Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Yap uvunjwe hata leo jioni hauna faida kabisaHuu Muungano ni wa hovyo kabisa.
Yap uvunjwe hata leo jioni hauna faida kabisaHuu Muungano ni wa hovyo kabisa.
Nimekuuliza Hiyo Bandari mnayodai yenu Sultan akiomba Himaya yake vp?Ndiyo maana bibi yenu hana uchungu na mali zetu
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?Realy? Hawakuwa wakipinga maendeleo per say, but priorities
Didnt CAG akaja na report iliyoonyesha mianya? Mpaka wakamchomoa yule bwana kwa hila?
Sultan alikuja na bandari?Nimekuuliza Hiyo Bandari mnayodai yenu Sultan akiomba Himaya yake vp?
Kasome Vyema Historia ya Mipaka ya Tanganyika na ZanzibarSultan alikuja na bandari?
Nakazia huyu bumunda aache ungese aiseee. Magu alikua mtu wa ajabu sana yaani pale tulikua na raisi trasssh sana.Kum.a wewe magufuri alipngwa kwa kuminya haki za watu na kuiminya chadema magufuri alikuwa anaenda kwny majimbo ya wapnzan anawananga wabunge wa chadema kwa watz kwmb hawatapata maendeleo ksa wamechagua upnzani wkt majmbo meng yapo ccm kwa wizi na hakuna cha maana. Aliwambia wakurugenzi wastangaze mpnzan kashnda ksa anawalipa yeye akasahau pesa ni kodi za watz na mikopo, misaada halafu we msengerema unaleta porojo hapa, raslimali si wamezigawa ccm akiwemo na magufuri halafu akawa anaigza kupnga shaabashiiiii....
Hakuna aliyetumika hapo bali ni upumbavu tu wa Magufuri kujifanya kuwa ana akili kuliko Watanzania wengine waliowahi kukemea wizi wa serikali kwa mali ya umma tangu 2007 kama akina Zito,Kabwe na Wilbroad Slaa.Hawa walitumika...
Bahati mbaya walio watumia wakati huo, ndio wanawapitisha motoni leo...
Wanajifunza in a hard way hasa...
hayo tu ndo umeyaona? Twambie sgr mpk sasa imeleta faida ipi, huo uzuiaji wa makinikia ambayo ni mapanki ya madini ni nani alzuia zaid chadema walimshauri khs kuwa makini na mikataba waliyoiingia hao hao ccm kna magufuri haya twambie alifanikiwa nn kwny hlo unazuia mapanki wkt minofu inaenda msengerema ww.Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
Bila shaka na hii sumu ya Magufuri ndiyo Mama Samiah anaitumia kuimarisha himaya yake.Kum.a wewe magufuri alipngwa kwa kuminya haki za watu na kuiminya chadema magufuri alikuwa anaenda kwny majimbo ya wapnzan anawananga wabunge wa chadema kwa watz kwmb hawatapata maendeleo ksa wamechagua upnzani wkt majmbo meng yapo ccm kwa wizi na hakuna cha maana. Aliwambia wakurugenzi wastangaze mpnzan kashnda ksa anawalipa yeye akasahau pesa ni kodi za watz na mikopo, misaada halafu we msengerema unaleta porojo hapa, raslimali si wamezigawa ccm akiwemo na magufuri halafu akawa anaigza kupnga shaabashiiiii....
Kati ya Sultan na wazungu nani alitangulia kufika?Kasome Vyema Historia ya Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar
Kiufupi Zenj Tu mnyonge kwetu ila Eneo la Bahari kuu tumelimega
Magufuli hakupingwa kwa kutetea rasilimali za nchi bali alipingwa kwa nia ovu ya kuua upinzani na udikteta, na nia ovu hiyo ilithibitishwa na kilichotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020.Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?Kum.a wewe magufuri alipngwa kwa kuminya haki za watu na kuiminya chadema magufuri alikuwa anaenda kwny majimbo ya wapnzan anawananga wabunge wa chadema kwa watz kwmb hawatapata maendeleo ksa wamechagua upnzani wkt majmbo meng yapo ccm kwa wizi na hakuna cha maana. Aliwambia wakurugenzi wastangaze mpnzan kashnda ksa anawalipa yeye akasahau pesa ni kodi za watz na mikopo, misaada halafu we msengerema unaleta porojo hapa, raslimali si wamezigawa ccm akiwemo na magufuri halafu akawa anaigza kupnga shaabashiiiii....
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikiaNakazia huyu bumunda aache ungese aiseee. Magu alikua mtu wa ajabu sana yaani pale tulikua na raisi trasssh sana.
Na tumuulize magu alirudisha rasilimali zipi kama sio kukopa na kutuingizia hasara tu kama taifa
KUpinga kuna wezekana na sio kila jambo linalopingwa ukadhan wapinzan wapo sahihi nao sio malaika wa mbinguni. Na pia je walioliacha mwanzo kwann waliliacha coz mradi unaweza kutimia ila.ukawa kuporomoka kwa haraka je isha pita hata muongo mmoja hilo bwawa likawa lina tupa uhakika zaidiWewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia
Wewe ni mpumbavu unayetetea upumbavu.Kukamata kamata wapinzani na kuwaweka ndani kila siku hayo ni maendeleo?Magufuri hakuwa mvumilivu kwenye mambo ya siasa na ndiyo maana aliitumia vibaya siasa na mwisho siasa ikammaliza taratibu bila mtu wa kumtetea.Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikia?
Kwani lucas huyu msemaji sana humu ni mzenjibar?Siamini kama kuna mzanzibar anaweza kuwa na uchungu na mali za wabara
Magufuli hakupingwa kwa kutetea rasilimali za nchi bali alipingwa kwa nia ovu ya kuua upinzani na udikteta, na nia ovu hiyo ilithibitishwa na kilichotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020.Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote
Chadema ndiyo wa kwanza kupanda sgrhayo tu ndo umeyaona? Twambie sgr mpk sasa imeleta faida ipi, huo uzuiaji wa makinikia ambayo ni mapanki ya madini ni nani alzuia zaid chadema walimshauri khs kuwa makini na mikataba waliyoiingia hao hao ccm kna magufuri haya twambie alifanikiwa nn kwny hlo unazuia mapanki wkt minofu inaenda msengerema ww.
Wewe ungefanya nini na wapinzani wanaopinga ujenzi wa bwawa la umeme, SGR, serikali kuhamia UDOM, na uzuiaji wa wizi wa makinikiaMagufuli hakupingwa kwa kutetea rasilimali za nchi bali alipingwa kwa nia ovu ya kuua upinzani na udikteta, na nia ovu hiyo ilithibitishwa na kilichotokea kwenye chaguzi za 2019 na 2020.
ujue ustufanye wote humu hatuna akili clip za lisu zpo youtube akzungumzia hayo mambo wkt akiwa bungen hakuna mahali aliunga mkono acacia ila alikuwa anatoa onyo ksheria kutokana na mikataba waliyoingia haohao ccm akiwemo na magufuri, yan raslimali za taifa hli mgawe ccm halafu lisu atetee usengerema mlioufanya hivi inaingia akilin kweli. SWALI NI NANI ALIWAPA MIGODI ACACIA? wkt wanapewa magufuri aliunga mkono au hakuunga mkono?Lisu alikuwa anatetea Acacia inayoiba madini ya watanzania