GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,666
- Thread starter
- #161
Heheheeee! Akijibu, page me!unamuuliza nani[emoji62][emoji62][emoji83][emoji89][emoji90][emoji90][emoji381][emoji381][emoji382]
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheeee! Akijibu, page me!unamuuliza nani[emoji62][emoji62][emoji83][emoji89][emoji90][emoji90][emoji381][emoji381][emoji382]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msema kweli huyoo 😁Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.
Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Duuaseme ukweli tu, kwamba yeye ni mnzinzi tu! na mwingine si alifumaniwa wapi kule
........
AYassOk kumbe mh. anafanya ngono zembe!... Jamani viongozi kumbukeni nyie ndio kioo kwa jamii mnayo iongoza
Maadili unayatafuta ccm?kajidhalilisha tu
MAADILI ZERO... lakini bado anasimama na kusimamia sheria ambazo nyingine zinatakiwa kulinda wanawake na watoto waliozaliwa na mababa donoa donoa namna hii
Kumbe ndo ilikuwa ivyo!!!Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.
Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?