Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Inaonekana umesoma mada hii bila kuelewa maswali ya mshana. Kwamba njia za kuondoka duniani zilikuwa nyingi tu, angeweza kuendesha suzuki yake na kufika 180kph akailengesha kwenye mwamba au kingo ya daraja nk.

Angeweza kutembea kwa mguu na kwa makusudi aingie mbele ya gari inayotembea, angeweza kuvuka barabara pasipo kuchukua tahadhari nk..

Hiyo aliyoamua, bado angeweza kuitekeleza tu hata saa 7 mchana, maana ni yeye tu ndio aliyekuwa anawaza kujiua, watu wengine hawapo kwa ajili ya kumtazama yeye kuwa watamzuia. Kuruka si ni kitendo cha ghafla tu mkuu.
Sahihi sasa conclusion ya suicide hua haiji tu yani hapo ni akili yote ndo imemuonesha hio ndo njia rahisi ambayo ana uhakika atakufa
Ameenda asubui ili iwe ngumu hata kupewa msaada ikitokea hajafa

Na mara zote watu wa ivo unakuta alipanda ghorofa 7 akaona hapo anaweza akapona
Anapanda mpaka anapoona hapa lazima nife then anajirusha
 
Kuna watu wana acrophobia, hawa hupata kiwewe sana wakiwa maghorofani huko.

Labda jamaa alikua mmoja wao
 
Mwisho wa siku njia rahisi za watu kufa zitiliwe mkazo, ila kabla ya hilo washauri wa afya ya akili wawe wengi pia.

Sasa mtu anajitupa ghorofani na kuzua taharuki namna hii maana yake nini hapo.
 
.. Umetuachia mijadala na sogozi kila kona!

Wengi hatukukujua kabla na hatutaweza kukujua zaidi ya haya tutakayoyasoma na tunayoyasoma mitandaoni sasa. Umeitwa chizi, umeitwa mpoteza kumbukumbu nknk.. Lakini haupo tena nasi kuweza kutusimulia zile dakika za mwisho wako zilikuwaje?

Kinachonipa shida ni hiki! Kwanini ukaamua kutumia njia hii!? Linaweza kuwa swali la kijinga lakini bado lenye kuhitaji tafakuri

Kwamba ulale kwako vizuri ama ukeshe uamke alfajiri utoke nje uwashe gari uendeshe mpaka makumbusho upande mpaka ghorofa ya 15 kisha ujirushe kwa nia ya kujimaliza? Mbona kama kulikuwa na option za kuondoka hapa duniani bila shida yote hiyo?

Sasa ulipatwa na nini ama ninini kilikupata? Ghorofa ya 15 alfajiri ya jana imebeba majibu yote! Nachelea kuamini shuhuda za mashuhuda! Daktari wa Bernard Membe familia imemkana kumjua na hajawahi kuonekana tena.

Haya ndiyo yanayosemwa sasa kukuhusu, ambayo kabla hayakuwahi kusemwa kwa wengi! Ama kwa wote[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linachunguza tukio la kifo cha Mtu aitwae Joel Misesemo Chizi anayekadiriwa kuwa miaka kati ya 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama na… twitter.com/i/web/status/1…

UPDATES Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kwamba Joel Misesemo aliyejirusha ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza Makumbusho na kufariki dunia hii leo Mei 23, 2023, amejirusha kwa makusudi kupitia dirisha lililopo ghorofa ya saba.

Joel alioa miaka 9 iliyopita na hakubatika kupata Mtoto. Nyuma hapo alipooza upande mmoja wa uso na alikuwa akitumia dawa ambazo tuliambiwa zina 'side effect'ambayo ilimsababishia kupoteza kumbukumbu na kufanya matendo yasiyokuwa ya kawaida"-Reuben, Kaka wa Joel Misesemo… twitter.com/i/web/status/1…


View attachment 2633442View attachment 2633443



A scene has a story to tell. Changamoto mpya kwenye uchunguzi, teknolojia mpya inaweza kutatua kitendawili hiki?
Naomba kueleweshwa daktari wa Membe amekanwa vipi?
 
Tunaposema depression is real mnadhani masikhara? Guys depression isikieni hivyo hivyo na kuhusu kwanini alijirusha ghorofani kwa mawazo yake yalipofikia aliona bora ajirushe ili afe haraka, kuna wengine huendesha gari mwendokasi kisha kujirusha na mbaya zaidi vifo vya watu wenye depression hua hawaachi ujumbe ila historia yake inaweza kuconnect dot kama hujui historia ya marehemu namna alivyo struggle ku fight hiyo depression mnaweza kusema mengi,

Depression ni kama jinamizi kwa imani za kiafrika, ila uhalisia ni tatizo la Afya ya Akili na likiwa sugu mwisho wake hua ni kifo tu.
 
Inakuwaje mtu anaamini akipata pesa na mali atakuwa na furaha maishani. Ila akipata still bado anahisi bado furaha haijatimia maishani mwake .. [emoji848]au ndio tuseme kila kitu ni ubatili Chini ya jua kwa mujibu wa Suleiman [emoji848]
 
Polisi wetu wanaweza kutoa taarifa hata kabla ya tukio mmh

Yaani wamefikia muafaka wa haraka kwa kuangalia tu cctv na kusema kwa uhakika kabisa kuwa kajirusha kwa makusudi

Je hiyo camera ipo ndani ya chumba ikiangalia dirisha? Au ni jengo la pili camera zake ndio zimeona wala hatujui


Yaani akifa wanaamua wao alikufaje
Sina Imani nao kabisa kwa majibu yao
Matukio mengi huwa unajiuliza hivi kweli mfungwa anajinyongaje na dekio jela
Huwa nawaza halafu najisemea tu aah si Africa?
 
Unamsikia mtu anasema, nashangaa ananitreat kama mnyama!! Unabaki kushangaa kuwa huyu alitaka atritiwe kama mmea??[emoji16][emoji16][emoji3]
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38]
Ndio misemo yetu bwana acha kabisa
Hivi unaniona hayawani eti [emoji1] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom