HahahahahaaaaaaaaNdo maana kila mara amechoka choka Bungeni. Kama yeye si mlevi wa pombe au"sigara" huo ndio ulevi wake mpaka kusahau ana Watoto wangapi. Lakini kwa kuwa nasikia fani yake ni Wanyama Pori na kweye ikolojia ya wanyama pori (competition), DUME Bora ni lile linaloweza kusambaza vinasaba (genes) vyake kwa wingi zaidi ya mwingine (yaani Watoto). TAFAKARI (inaelekea Uasherati ni Sera ya MAGAMBA unamkumbuka Chemba huko Igunga na ? huko Singida?)
Ndugai Mkuu.Sasa hapa kati yake na wabunge nani wakupimwa?
Ndugai yuko sahihi si rahisi mwanaume kujua Ana watoto wangapi mama wazazi ndio hujua watoto wa mwanaume yupi awe mume au la ni wangapi. Kidume huwezi jua kwa uhakika una watoto wangapi labda upime DNA. Huyo mtangazaji kakosea kuuliza hilo swali alitakiwa akamuulize mke wa NdugaiKatika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Nimekupa like ya kumi na tano mkuu.Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.
Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
Mkuu njoo tena.nimekosa botton ya "like"..ningekupa hata 200, anyway mie nilikuwa napita ila najua msg sent and delivered
Hahahahaaaaaa.aseme ukweli tu, kwamba yeye ni mnzinzi tu! na mwingine si alifumaniwa wapi kule
........
Na watu kama Hao Wanajisifia kwenye TV na bado wanapewa Kura na Wananchi? Hiyo ni Sifa baba kuwa a rolling stone?
Kweli tuko Mbali kuendelea, na huyo Mtangazaji hakudiriki kuuliza Maswali ya kumbana na kumuaibisha? News Anchors
Wengi wana angalau a LLB hii inatuaibisha sisi Wanaume... SIO SIFA HATA KIDOGO
Mkuu umeanza kutumia hilo neno zamani eeehh!!Unawashwa washwa.
Njoooonii mteteee Ndugai.Acha kutetea ujinga, yan unamsifia mtu kujibu swali kama mwehu! Kweli mtu ana sema sijui kama nina mtoto, alaf una muona shujaa! Si shangai wewe kumtetea maana hata wewe unaweza kusema ukumbuki kama ulisababisha mauaji!
Kumbe bifu limeanza kitambo!!sikujua kama ni muhasherati.
inawezekana alijaribu kwa Mdee akakosa ndo sababu alimtukana.
Hivi mtu anayepitapita popote hawezi kupigwa shoti kweli ?Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Kwi! Kwi! Kwi!Njoooonii mteteee Ndugai.
Akiba ya maneno ni jambo jema sana.
Haya uliyasema ulipokuwa Kamanda, ebu rudi uyaone tena
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
NaKimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.
Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?