PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lisu alikuwa anatetea Acacia inayoiba madini ya watanzania
Mbona Magufuli aliruhusu makinikia kusafirishwa, na pia wao wenyewe CCM ndiyo walisaini hiyo mikataba ya kinyonyaji. Lissu alikuwa na bado yuko sahihi na hakuwahi kuwa Wakili wa acacia.
 
Mbona Magufuli aliruhusu makinikia kusafirishwa, na pia wao wenyewe CCM ndiyo walisaini hiyo mikataba ya kinyonyaji. Lissu alikuwa na bado yuko sahihi na hakuwahi kuwa Wakili wa acacia.
Aliruhusu baada ya kuanza kuyakata kodi
 
Shida ya Lisu ni kutaka nchi iendelee kuzurumiwa
Lissu anatakaje nchi idhulumiwe kwa mikataba ambayo hadi leo mnaipitisha wenyewe, mara Bandari, mara mnafukuza wamasai mara mnavuna carbon bure mara gas inaondoshwa. Huyo Lissu amewahi kuingia mkataba gani kati ya yooote hiyo ya kinyonyaji.
 
Back
Top Bottom