Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Conclusion kuwa amejirusha kwa makusudi kabla hata ya kutuambia uhusiano wake na mwenza wake au jamii inayomzunguka siyo sawa. Video clip ya mtu kujirusha haiwezi kutoa majibu yoyote. Nasikitika baada ya wiki hii mjadala huu na uchunguzi utakuwa umeisha kwa majibu mepesi ya jeshi letu
 
Kama sio fumanizi basi Kuna kisasi au tukio lolote baya! Hiyo saa 11 alfajiri marehemu alifuata nini usiku usiku hotelini?
 
.. Umetuachia mijadala na sogozi kila kona!

Wengi hatukukujua kabla na hatutaweza kukujua zaidi ya haya tutakayoyasoma na tunayoyasoma mitandaoni sasa. Umeitwa chizi, umeitwa mpoteza kumbukumbu nknk.. Lakini haupo tena nasi kuweza kutusimulia zile dakika za mwisho wako zilikuwaje? Kinachonipa shida ni hiki! Kwanini ukaamua kutumia njia hii!? Linaweza kuwa swali la kijinga lakini bado lenye kuhitaji tafakuri

Kwamba ulale kwako vizuri ama ukeshe uamke alfajiri utoke nje uwashe gari uendeshe mpaka makumbusho upande mpaka ghorofa ya 15 kisha ujirushe kwa nia ya kujimaliza? Mbona kama kulikuwa na option za kuondoka hapa duniani bila shida yote hiyo?

Sasa ulipatwa na nini ama ninini kilikupata? Ghorofa ya 15 alfajiri ya jana imebeba majibu yote! Nachelea kuamini shuhuda za mashuhuda! Daktari wa Bernard Membe familia imemkana kumjua na hajawahi kuonekana tena..

Haya ndiyo yanayosemwa sasa kukuhusu, ambayo kabla hayakuwahi kusemwa kwa wengi! Ama kwa wote[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linachunguza tukio la kifo cha Mtu aitwae Joel Misesemo Chizi anayekadiriwa kuwa miaka kati ya 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama na… twitter.com/i/web/status/1…

#UPDATES Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kwamba Joel Misesemo aliyejirusha ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza Makumbusho na kufariki dunia hii leo Mei 23, 2023, amejirusha kwa makusudi kupitia dirisha lililopo ghorofa ya saba.

Joel alioa miaka 9 iliyopita na hakubatika kupata Mtoto. Nyuma hapo alipooza upande mmoja wa uso na alikuwa akitumia dawa ambazo tuliambiwa zina 'side effect'ambayo ilimsababishia kupoteza kumbukumbu na kufanya matendo yasiyokuwa ya kawaida"-Reuben, Kaka wa Joel Misesemo… twitter.com/i/web/status/1…


View attachment 2633442View attachment 2633443
Kwanini akili zetu huwaamini haraka Marehem na watoa taarifa wa mwanzo?
Yaani akipatika mtu kafa njiani, gari kapaki, mtoa taarifa wa mwanzo hata kama hana elimu ya tiba akitupostia kwenye mitandao kuwa BARABARA YA....KUNA MTU KAFA KWA UGONJWA WA MOYO. BASI HIYO IMETOKA
 
Unapata neurological deficit
CNVII inapata shida
Unapata facial paralysis
Ukiwaza wewe ni mtu wa casting
U got married 8+ years ago no child
Una crisis na mpenzio
Unapata depression
Unashindwa kuhimili unaona better plan ya suicide ni jump from height
Unajua ukienda mchana nzi ni wengi
Unadamka asubui unaenda kujimaliza
Rest easy champ
 
Alikua anafanyaje kazi za u-MC huku anasahau sahau kumbukumbu?? Hata kama watasema kwenye sherehe anasoma tu ratiba, kwa kupoteza kumbukumbu si anaweza hata asijue kama yupo kwenye tamasha..au harusi akajua ni msiba, akasema sasa ni muda wa kufukia kaburi.
 
Unapata neurological deficit
CNVII inapata shida
Unapata facial paralysis
Ukiwaza wewe ni mtu wa casting
U got married 8+ years ago no child
Una crisis na mpenzio
Unapata depression
Unashindwa kuhimili unaona better plan ya suicide ni jump from height
Unajua ukienda mchana nzi ni wengi
Unadamka asubui unaenda kujimaliza
Rest easy champ
plan ya suicide ni jump from height[emoji3064]
What is the hardest way to end one's life!
 
Mkuu wa kilingeni
Tunza sana hizi kauli za awali za polisi.

Nina mashaka sana na haya maelezo ya haraka haraka yasiyotofautiana na yale ya aliyejitambulisha kama daktari wa Membe
Natamani nami kupata CCTV yenye uwezo wa kujua nia ya mtu
 
Nzi wengi watakuzuia usife😀😀
Seems haujawahi kukaa na hao watu na unaona hizo taarifa kwenye TV
Unadhan mtu kufikia conclusion ya kujiua ni anakua hajajipanga kuvuka vikwazo vyake
 
Mkuu hivo ni vitu rahisi tu kujua ni intentionally au unintentionally
Hata wewe ukipewa video mbili tofaut utaweza kutoa tafsiri
Naomba tulijadili hili tukiipata footage ya marehemu
 
Bongo kwa kuficha taarifa Ni wazuri mno

A scene has a story to tell. Changamoto mpya kwenye uchunguzi, teknolojia mpya inaweza kutatua kitendawili hiki?
 
Seems haujawahi kukaa na hao watu na unaona hizo taarifa kwenye TV
Unadhan mtu kufikia conclusion ya kujiua ni anakua hajajipanga kuvuka vikwazo vyake
Inaonekana umesoma mada hii bila kuelewa maswali ya mshana. Kwamba njia za kuondoka duniani zilikuwa nyingi tu, angeweza kuendesha suzuki yake na kufika 180kph akailengesha kwenye mwamba au kingo ya daraja nk.

Angeweza kutembea kwa mguu na kwa makusudi aingie mbele ya gari inayotembea, angeweza kuvuka barabara pasipo kuchukua tahadhari nk..

Hiyo aliyoamua, bado angeweza kuitekeleza tu hata saa 7 mchana, maana ni yeye tu ndio aliyekuwa anawaza kujiua, watu wengine hawapo kwa ajili ya kumtazama yeye kuwa watamzuia. Kuruka si ni kitendo cha ghafla tu mkuu.
 
Back
Top Bottom