Mazafanta. Huko kariakoo yupo bibi yako au walipa kodi wa hii nchi?Kariakoo ni sehemu ya Biashara au mikutano ya siasa?
Huko kariakoo yupo mamako? Hakuna walipa kodi wanaoumizwa na mifumo ya unyonyaji?Mzee wa mikeka anatafuta Kiki tu. Wafuasi wa Munguki kukamatwa wanaona Kiki. Utaendaje kufanya mikutano karikoo muda ambao biashara ndio zimechanganya?
Kumbe kuna mtu anaitwa babu tola yupo bungeni bora hata zuchu tena?🤪Sasa kama Babu tale yupo bungeni kwa nini isiwe Zuchu😁😁
Hutupotezi mitazamo nia na malengo yapo imara,kawaida azamaye majini hakubali yaishe ila anapambana ili ajiokoe ama apate msaada.Ujumbe huu ukufikie ndugu Lwiva na washirika mfananao.CHADEMA NA WAPINZANI NILIPO WAONYA HAPA JF KUWA ILIKUWA RAHISI KUPATA KATIBA MPYA NA NJEMA NA YA HAKI CHINI YA MAGUFULI WALINITUKANA SANA WAKANIPINGA NA KUNIITA MPUMBAVU ...MIMI AKILI ZANGU ZINAO UWEZO MKUBWA WA KUSOMA MCHEZO ....LISSU ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUKUBALI KUTUMIWA NA CCM WALIO KUWA WANAMPINGA JPM ....WAKIMDANGANYA KUWA WAO NI WEMA NA WANATAKA HAKI ...BAADA YA KUMTUMIA LISSU NA CHADEMA KWA UJUMLA DHIDI YA MZALENDO JPM NA KUFANIKIWA NIA YAO OVU ...SAMIA NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI NA VIBARAKA WAO WA MSOGA WAKASHIKA NCHI ....HAPA ILIKUWA SHANGWE KWA WAPUMBAVU WOTE NA BAADA YA MUDA KINA POLEPOLE NA WAZALENDO WENGINE WAKAANZA KUSHUGULIKIWA NA WAHUNI WA KUNDI LA SAMIA NA MSOGA basi wapinzani na wapumbavu wengine walikuwa wanashangilia sana hapa JF ...
TULIWAONYA..... MIMI BINAFSI NILIWAAMBIA CHADEMA KUWA HALI YENU ITAKUWA MBAYA KULIKO MLIVYO KUWA CHINI YA MAGUFULI. WAKABISHA..
Umeandika ujinga mwingi,Magufuli yeye alishasema hataki kusikia habari ya Katiba na wala haikuwa kipaumbele chake. Lissu aliungana na CCM wapi kumpiga vita Magufuli? Magufuli ndiye alimchukia Lissu hadi akaamuru auwawe kwa kupigwa risasi. Utakuwa unatumia kinyeo chako kufikiri wewe.CHADEMA NA WAPINZANI NILIPO WAONYA HAPA JF KUWA ILIKUWA RAHISI KUPATA KATIBA MPYA NA NJEMA NA YA HAKI CHINI YA MAGUFULI WALINITUKANA SANA WAKANIPINGA NA KUNIITA MPUMBAVU ...MIMI AKILI ZANGU ZINAO UWEZO MKUBWA WA KUSOMA MCHEZO ....LISSU ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUKUBALI KUTUMIWA NA CCM WALIO KUWA WANAMPINGA JPM ....WAKIMDANGANYA KUWA WAO NI WEMA NA WANATAKA HAKI ...BAADA YA KUMTUMIA LISSU NA CHADEMA KWA UJUMLA DHIDI YA MZALENDO JPM NA KUFANIKIWA NIA YAO OVU ...SAMIA NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI NA VIBARAKA WAO WA MSOGA WAKASHIKA NCHI ....HAPA ILIKUWA SHANGWE KWA WAPUMBAVU WOTE NA BAADA YA MUDA KINA POLEPOLE NA WAZALENDO WENGINE WAKAANZA KUSHUGULIKIWA NA WAHUNI WA KUNDI LA SAMIA NA MSOGA basi wapinzani na wapumbavu wengine walikuwa wanashangilia sana hapa JF ...
TULIWAONYA..... MIMI BINAFSI NILIWAAMBIA CHADEMA KUWA HALI YENU ITAKUWA MBAYA KULIKO MLIVYO KUWA CHINI YA MAGUFULI. WAKABISHA..
Ni lazima yatokee ili ukombozi upatikaneTaarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Yaani nchi kama nchi hatuna serikali, kwa maamuzi yanayofanyika hatuna watu smart huko juu nii ipo wazi wazi.Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Kariakoo barabara ipi isiyo na foleni nitajie moja nimezaliwa na kukulia kariakooKwan pale ni wapi mkuu ? Kumbe loss ni kuweka foleni ? Ile Barabara gani? Tatizo lenu mnadhani kariakoo kila sehemu kuna foleni....ngoja tuone watasema kafanya nini ili nije nkuulize vinahusiana nini na fulani, viongozi we hii nchi ni wapumbavu sana
Maadui wa chadema na watanzania leo ndiyo walio kuwa maadui wa JPMHutupotezi mitazamo nia na malengo yapo imara,kawaida azamaye majini hakubali yaishe ila anapambana ili ajiokoe ama apate msaada.Ujumbe huu ukufikie ndugu Lwiva na washirika mfananao.
Sisiemu kwisha habari yaoTaarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Magufuli alikuacha na mimba changa wewe mfuate huko Jehannam mkalee mtoto wenuLAANA YA MAGUFULI IMEWAPIGA WAPINZANI NA CCM PIA 😁😁😁😁
Bongo daslaaamWatanzania Ngorongoro hawana makazi
Bandari imeuzwa
Dar hakuna usafiri mmeshindwa kuendesha mwendo kasi
Bei za bidhaa zimepanda
Miji haina maji
ATCL imekufa
Shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Uchaguzi mnaiba
Watu wanapotezwa
Deni la Taifa ni trillion 97.35
Mpaka sasa Heche 3- ccm-0kwa spana za uhakika anazopiga heche ilikuwa tu suala la muda, ila watakwama masisiemu
Banana RepublicWatanzania Ngorongoro hawana makazi
Bandari imeuzwa
Dar hakuna usafiri mmeshindwa kuendesha mwendo kasi
Bei za bidhaa zimepanda
Miji haina maji
ATCL imekufa
Shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Uchaguzi mnaiba
Watu wanapotezwa
Deni la Taifa ni trillion 97.35
Tatizo ni akili zenu ndogo JPM Alikuwa vitani hivyo katiba hii iliyo mpa nguvu kubwa ilikuwa ni njema kwake kwa kumuwezesha kupambana na mafisadi wabaya sana na maadui wakubwa wa taifa....tumia akiliUmeandika ujinga mwingi,Magufuli yeye alishasema hataki kusikia habari ya Katiba na wala haikuwa kipaumbele chake. Lissu aliungana na CCM wapi kumpiga vita Magufuli? Magufuli ndiye alimchukia Lissu hadi akaamuru auwawe kwa kupigwa risasi. Utakuwa unatumia kinyeo chako kufikiri wewe.
Acha kutetea upimbimbi. Huyo ni dictator, hata siku moja haijawahi jitokeza hadharani kukemea haya. Wacha wampoteze.Behind the scene are male "dictators" not her