Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
makubwaa
cc NIYOMBARE, chuma cha mjerumani,Lizaboni
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.

Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Aende kwa makonda huyoo ha ha ha
 
Huyu ndio mtu aliyetangaza kwamba wanawake waliotelekezwa na wabunge waende ofisini kwake , huku yeye mwenyewe hajui idadi ya watoto wake kutokana na kupuyanga bila mpango.
 
Atak
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.

Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Uwa miongoni mwa waliomwendea Bashite kisirisiri asiumbuliwe
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi.

Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom