PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Difference hapa ni kwamba magufuli hakuwa 100% right , especialy the way alikwua ana deal na political opponents wake.

Lakin kwenye mambo mengine wako sawa
magufuli alikuwa hataki kukosolewa ndio mapungufu yake kwingine kote yuko sawa, Kwa mfano uwanja wa ndege chato ni jambo ambalo aliamua mwenyewe na pesa zikaenda bila kupitishwa bungeni! afu kuzuia wapinzani kutoa yaliyositirika(mikutano ya hadhara)
 
Si uwanja wa ndege, mpaka mbuga ya burigi, ilikuwa hifadhi ya misitu. But he wanted iwe kama north hata kuhamishia wanyama pale. Nini kinaendelea?
Yes hiyo ndio ilikuwa weakness yake
 
Watu wa North hawataki Kanda ya ziwa ipelekewe maendeleo
.
Hata ujenzi wa daraja la Busisi walipinga
 
Watu wa North hawataki Kanda ya ziwa ipelekewe maendeleo
.
Hata ujenzi wa daraja la Busisi walipinga
Ndio aina hii ya thinking ikafanya watu wa kanda ya ziwa waonekane prmitive.
North imebarikiwa na vitu ambavyo kanda ya ziwa hawana, and so do kanda ya ziwa wana vitu ambavyo north hawana.
suala la maendeleo ni suala la vitega uchumi vilivyopo, watu na aina ya viongoz

Uongozi ulipo sasa? Utasema hautaki kabda ya ziwa iendelee?
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.

John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.

John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote.
John Heche anaeleza kwa kina namna ambavyo report ya CAG ya mwaka 2025 ilivyokuja na uchafu na ufisadi wa kutisha ambapo watu wamekula kwa urefu wa kamba zao bila kukemewa na viongozi wakuu wa serikali ambacho ni kiashiria cha kwamba serikali hii inalea ufisadi badala ya kupinga ufisadi.
Kumfananisha Heche na Jiwe ni kumkosea heshima Heche.
 
Ndio aina hii ya thinking ikafanya watu wa kanda ya ziwa waonekane prmitive.
North imebarikiwa na vitu ambavyo kanda ya ziwa hawana, and so do kanda ya ziwa wana vitu ambavyo north hawana.
suala la maendeleo ni suala la vitega uchumi vilivyopo, watu na aina ya viongoz

Uongozi ulipo sasa? Utasema hautaki kabda ya ziwa iendelee?
Miradi imeshajengwa sasa mtakoma na roho zenu za korosho kuhusu Kanda ya ziwa. Tuna daraja refu, hospitali za Kanda mbili, burigi na uwanja wa ndege chato
 
Back
Top Bottom