Hii ni hoja ya kijinga kabisa.Sultan akiitaka pwani yake?
Bagamoyo, Mzizima, Kilwa Tanga
Mwingereza akitaka Bara yake?
Kuanzia Tanganyika hadi Zanzibar ni eneo la watu weusi, na hii ndiyo sababu ya kupigania Uhuru na pia Mapinduzi ya Zanzibar.
Hii ni hoja ya kijinga kabisa.Sultan akiitaka pwani yake?
Bagamoyo, Mzizima, Kilwa Tanga
Ukiwapa watanzania hawawezi kukupa 10 bilioni?Mashirika makubwa kama SGR, ATC,TTCL yametumia mabilioni kama sio trilioni lakini tukiendelea kujifariji, kuwa tuyaache hivyo hivyo; yatakufa
Nafikiri kwa kuanzia wajumuishe private sector ambayo inajua kufanya Biashara, Serikali iwe na hisa kubwa ila upande wa Biashara uwe ni private wanaendesha....
Mf: Ule mkongo wa taifa kuna faida ya mabilioni imelala chini/inapotea kila siku...ukimpa mwarabu anaweza kuipa serikali pengine 10Bilioni kila mwezi, sasa tatizo liko wapi? tuendelee kujifariji tunaweza wakati hatuwezi?
Nyie watu uelewa wenu ulidumazwa na chakula kibovu? Angalau ulijiuliza Magufuli alikuwa anapingwa kwa mambo gani au ulikuwa unakokotwa na kokoro tu?Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa rasilimali za nchi kwa sasa umefikia kiwango cha kutisha sana, mfano watanzania walitumia kodi zao zaidi ya trillion 1.2 kuichimba bandari ya Dares salaam kufikia uwezo wa meli yenye urefu wa mita 300 kutia nanga lakini uchimbaji ulipokamilika akapewa mwarabu bandari, yani mwarabu alichokifanya ni kuleta mashine tu na kuanza kunyonya hela maana bandari imeshachimbwa tayari!.
John Heche anazungumzia namna utoroshaji wa madini ulivyowakutisha sasa hivi, tangu Magufuli afariki hamna billionea wa madini aliyeibuka!. Heche anaeleza namna ambavyo serikali ya Samia iko kimya kuhusu uanzishwaji wa viwanda wakati viwanda ndiyo injini ya uchumi wa taifa lolote.
John Heche anaeleza kwa kina namna ambavyo report ya CAG ya mwaka 2025 ilivyokuja na uchafu na ufisadi wa kutisha ambapo watu wamekula kwa urefu wa kamba zao bila kukemewa na viongozi wakuu wa serikali ambacho ni kiashiria cha kwamba serikali hii inalea ufisadi badala ya kupinga ufisadi.
Kwa hiyo watanzania wanachokiweza ni kuwaweka madarakani tu nyie ili mle kwa urefu wa kamba zenu ila siyo kuwaongoza?kwani si ndio wanao sasa hivi....hata dar hawajamaliza kwa takriban miaka 7 sasa. Maeneo mengi ukiomba kuunganishiwa unajulishwa kuwa hawana vifaa. Hata ubunifu wa kumtaka pengine mteja alipie gharama zote halafu akatwe kwenye bili yake hawana au pengine hawaruhusiwi (nisiwalaumu)
Lakini pia wangeweza kuchukua mkopo hata Bilioni 3 hivi wafanyie kazi kwa kutumia collateral ya huo huo mkongo wenyewe....wakikusanya kodi warudishe.
Unaweza kujiuliza; TTCL tunayoendesha wenyewe ndio inauza Internet ila inao wauzia (mitandao ya simu) wanatoa huduma nzuri na bei nzuri kuwashinda wao...
Bado tuna safari ndefu!
We hujui walichopinga? Si chadema wanaita maendeleo ya watanzania ni maendeleo ya vitu?Nyie watu uelewa wenu ulidumazwa na chakula kibovu? Angalau ulijiuliza Magufuli alikuwa anapingwa kwa mambo gani au ulikuwa unakokotwa na kokoro tu?
Hivi kwenye hili tunatakwimu maana zingekata vimdomoHilo la Bandari wakati mwingine kunahitajika maamuzi tu magumu
Mfano: Uache watanzania wakusanye kodi mwisho wa mwezi upate makusanyo ya Jumla ys sh. Bilioni 3; au uwape Waarabu wakupatie Bilioni 5 kwa mwezi...hii ni kwa sababu ya Technologia bila kusahau rushwa na ucheleweshwaji wa huduma kwa upande mwingine...
Mimi siongelei siasa hapa, naongelea kukusanya kodi na kuwapatia huduma bora kabisa watanzaniaKwa hiyo watanzania wanachokiweza ni kuwaweka madarakani tu nyie ili mle kwa urefu wa kamba zenu ila siyo kuwaongoza?
Halafu wewe usiye tapeli bado ni chawa kwa mabosi wako hadi lini. Simama alipo Heche.Heche ni Tapeli
Huyu mabosi zake siku wakimwitaji mtashangaa.
Nawambieni Heche na Mwita Waitara ni mule mule
DuhHalafu wewe usiye tapeli bado ni chawa kwa mabosi wako hadi lini. Simama alipo Heche.
anaomba Kwa nani?Nimekuuliza Hiyo Bandari mnayodai yenu Sultan akiomba Himaya yake vp?
anaomba Kwa nani?Nimekuuliza Hiyo Bandari mnayodai yenu Sultan akiomba Himaya yake vp?
Sawa Mrs James DNyamaza wewe UWT
Heche ni kilaza mwalimu wa UpeKwa hiyo Heche naye amekuwa dikteta uchwara kama vile Lisu alivyokuwa anamuita Magufuli?😁
Walipinga ukatili, mauaji, uminyaji wa demokrasia, uporaji wa kura!We hujui walichopinga? Si chadema wanaita maendeleo ya watanzania ni maendeleo ya vitu?
Magufuli alikuwa anaua wapinzani na raia wakeUkimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.