm huwa ni wanachama wote wa ccm?ina maana kama huna sare na sii mwanachama huruhusiwi kwenda mkutano wa ccm MSALANI, Ritz, FaizaFoxy

Mwaka huu mtatafuta kila cha kusema, majibu yapo kwa Kinana. Kiboko yenu. Chopa tatu kata tatu, Kalenga na Chalinze, na uchaguzi mdogo wakaribia, mtalia sana.
 
Kwa taarifa nilizonazo joshua nasari kwa siku mbili kawalaza kibo palace kuwalamba miguu kwa kuwasaliti mtandao uliomuweka kwenye ubunge . Kanusha hili

huna lolote bhana , kwanza sijawahi ona mmarangu wa namna hii , wewe utakuwa wa rufiji tu , hivi kwanini mnakataa kwenu jamani ?
 
Mwaka huu mtatafuta kila cha kusema, majibu yapo kwa Kinana. Kiboko yenu. Chopa tatu kata tatu, Kalenga na Chalinze, na uchaguzi mdogo wakaribia, mtalia sana.

HIVI KWANINI CCM wanapendwa MAHALI PASIPOKUWA NA MAENDELEO ?
 
Kupokelewa kama mfalme si tatizo, yeye kama mwenyekiti wa vijana atueleze strategies alizoziandaa na sisi vijana tushirikiane na chama in a more systematic way
 
Ameonyesha uwezo, kujenga hoja kusimamia anachokiamini. Anaelimisha jamii kuhusu kujijua, haki, na sheria ya nchi.

Anotoa elimu ya uraia na umuhimu wa katiba kwa wananchi bila kupaka rangi.

Anawaamsha wananchini na umuhimu wa kusimamia moni yao kwenye rasimu ya katiba inayotaka kubwakwa na wana CCM, kwa faida ya wana CCM wachache.

Hakuna kulala mpaka walale wao.
 
Back
Top Bottom