PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

PreGE2025 John Heche ameanza kuzungumza kama Hayati Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu anatakaje nchi idhulumiwe kwa mikataba ambayo hadi leo mnaipitisha wenyewe, mara Bandari, mara mnafukuza wamasai mara mnavuna carbon bure mara gas inaondoshwa. Huyo Lissu amewahi kuingia mkataba gani kati ya yooote hiyo ya kinyonyaji.
Tutashitakiwa MIGA
 
Ndege zimezuiliwa nchi gani? Tanzania imefilisiwa kama alivyosema Lisu?
Kubishana na kukataa ukweli na kumbukumbu zipo, tunaita kujitoa akili na kujisahaulisha. Tumeshitakiwa kwa kesi zaidi ya 3 tofauti na nchi ikalipa. Jifanye mtetezi wa wezi
 
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.

John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.

John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote.
John Heche anaeleza kwa kina namna ambavyo report ya CAG ya mwaka 2025 ilivyokuja na uchafu na ufisadi wa kutisha ambapo watu wamekula kwa urefu wa kamba zao bila kukemewa na viongozi wakuu wa serikali ambacho ni kiashiria cha kwamba serikali hii inalea ufisadi badala ya kupinga ufisadi.
Emotional being 😂😂

Back kwenye mada,baada ya Magufuli kuzungumza hivyo, maskini mlipungua au mlizidi.kudidimia.huko baada ya kuwanunilia ndege mpande?
 
Kubishana na kukataa ukweli na kumbukumbu zipo, tunaita kujitoa akili na kujisahaulisha. Tumeshitakiwa kwa kesi zaidi ya 3 tofauti na nchi ikalipa. Jifanye mtetezi wa wezi
Yani Lisu alitaka tuibiwe madini yetu kisa tumeogopa kushitakiwa kesi 3?
 
Hivi Ndugai alisema nchi itafanywaje na wakamfanyaje ? Waarabu wameuziwa kila kitu, mitanganyika imebweteka. Ukiona mtu anasifia jua akili zimehama.
Kwa mujibu wa nyumbu walisifia alichofanyiwa Ndugai
 
Back
Top Bottom