Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.

Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Ndio wanaume hupita pita is sio kwa extent ya kutokujua watoto, hamtumiikinga?
 
Hilo li baba ina maana limetelekeza watoto. wengine maskini hawana hata daftari wala karo za shule maana hata baba hawajui kama wapo na wako wapi? Hafai kuwa kiongozi. Mtu asiweza kutunza familia yake hawezi kuongoza watu.
Wakuu msijali, lazima mama za hao watoto wata take care. La mhimu ni kuzaa na mwanamke ambaye mkate wake wa kila siku siyo issue. Hayo mengine yote mara hatumii kinga, ooo mara hana maadili hayana maana yoyote kwa baadhi yetu. Bahati mbaya wengi wenu mmekuwa brain washed na wamagharibi. Mnajifanya kufikiria kizungu huku mkiishi kiafrika. Hakuna kosa kubwa lolote aliloongea Mh. Ndugai hadi muanze kumtolea mimacho kwa kitu ambacho achilia mbali kwamba wengi wenu mnakifanya lakini pia wengi wenu ni product ya kilichobainishwa na Ndugai.
 
Sasa mkuu kwa hiyo kauli unaona amekimbia mjadala, au ameanzisha mjadala??

Mngekuwa mna akili hata kidogo mngeelewa anachokwepa si suala la watoto au mke bali kuleta kwenye mjadala maisha yake binafsi. Kwa kukusaidia tu na yeye amefanya kama aloyafanya Slaa, yaan kamuacha mke wake anaishi na mwanamke mwingine. Anachoogopa ni kurudia kosa la Slaa pale jangwani.
 
Sasa mkuu kwa hiyo kauli unaona amekimbia mjadala, au ameanzisha mjadala??

Mngekuwa mna akili hata kidogo mngeelewa anachokwepa si suala la watoto au mke bali kuleta kwenye mjadala maisha yake binafsi. Kwa kukusaidia tu na yeye amefanya kama aloyafanya Slaa, yaan kamuacha mke wake anaishi na mwanamke mwingine. Anachoogopa ni kurudia kosa la Slaa pale jangwani.
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.

Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
tangu 2012 mpaka leo duh watu kwa kufukua makabuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu msijali, lazima mama za hao watoto wata take care. La mhimu ni kuzaa na mwanamke ambaye mkate wake wa kila siku siyo issue. Hayo mengine yote mara hatumii kinga, ooo mara hana maadili hayana maana yoyote kwa baadhi yetu. Bahati mbaya wengi wenu mmekuwa brain washed na wamagharibi. Mnajifanya kufikiria kizungu huku mkiishi kiafrika. Hakuna kosa kubwa lolote aliloongea Mh. Ndugai hadi muanze kumtolea mimacho kwa kitu ambacho achilia mbali kwamba wengi wenu mnakifanya lakini pia wengi wenu ni product ya kilichobainishwa na Ndugai.
Wewe ni Sawa Sawa na mnyama huna utashi yaani conscience. Many animals in Africa than human beings
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.

Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

He must be a chovyachovya aka onjaonja
 
Back
Top Bottom