PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.

View attachment 3312400

View attachment 3312401

Mikutano yenu Dar imedoda sasa kweli unaenda kufanya mkutano Kariakoo!!? Kwenye msongamano mkubwa hivyo!!

Sasa Bibi mbona hukumsaidia asikamatwe??
 
Mikutano yenu Dar imedoda sasa kweli unaenda kufanya mkutano Kariakoo!!? Kwenye msongamano mkubwa hivyo!!

Sasa Bibi mbona hukumsaidia asikamatwe??
Dar CHADEMA mwisho ilikuwa kipindi cha Lowassa kaenda CHADEMA

Baada ya Lowasa kurudi CCM

CHADEMA haina Chake Dar es Salaam
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Nimetumia akili ya mlango wa 9 kukutambua kuwa ni MPUMBAVU WA CCM
Sawa wewe tukana au tumia mlango wa laki 1 lakini haiondoi ukweli wa maovu ya Jiwe au kunifanya mimi kuwa hao kijani. Huwezi kutenganisha Usukuma gang na wale mnaojiita wanyonge
 
Dar CHADEMA mwisho ilikuwa kipindi cha Lowassa kaenda CHADEMA

Baada ya Lowasa kurudi CCM

CHADEMA haina Chake Dar es Salaam
Eti ukafanye mkutano wa kisiasa Kariakoo kweli!!!? Akili za nyumbu ni shida sana!
 
Nay
Bado mnyika. Labda akajifiche kanisani kwamba anasoma novena.
e ataingia kwenye 18zao tu
Kariakoo ni Central business district watu pale wako busy na biashsra wana kufanya hawategemei tone tone kuishi.

Wahubiri hawasababishi foleni,wala misongamano wa watu na magari wa biashara,wafanyabiashara na wateja

Hapo aliposimama kasababisha usumbufu kwa wafanyabiashara na wateja na wenye magari
 
heche asilete janja ya nyani kaishiwa hela za kupiga misele, hela za tonetone hazidondoki tena anataka kusingizia kakamatwa, huyu wamshitaki kwa kosa la uzururaji tu, wamwachie aingie tena ulingoni, walimwona mbowe fala ngoja waonje joto ya jiwe
 
Vichwa mbovu wote wana maneno yasiyo na staha,hapa pia tutaanza kuunga dots kuwa haya yanayotokea ni ushindani na mifarakani ndani ya ccm,na utawala wake.Ila Watanzania wapo macho dhidi ya upuuzi wowote,bila kujali upuuzi huuo unafanywa kwa malengo yapi?Hapa upo uwezekano wa kuwa Sukuma gang imefufuka ama imejifufua kupitia haya ambayo taifa linapitia hivi leo.
SUKUMA Gang ni kichaka cha kujifichia wapumbavu wote ambao walikataa elimu ya vitendo ya namna ambavyo raia namba moja anatakiwa abehave mbele ya wananchi wake na kuwajibika kwao katika kutekeleza majukumu yake.
 
Akina nani hao sasa?
 
Wapi nimewahi kusema mimi ni CDM au CCM. Punguza mahaba yasiyo na ulazima. Mimi nimesema kwamba Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Kusema hivyo sina maana mimi ni mfuasi wa Cdm au Ccm. Huo ni ukweli na bila Mungu mpaka sasa tungekuwa tumekwisha wote.
Kwa macho ya nyama tu kupitia comparison and contrasting huna tofauti na nyani ambaye anaamini ndizi ni tamu kuliko sega la asali. Pole sana kijana wa hovyo.
 
Huko kariakoo yupo mamako? Hakuna walipa kodi wanaoumizwa na mifumo ya unyonyaji?

Mgomo wa hapo kariakoo kwanini mkuu wa mkoa mpaka waziri mkuu walienda? Au hao wana exceptions?

Siasa ndio maisha ya wananchi. Msitupangie chakufanya.
Braza K na Mzee wa mikeka ndio wanasuluhu ya unyonyaji?? Kweli nyie manyumbu. Wameanza kunyonya watu kupitia join the chain mpaka tonetone. Braza K alichamgiwa gari mpya iko wapi?
 
Mikutano yenu Dar imedoda sasa kweli unaenda kufanya mkutano Kariakoo!!? Kwenye msongamano mkubwa hivyo!!

Sasa Bibi mbona hukumsaidia asikamatwe??
walisema murilo asiwatishe mbona wamekamatwa kisenge hamna hata bomu la machozi lililopigwa hamna hata risasi moja iliyopigwa hewani, washenzi hawa, hivi mkurya gani unakamatwa ka winga hakuna cha kurupushani, huyu jamaa akirudi musoma tunamtairi upya
 
walisema murilo asiwatishe mbona wamekamatwa kisenge hamna hata bomu la machozi lililopigwa hamna hata risasi moja iliyopigwa hewani, washenzi hawa, hivi mkurya gani unakamatwa ka winga hakuna cha kurupushani
Vijana wa hovyo nchi wote ni CCM
Kwa hiyo unaona ufahara kuishi kama ngedere
 
Wapi nimewahi kusema mimi ni CDM au CCM. Punguza mahaba yasiyo na ulazima. Mimi nimesema kwamba Jiwe alikuwa laana kwa Taifa. Kusema hivyo sina maana mimi ni mfuasi wa Cdm au Ccm. Huo ni ukweli na bila Mungu mpaka sasa tungekuwa tumekwisha wote.
Cheti feki, kenge wewe!
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.

View attachment 3312400

View attachment 3312401

Afadhali kama wamelikamata na hili lipumbavu!!
 
Back
Top Bottom