PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo unawasema walioagiza umeme Ethiopia au unamsema aliyechimba bwawa la umeme?
 
Difference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.

Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
Huyo heche ndiyo right?
 
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.

John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.

John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote.
John Heche anaeleza kwa kina namna ambavyo report ya CAG ya mwaka 2025 ilivyokuja na uchafu na ufisadi wa kutisha ambapo watu wamekula kwa urefu wa kamba zao bila kukemewa na viongozi wakuu wa serikali ambacho ni kiashiria cha kwamba serikali hii inalea ufisadi badala ya kupinga ufisadi.
Hivi ukikarabati nyumba Yako ikawa nzuri Kisha ukaipangisha, inakuwa Mali ya mpangaji?
 
Yule mshamba wa kisukuma alikuwa fisadi lisilo na mfano, shukuru Samia alificha siri yake, alificha pesa nyingi sana China na zilikutwa Mabilioni mengi nyumbani kwake. Pesa zilibebwa kwa magunia kutoka Mkombozi Bank, benki ya wakatoliki na ni kwasababu ye ni mkatoliki. Aliiharibu nchi mpk leo tunaumia. Aliigawa nchi vipandevipande madhara yanayoonekana mpk leo. Mfuateni huyo mtutsi wenu
We ni Cheti feki shenzi kabisa
 
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.

John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.

John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote.
John Heche anaeleza kwa kina namna ambavyo report ya CAG ya mwaka 2025 ilivyokuja na uchafu na ufisadi wa kutisha ambapo watu wamekula kwa urefu wa kamba zao bila kukemewa na viongozi wakuu wa serikali ambacho ni kiashiria cha kwamba serikali hii inalea ufisadi badala ya kupinga ufisadi.

Tofauti kubwa Magufuli yeye alifikiri yeye pekee ndiyo anaweza kutatua matatitizo! Heche anafikiri mfumo mzuri ndiyo jibu! hapo kuna tofauti kubwa sana. Magufuli hayupo leo mambo yamerudi kama zamani kwasababu hakuna mfumo bora
 
Kwahiyo heche yeye yupo sawa 100%
 
Hata pipo hawako fair enough, kitu chaajabu siasa ya bongo land inazungumziwa kwa vyama 2 chadema na Ccm, hrf pipo mapua yanafura kana kwamba mi zalendo Sana kumbe yanatumika kama ngazi kusapot upofu wa mwenye kengeza!
 
Hilo la Bandari wakati mwingine kunahitajika maamuzi tu magumu
Mfano: Uache watanzania wakusanye kodi mwisho wa mwezi upate makusanyo ya Jumla ys sh. Bilioni 3; au uwape Waarabu wakupatie Bilioni 5 kwa mwezi...hii ni kwa sababu ya Technologia bila kusahau rushwa na ucheleweshwaji wa huduma kwa upande mwingine...
Hata SGR mtawapa warabu kwa kisingizio hikihiki, yani mmepewa nafasi na watanzania lakini kutwa mnahubiri watanzania hawana uwezo wa kujifanyia chochote.
 
Back
Top Bottom