Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Hii dunia hii, kama kawaida mtu akishaondoka tu, maneno mlima.
Sasa wanasema kwamba alikua na matatizo ya akili....[emoji848][emoji848][emoji848]
Killing self is mental abnormality
 
Conclusion kuwa amejirusha kwa makusudi kabla hata ya kutuambia uhusiano wake na mwenza wake au jamii inayomzunhika siyo sawa. Video clip ya mtu kujirusha haiwezi kutoa majibu yoyote. Nasikitika baada ya wiki hii mjadala huu na uchunguzi utakuwa umeisha kwa majibu mepesi ya jeshi letu
Usikute katombewer tu... Wanaume tuna tabu
 
Ukimsikiliza vizuri mjukuu wa marehemu unagundua Joel kuna ugonjwa ameumwa na umefanywa siri, kwamba watu wake wa karibu hawakuambiwa jamaa kapata stroke ya mdomo kupinda.

Kazi ya Joel ni u-mc, mdomo ndio mtaji wake, hivyo kuna uwezekano mkubwa kabisa ndumba imefanya kazi yake.

Kutokana na mlorongo wa matukio, inaonyesha tu uchawi umehusika. Na inaonekana jamaa alikuwa kwenye denial, yeye ni mtu wa kuabudu Mungu, hawezi kwenda kwa waganda. Hapo hapo naye ndio wamemmalizia hapo.
 
Yaah mzee hapa nimeaminia asilimia 98 kuna UCHAWIIII...!! Walianza kwa mdomo sasa wakaona ngoja wapite nae jumlaaa ila why sasa wamloge???? Daah
 
Duh! Ukiona mwanaume anaamua kukatisha maisha Yake kwa style hiyo Basi ujue Kuna mengi yalikuwa yanamsibu.

Wanaume huwa tunapitia mengi Sana Ni vile tu huwa hatupendi kuwaambia watu tunakomaa tu nayo.

Jamaa apumzike kwa amani bt time will tell.
 
Yaah mzee hapa nimeaminia asilimia 98 kuna UCHAWIIII...!! Walianza kwa mdomo sasa wakaona ngoja wapite nae jumlaaa ila why sasa wamloge???? Daah
Unadhani wanaoroga wanatoka mbali....ni watu wa karibu nae kabisa....pengine hata washirika kwenye biashara...... Dunia muda mwingine nk chungu sana.
 
Taasisi za Tanzania nyingi zinaongozwa na watu ambao ni wavivu wakufikiri ndio maana hutoa majibu haraka na mepesi matatizo yanapotokea.
Ajali ikitokea Polisi wanatoa taarifa juu ya vifo bila uchunguzi wa kina! Mtu akifariki kutoka juu ya ghorofa Kwanini wakimbilie kuwa kajirusha na sio karushwa? Je haiwezekani kuwa alisukumwa?
Ukienda kwenye wizara ya fedha nako mambo ni yale yale kutaka urahisi wa kutatua mambo magumu; Mwigulu hana njia nyingine yeyote ya kuongeza mapato ila kuongeza tozo kwani hizo ni rahisi kukusanya!
Majibu mepesi kwa uvivu wa kufikiri!
Ulitaka waseme kasukumwa ilihali picha za CCTV zinaonesha akiongea na simu kwa muda kisha akaenda kujirusha kwa hiyari yake pasi na kusukumizwa.
 
Ulitaka waseme kasukumwa ilihali picha za CCTV zinaonesha akiongea na simu kwa muda kisha akaenda kujirusha kwa hiyari yake pasi na kusukumizwa.
Alikuwa anaongea na simu na nani? Na nini walizungumza? Uhusiano wake na familia na wanaomzunguka upoje siku za mwisho wake?
 
Kuna dada mmoja mtumishi wa kanisa flani na muimba kwaya ya kanisa ni rafiki mkubwa wa marehemu alichoniambia kuhusu jamaa na maisha yake ya upande wa pili mi naamini kajimaliza mwenyewe. Watu na suti zao wana siri kubwa mjinin humu.
 
plan ya suicide ni jump from height[emoji3064]
What is the hardest way to end one's life!
Yeye amekuwa wa kwanza kujimaliza kwa njia hiyo? kuna kipindi nilikuwa Zanzibar miaka flani watu wengi walijimaliza kwa njia hiyo hasa vijana kwenye magorofa ya Michenzani
 
Yaah mzee hapa nimeaminia asilimia 98 kuna UCHAWIIII...!! Walianza kwa mdomo sasa wakaona ngoja wapite nae jumlaaa ila why sasa wamloge???? Daah
Hilo ndio swali kwanini apigwe juju yeye tu? Ma MC mbona wapo wengi tena maarufu kuliko yeye ambae kawa maarufu kwa njia aliyotumia kurudi kwa BABA
 
Sijaona mahali waliposema hana akili ila nimeona neno chizi kama sehemu ya jina lake.
 
Back
Top Bottom