Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,249
- 61,181
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]Hahaha[emoji23]
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]Hahaha[emoji23]
Ni siku ngumu ila inakuja[emoji419][emoji375]View attachment 2633716
Yeeeeewss magufuli hayupo soo na hii scenario nayo mna i connect na ofisi ya raisi nani vile ??Taarifa nyingine zinasema gari lake limetambuliwa kwenye Parking ya eneo la Jengo hilo , chizi anawezaje kuendesha gari na aliingiaje kwenye Jengo hilo usiku wote huo ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Baba yake nae kaongea mengine tofautiTaarifa nyingine zinasema gari lake limetambuliwa kwenye Parking ya eneo la Jengo hilo , chizi anawezaje kuendesha gari na aliingiaje kwenye Jengo hilo usiku wote huo ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ninachojiuliza hilo gari wamepataje au wametumia CCTV zilizoonyesha akijirusha makusudi?Jeshi la Polisi limepata gari la Marehemu aina ya Suzuki rangi ya silver lenye namba za usajili T142 DRM lililokuwa limeegeshwa kwenye maegesho ya magari katika eneo hilo na sasa limehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay.
Gari la huyu wala halijapata ajali wamelihifadhi polisi Ila lile gari la naibu waziri wa TAMISEMI alilopata nalo ajali wala hawakulihifadhi polisiJeshi la Polisi limepata gari la Marehemu aina ya Suzuki rangi ya silver lenye namba za usajili T142 DRM lililokuwa limeegeshwa kwenye maegesho ya magari katika eneo hilo na sasa limehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay.
Na kwanini Police department kwa haraka sana wame draw conclusion kwamba ni maksudi?, wakati angekua wa chama kile,haraka Sana, uchunguzi unaendelea,kubaini chanzo cha kifo [emoji137]Taarifa ya Polisi imesema camera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya saba kupitia dirishani na kufariki
Taasisi za Tanzania nyingi zinaongozwa na watu ambao ni wavivu wakufikiri ndio maana hutoa majibu haraka na mepesi matatizo yanapotokea.Polisi wetu wanaweza kutoa taarifa hata kabla ya tukio mmh
Yaani wamefikia muafaka wa haraka kwa kuangalia tu cctv na kusema kwa uhakika kabisa kuwa kajirusha kwa makusudi
Je hiyo camera ipo ndani ya chumba ikiangalia dirisha? Au ni jengo la pili camera zake ndio zimeona wala hatujui
Yaani akifa wanaamua wao alikufaje
Sina Imani nao kabisa kwa majibu yao
Matukio mengi huwa unajiuliza hivi kweli mfungwa anajinyongaje na dekio jela
Huwa nawaza halafu najisemea tu aah si Africa?
ina maana hakusukumwa na mtuCCTV kamera kumbe zina uwezo wa kuonesha nia na mawazo ya mtu? Hapa zilionesha marehemu akijirusha KWA MAKUSUDI
.. Umetuachia mijadala na sogozi kila kona!
Wengi hatukukujua kabla na hatutaweza kukujua zaidi ya haya tutakayoyasoma na tunayoyasoma mitandaoni sasa. Umeitwa chizi, umeitwa mpoteza kumbukumbu nknk.. Lakini haupo tena nasi kuweza kutusimulia zile dakika za mwisho wako zilikuwaje?
Kinachonipa shida ni hiki! Kwanini ukaamua kutumia njia hii!? Linaweza kuwa swali la kijinga lakini bado lenye kuhitaji tafakuri
Kwamba ulale kwako vizuri ama ukeshe uamke alfajiri utoke nje uwashe gari uendeshe mpaka makumbusho upande mpaka ghorofa ya 15 kisha ujirushe kwa nia ya kujimaliza? Mbona kama kulikuwa na option za kuondoka hapa duniani bila shida yote hiyo?
Sasa ulipatwa na nini ama ninini kilikupata? Ghorofa
Mrs Van unaikumbuka ile comment yako katika uzi wa princess ariana , isije ikawa na huyu marehemu pia alikuwa …Joel alioa miaka 9 iliyopita na hakubatika kupata Mtoto. Nyuma hapo alipooza upande mmoja wa uso na alikuwa akitumia dawa ambazo tuliambiwa zina 'side effect'ambayo ilimsababishia kupoteza kumbukumbu na kufanya matendo yasiyokuwa ya kawaida"-Reuben, Kaka wa Joel Misesemo… twitter.com/i/web/status/1…
View attachment 2633442View attachment 2633443
![]()
A scene has a story to tell. Changamoto mpya kwenye uchunguzi, teknolojia mpya inaweza kutatua kitendawili hiki?
Vifo tata! Kuna watu walikufa vifo visivyo vya kawaida, vifo vya lazima, vifo vya kuuliwa, kuna mbinu kama forensic investigation ziliweza kung'amua kilichojiri kabla ya kifo. Kuna technology ya mboni za macho pia, japo hii inapewa changamoto na mapingamizi kuhusiana na uhalisia wake, japo kuna...www.jamiiforums.com
A scene has a story to tell. Changamoto mpya kwenye uchunguzi, teknolojia mpya inaweza kutatua kitendawili hiki?
Hakuna msiba usio na hadithi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii dunia hii, kama kawaida mtu akishaondoka tu, maneno mlima.
Sasa wanasema kwamba alikua na matatizo ya akili....[emoji848][emoji848][emoji848]