John Heche Anaweza: Kikwazo Chake ni Lissu

John Heche Anaweza: Kikwazo Chake ni Lissu

Chadema ikiweza kufanya hivi itakuwa inaelekea kushika dola kabla hata ya 2030
 
Thibitisha kama una akili timamu
Tukiwa kisongo mwaka 2011 pale yalipigwa mabomu na kuna watu walipoteza maisha,mmoja ya watu waliofanya unyama ule kushirikiana na wajinga wenzie alikuwa GJ.Lema.

Ali Zona alipopigwa risasi ya kichwa akiwa anauza magazet pale msamvu chanzo alikuwa Lissu kushinikiza maandamano, na Mwaka 2016, kuna simu alipigiwa Lema na Mtu alieitwa R.Ighondu,akiomba lema ampe wasifu wa Ben, kwa kujua au kutojua Lema alitoa ushirikiano.
 
Back
Top Bottom