Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 832
- 903
Serikali ndiyo wanayoyataka wakizani ndiyo wataonga kirahisi kwakuwa kuna vyama 18 marafiki zao wanawatii.Ni ukweli usiyo pingika uchaguzi hauwezi kufanyika ktk mazingira haya hata kidogo uchaguzi ni maridhiano kati ya watawala na watawaliwa kukiw,,a hakuna maridhiano huo unakuwa utawala wa kimabavu.Na utawala wakimabavu kwa sasa haukubaliki duniani kwahiyo Tanzania tunaweza kuwa kisiwa na hakuna hata mmoja atatuunga mkono kwasababu hata uganda pamoja na mabavu yote anayotumia Mseven lakini tume yao ya uchaguzi ipo vizuriTaarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401