Job Ndugai: sijui nina watoto wangapi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job Ndugai: sijui nina watoto wangapi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GreenCity, Jul 29, 2012.

 1. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,072
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
   
 2. i

  iseesa JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana kila mara amechoka choka Bungeni. Kama yeye si mlevi wa pombe au"sigara" huo ndio ulevi wake mpaka kusahau ana Watoto wangapi. Lakini kwa kuwa nasikia fani yake ni Wanyama Pori na kweye ikolojia ya wanyama pori (competition), DUME Bora ni lile linaloweza kusambaza vinasaba (genes) vyake kwa wingi zaidi ya mwingine (yaani Watoto). TAFAKARI (inaelekea Uasherati ni Sera ya MAGAMBA unamkumbuka Chemba huko Igunga na ? huko Singida?)
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Daah! na huyo ni kiongozi wa kitaifa, kweli bongo tunaziweza comedy!
   
 4. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msamehe Bure!

  Amekiri ni mara yake ya kwanza kufanya interview na mwandishi wa habari. This is reduclous yaani amekuwa katika ofisi ya Bunge for seven years and failed to face the press.
  This is a big shame kwa CCM . Agwe ameshindwa kusema kama ameoa na wala hajui ana watoto wangapi? This can only happen in Tanzania anajivunia kujaza ombaomba nyumbani kwake na kuwapikia chai kwenye sufuria kubwa. Job Ndugai unasoma hapa JF tupatie majibu.
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,937
  Likes Received: 9,801
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa kati yake na wabunge nani wakupimwa?
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  Mngekuwa mna akili hata kidogo mngeelewa anachokwepa si suala la watoto au mke bali kuleta kwenye mjadala maisha yake binafsi. Kwa kukusaidia tu na yeye amefanya kama aloyafanya Slaa, yaan kamuacha mke wake anaishi na mwanamke mwingine. Anachoogopa ni kurudia kosa la Slaa pale jangwani.
   
 7. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,773
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

  Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
   
 8. b

  bdo JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,676
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  nimekosa botton ya "like"..ningekupa hata 200, anyway mie nilikuwa napita ila najua msg sent and delivered
   
 9. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,203
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  aseme ukweli tu, kwamba yeye ni mnzinzi tu! na mwingine si alifumaniwa wapi kule
  ........
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,140
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  pale tabata alikimbia mke wa ndoa na watoto 4
   
 11. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uasherati ni fani ya Magamba
   
 12. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bila kusahau kuwa pia alitaka kutoa kafara moja ya mtoto wake akakuta mama wa kichaga amesha zungusha wigo wa chuma kama wa Ayubu akachemka
   
 13. y

  yaya JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, I'm sorry to say, you are very wrong.
  They are quite different in every way.
  A great figure like him was supposed to be frank.
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Na huyu ndio naibu speaker maadili yako wapi kama hujui ata watoto wako!
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 804
  Trophy Points: 280
  kajidhalilisha tu

  MAADILI ZERO... lakini bado anasimama na kusimamia sheria ambazo nyingine zinatakiwa kulinda wanawake na watoto waliozaliwa na mababa donoa donoa namna hii
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145

  Na watu kama Hao Wanajisifia kwenye TV na bado wanapewa Kura na Wananchi? Hiyo ni Sifa baba kuwa a rolling stone?

  Kweli tuko Mbali kuendelea, na huyo Mtangazaji hakudiriki kuuliza Maswali ya kumbana na kumuaibisha? News Anchors

  Wengi wana angalau a LLB hii inatuaibisha sisi Wanaume... SIO SIFA HATA KIDOGO
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,601
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Wewe ndo pumpkin head kweli kweli
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,187
  Likes Received: 4,541
  Trophy Points: 280
  Unachosema ni kweli kabisa na kuna wengine wataka kugombea urais.
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama hali yenyewe ndo hii huyu akizeeka c atakuwa _________!
   
 20. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,043
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  Watu wanachekesha sana humu, huyu jamaa kumwacha mkewe na kuchukua kiji-nyambizi kingine amekuwa muasherati. Mhhhh, Tanzania ina mambo yake.

  Sifikiri kama jamaa ameshindwa kutaja watoto wake, ila nafikiri hakutaka kuingiza mambo binafsi kwa media na siasa. Si ule upande wa pili hali ya namna hiyo, huwa hamsemi maadili bali mambo binafsi, inakuwa je leo mnauliza maadili?
   
Loading...