Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Mtanzania Ndugai sidhani kama alikuwa na mawazo kama yako
Umeenda mbali sana mpaka kwenye DNA uyu jamaa alipatwa na dillema ghafla maana akisema awataje wale aliozaa na mke wa ndoa wale wa kwa nyuma ndogo kutakuwa hakukaliki
So akaamua awe neutral!
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Alikuwa anatania tuu
 
Kwenye nchi za ukweli kauli hii ya Ndugai angekumbana na nguvu ya Bunge na amgetimuliwa madarakani;huwezi ukawa kiongozi wa moja ya mihimili ya dola then ukawa mzinzi!Yaliyomkuta Clinton na juzi Speaker Gingrinch hamna asiyejua hapa!

Lkn ni wabunge gani wenye ujasiri wa kumuambia Ndugai achia ngazi?Ni wabunge hawa tunaokutana nao kule Mnadani wamekumbatia visichana?
 
Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Baba kama huyu asiyejali familia na pasi na shaka yoyote asiyejua Haki za Binadamu kwa nini bado ni kiongozi?

Kwanza kwa kauli hiyo inaonesha si mtu anayethamini utu wa mwanamke maana kashapita kwa wengi.

Pili hata huko alikopita hajaweza kuangalia nyuma, na hii moja kwa moja inaleta tafsiri kuwa kakosa maadili.

Tatu, hajui kutumia kinga mtu huyu hivyo kuna uwezekano mkubwa pia ameathirika (Ili mtoto apatikane manii ya mwanaume hutakiwa kurutubisha yai la mwanamke, ukivaa kinga manii huishia ndani ya mpira wa kiume).

Nne, kuna uwezekano mkubwa mtu huyu ni muongo na akawa na taarifa fika za idadi ya watoto alionao ila anaficha tu(sababu hiyo anaijua mwenyewe).

Tano, ni kinyume cha haki za binadamu kwani kila mtoto anapaswa kuwafahamu wazazi wake wote wawili maadamu wapo hai.(Ndio maana mzazi wa kiume hutakiwa kumtunza mwanaye hadi anapofikia umri fulani).
 
Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?

mmh!! kuna baadhi ya akili humu jamvini zinamiminika.
so kama ni shemeji ndo umtukane?? inamaana ushemeji unaruhusiwa kuharibu heshima ya kazi??

Lakini on the other hand, kumbe alikuwa anakwepa kusema ukweli wa maisha yake sio? kwa stahili hii sasa naamini ndani ya buge la JMT hakuna mbunge ama waziri ama spika asokuwa na mtoto, ama wake chini ya 2
 
atakumbuka vipi kujua majukumu yake yote ktk kulitumikia taifa wakati ndani ya familia yake hajui.
ama kweli hii ndio nchi iliyobahatika kuongozwa na majuha.
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Du! hii kali
 
Shikamoo ndugai! Wewe kidume kweli yaani hata idadi ya watoto huikumbuki? Kwa kweli Kongwa mnakidume hongereni sana!
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Wabunge tunawataka mpunguze 'mikasi' mfikirie mambo mengine zaidi ya 'kinena' ili nchi yetu hii yenye kila aina ya utajiri hapa duniani ipige hatua, tafaaadhali!
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Khaa!! bora amejisemea ukweli kuliko hao wanaotaja idadi ya watoto kumbe siyo wao ni watoto wa mahouse boy wao na wauza wauza urembo.Uko busy na M4C au nginjangija au jino kwa jino unategemea nini?? Afadhali swali liwe mkeo ana watoto wangapi kuliko kuulizwa mwanaume una watoto wangapi :bored:
 
Ila sijaona issue hapa..kimsingi sijaona kitu kilichofichika kwani angeweza kusema ana watoto 10 kumbe siyo kweliKikubwa nadhani hakutaka kuzungumzia maisha yake kwenye hatua ya familia.Hebu tujiulize kuhusu Mwl Nyerere alivyoulizwa na mwandishi wa habari pale Nairobi kuna tetesi anataka kuivamia Kenya..alichomjibu je mamako akikwambia mimi ndo tulioshirikiana kukuzaa utaamini?Basi yule mwandishi kwishnei
 
Haya yanawezekana hapa Tanzania na Africa tu, Mtu asiyeweza kulea familia yake anawezaje kuwa kiongozi wa Umma, Orhanisation inaanzia katika level ya Familia, kama haka ka-organization kadogo tu kamemshinda na hili la nchi je?
 
Back
Top Bottom