Dunia ni hatariToka kwa rafiki[emoji1541]
Da Natulia nakutana na habari yako kaka,ndugu yangu,mc kuwa umeondoka
Pole sana kwa Mama yangu Misesemo, pole kwa wanafamilia Wote Joel umeniumiza Sana yaani ulikuwa ndo umefika patamu kwenye Neema na Bland yako kupanda mjini leo umelala tena.
R.I.P Joel Misesemo[emoji24][emoji24][emoji24]
Alikwambiaje?Kuna dada mmoja mtumishi wa kanisa flani na muimba kwaya ya kanisa ni rafiki mkubwa wa marehemu alichoniambia kuhusu jamaa na maisha yake ya upande wa pili mi naamini kajimaliza mwenyewe. Watu na suti zao wana siri kubwa mjinin humu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Taarifa ya Polisi imesema camera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya saba kupitia dirishani na kufariki[emoji848][emoji3064][emoji2827]
CCTV kamera kumbe zina uwezo wa kuonesha nia na mawazo ya mtu? Hapa zilionesha marehemu akijirusha KWA MAKUSUDI
Ukipanda gari/Basi la mkoani ukawaangalia wale jamaa wanaouza mahindi walivyo chini na wewe ulivyo juu kileleni,au tule tugari tudogo tulivyo chini unakaangalia kwa dharau,ndiyo unakuja kugundua ghorofa ya 15 ni zaidi ya kuwa juu.
Katika Hali ya kawaida huwezi kupata ujasiri wa kujirusha kutoka juu kote huko. Ipo namna asee,uchunguzi wa kina ufanyike!!
Hichi kifo kina maswali mengi Kama kifo Cha Katibu wa masanja mkandamizaji.
Inakuwaje mtu anaamini akipata pesa na mali atakuwa na furaha maishani. Ila akipata still bado anahisi bado furaha haijatimia maishani mwake .. [emoji848]au ndio tuseme kila kitu ni ubatili Chini ya jua kwa mujibu wa Suleiman [emoji848]
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linachunguza tukio la kifo cha Mtu aitwae Joel Misesemo Chizi anayekadiriwa kuwa miaka kati ya 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho na kufariki.
Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa Marehemu alionekana katika jengo hilo leo tarehe 23, Mei 2023 majira ya saa kumi na moja alifajiri na alimwambia Mlinzi wa zamu kuwa anaenda kufanya ibada kwenye Msikiti uliopo ghorofa ya 15 dani ya jengo hilo lakini muda mfupi baadaye alijirusha
Jeshi la Polisi limepata gari la Marehemu aina ya Suzuki rangi ya silver lenye namba za usajili T142 DRM lililokuwa limeegeshwa kwenye maegesho ya magari katika eneo hilo na sasa limehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay.
Taarifa ya Polisi imesema camera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya saba kupitia dirishani na kufariki ambapo tayari mwili wake umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi.