Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 487
- 116
- Thread starter
- #21
Lissu saiz yake Sufiani Juma NkundaNitajie mmoja huko ccm anaeweza kumshinda Lissu kinyume na kutumia nguvu za dola.

Lissu tapeli nani amuonee wivu,hapa wizaran naweza kumlisha lisu na lema mwaka mzimaBaaaaaasii baada ya kuona huu muandiko wako hapo mwisho nimegundua hakuna uhalisia kweny hoja yako bali ni chuki dhidi ya akili kubwa lissu!!
Ushakunywa kisungura unaongea kama mavi yatokavyo matakoni mwakoChomoa kama inauma
Tunaangalia maslahi ya chama na nchi kwa ujumla. Sio Heche kuupata uraisi tu.Umofia wakuu...
Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.
Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.
Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu. Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka Chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.
Heche fanya mageuzi haraka, Lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.
Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Mnahitaji mtu aliye huru,mpeni heche uenyekiti alafu aongoze mapambano kamiliTunaangalia maslahi ya chama na nchi kwa ujumla. Sio Heche kuupata uraisi tu.
Hayo mageuzi kwasasa huoni yataleta mkanganyiko ndani ya chama ? kipindi hiki cha muhimu zaidi ni kuleta watu pamoja.
Chadema hatuwezi kuchukua dola wakati mwenyekiti yupo gerezani. USALITI.
Nipe ajira nikafanye kwako!Wewe hauna uelewa,unaoneka umefika chuo kikuu,ila uelewa wako ni duni sana ndio maana unafanya kazi kwa mhindi
Ni wazi humfahamu heche,heche ni zero na qnatembelea nyota ya Lissu na chadema.Japo mie sina chama lakini namfahamu sana heche kwani ameishi hapa Mwanza.Hana uwezo wa kuongoza hata familia yakeUmofia wakuu...
Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.
Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.
Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu. Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka Chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.
Heche fanya mageuzi haraka, Lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.
Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Kwa concept hii hata mimi naweza kukulisha na family yako yote.Lissu tapeli nani amuonee wivu,hapa wizaran naweza kumlisha lisu na lema mwaka mzima
Sitoi kwa wajinga wenye degree za kujiuzaNipe ajira nikafanye kwako!
Inawezekana maana sikujuiKwa concept hii hata mimi naweza kukulisha na family yako yote.
Mwigulu na Nchimbi itakuwaje sasa? Mwigulu alikuwa akishinda mitandaoni kumchafufua Makamba katumia mamilioni kafanikiwa,lakini inaonekana kagonga mwamba kwa Nchimbi,labda afanye kile kimchezo kilichokuwa kikiondowa vigogo wa Ikulu kipindi cha Magufuli, kama zinawiva na mtaalam Kikwete na Rostam.Heche anaweza kuukwaa urais,shida ni mwehu Lissu.
Basi achukue BoniyaiNi wazi humfahamu heche,heche ni zero na qnatembelea nyota ya Lissu na chadema.Japo mie sina chama lakini namfahamu sana heche kwani ameishi hapa Mwanza.Hana uwezo wa kuongoza hata familia yake
We anzisha uzi wako useme,mi nawashauri nyumbu na wenzaoMwigulu na Nchimbi itakuwaje sasa? Mwigulu alikuwa akishinda mitandaoni kumchafufua Makamba katumia mamilioni kafanikiwa,lakini inaonekana kagonga mwamba kwa Nchimbi,labda afanye kile kimchezo kilichokuwa kikiondowa vigogo wa Ikulu kipindi cha Magufuli, kama zinawiva na mtaalam Kikwete na Rostam.
Kumbe nyumbu ham kuchagua,ila lissu alimpachika,umenijuza kitu kikubwa sanaNani aliyemweka Heche kwenye hiyo nafasi kama sio Lissu.
Divide and rule, for your information they're building the same house hizo mbinu za kuwaletea mvurugano shouldn't be entertained.Umofia wakuu...
Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science.
Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu kuundwa kwake.Mzee Mtei alikiacha kwa Bob Makani,Makan akamuachia Mbowe,na Mbowe akamuachia Tundu Lissu.
Lissu amewekwa kizuizini lakini Heche anaendelea vema sana na kazi bila Lissu,na kiukweli uwezo wa Heche ni mara 3 ya Lissu. Katika siasa kunahitaji maamuzi magumu,Heche anapaswa kufanya maamuzi magumu sana ili kuipeleka Chadema Kushika dola kama ilivyo malengo yake.
Heche fanya mageuzi haraka, Lissu atatoka baadae na utaungana nae ila kwa sasa wewe unapaswa kuwa Mwenyekiti na Lema awe makamu wako jambo ambalo litawasaidia ka isa kufocus na harakat kuliko kushinda mahakamani.
Heche uamuzi ni wako,Upinzani kushika dola wewe ndio mwenye ufunguo,nakutakia kila lakheri.
Asalam aleykum kwa waamini wote.
Huyo simjui hivyo siwezi kutoa maoniBasi achukue Boniyai
Yupo wapi Ben sananeLema ndie ameratibu kumteka Djumbe