PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nadhani tutafika mbali tukianza kuangalia issue na sio nani anayeongelea hio issue; haya mambo ya ku politicize vitu, ndio maana hayaungwi mkono na watu wengi (yaani badala ya kuunga mkono ukweli au kupinga uongo tunaunga mkono nani anayesema)

That said ni kipofu pekee ambaye hajui kwamba nchi hii inaporwa na mlipa kodi anapewa a raw deal..., sasa hili halijaanza leo wala halitakwisha kesho; na kuongelewa zaidi kipindi cha uchaguzi au kama mvua za rasharasha inaonyesha labda ni means to an end kwa wasemaji..; Ndio maana kuna siku nilisema:

ujue ustufanye wote humu hatuna akili clip za lisu zpo youtube akzungumzia hayo mambo wkt akiwa bungen hakuna mahali aliunga mkono acacia ila alikuwa anatoa onyo ksheria kutokana na mikataba waliyoingia haohao ccm akiwemo na magufuri, yan raslimali za taifa hli mgawe ccm halafu lisu atetee usengerema mlioufanya hivi inaingia akilin kweli. SWALI NI NANI ALIWAPA MIGODI ACACIA? wkt wanapewa magufuri aliunga mkono au hakuunga mkono?
Hilo onyo la kisheria limefikia wapi?

Tumeshitakiwa MIGA?
 
Difference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.

Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
Bora Magufuli alivyokuwa anawafanyia wapinzani maana tumekuja kugundua kina Mbowe kumbe walikuwa matapeli tu
 
Usipotoshe hapo. Watu wote tulianza kumlaumu JPM baada ya kuanza kukiuka human rights, hasa baada ya Lissu kupigwa Risasi 38 na kumuingia 19. Acha uongo wako huo.
Lissu alikuwa anatumika na mafisadi yaliyo mchukia JPM ...wa ndani ya chama chake na wafanyabiashara mafisadi, wewe ujiulizi kwanini Samia alitimka mbio baada ya Lissu kupigwa risasa lengo lilikuwa ni kumrubuni azidishe kumpinga jpm kwa maslai ya Genge la raia feki na mafisadi ambao samia ni mmoja wao
 
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia
Wacha uongo hawakupinga bali walikuwa na mawazo mbadala, tatizo lake yeye aliona mtu anayewaza tofauti na yeye hastahili kuishi, alifeli sana kwenye Utawala Bora otherwise alikuwa mzalendo. Mtu akikupa ushauri ambao hukubaliani nao unaucha lakini si kumuona kama ni adui.
 
kum.a ww kwanza jbu nlichouliza hapo. Pili twambie hayo maigzo aliokuwa anafanya magufuri tulipata nn unazuia mapanki halafu minofu inaenda halafu unakaa unapgia watu kelele. Tatu hujui kesi zpo uko na zngne twaendelea kulipa sjui ccm huwa mna akili gn aisee, yaleyale ya kikwete pesa za escrow ni za bnafs maccm yote yakashanglia akiwemo magufuri, mara magufuri huyo kawa rais kasema fedha za escrow ni za umma maccm yote uleee uleee kumam.a.eee zenu.
Mhaini ananyea debe Segerea
 
Wacha uongo hawakupinga bali walikuwa na mawazo mbadala, tatizo lake yeye aliona mtu anayewaza tofauti na yeye hastahili kuishi, alifeli sana kwenye Utawala Bora otherwise alikuwa mzalendo. Mtu akikupa ushauri ambao hukubaliani nao unaucha lakini si kumuona kama ni adui.
Kwani sasa hivi mhaini Lisu anawaonaje walio na mawazo tofauti na yeye?
 
Lissu qlikuwa qnatumika na mafisadi yaliyo mchukia JPM wa ...wa ndani ya chama chake na wafanyabias mafisadi wewe ujiulizi kwanini samia alitimka mbio baada ya Lissu kupigwa risasa lengo lilikuwa ni kumrubuni azidishe kumpinga jpm kwa maslai ya Genge la raia feki na mafisadi ambao samia ni mmoja wao
Uko sahihi
 
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.

John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.

John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Sasa hapo ufisadi uko wapi ? Kwani Huwa unatumia gharama kiasi gani kujenga epza au dry port harafu wanapewa private sector kuendesha?

Tatizo ni uwezo duni wa akili za walimu,wote 2 ni walimu hakuna wanachojua kuhusu biashara na Uchumi.

Hata Sgr tunatymi ma Trilioni lakini private operators watapewa Ili kuleta ufanisi.

Walimu wengi ni zero brain 😂😂
 
&Pia ana-support wasiojulikana na kuwafadhili kama Magu?
-Ana-support wenye mawazo mbadala kumiminiwa risasi kama Magu?
-Ana-support kutekwa na kuuawa watu wanaouliza uhalali wa vyeti vyake vya elimu kama Magu?

Their differences are like heaven and earth, they've by far more differences than similarities.
 
Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Sasa hapo ufisadi uko wapi ? Kwani Huwa unatumia gharama kiasi gani kujenga epza au dry port harafu wanapewa private sector kuendesha?

Tatizo ni uwezo duni wa akili za walimu,wote 2 ni walimu hakuna wanachojua kuhusu biashara na Uchumi.

Hata Sgr tunatymi ma Trilioni lakini private operators watapewa Ili kuleta ufanisi.

Walimu wengi ni zero brain 😂😂
Ni ufanisi upi ulioletwa?
 
&Pia ana-support wasiojulikana na kuwafadhili kama Magu?
-Ana-support wenye mawazo mbadala kumiminiwa risasi kama Magu?
-Ana-support kutekwa na kuuawa watu wanaouliza uhalali wa vyeti vyake vya elimu kama Magu?

Their differences are like heaven and earth, they've by far more differences than similarities.
Kiongozi wa chadema ameuawa ,Soka ametekwa kwa hiyo Heche anasapoti?
 
Back
Top Bottom