JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2020 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

Affet

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
1,028
2,000
Hiyo sawa kabisa ,kwa kipindi cha jk ukitoka six kupata nyota simple sanaaaa.ila baada ya mzee baba kushika hatamu ukienda na form six yako officer utaisikia kwa redio. labda itokee wanahitaji ma officer,
Officer kote huko? Kwanza kuipata hiyo nafasi ni ishu jkt saa hz ajira ngumu sana
 

SODIUM CYANIDE

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
680
1,000
2013 nilikuwa 842 kj Mlale mujibu wa sheria. Vifaa vyote tulipewa bure na nauli ya kwenda tulirudishiwa yote kikubwa tiketi na nauli ya kurudi na posho ya kula njiani tulipewa na kikosi. Posho ya 50 elfu kila mwezi.

Kweli kila zama na nabii wake.
 

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
636
1,000
bodi ya mikopo imefungua dirisha la mikopo kwa muda wa siku 40 tu, na sasaivi hao wanafunzi wanaenda huko wakirudi si watakuta imefungwa tayari au wana apply huko huko jkt?
 

Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,093
2,000
acha tu, mabinti wengi wanatoka huko na UKIMWI, ndoto zao zinaishia hapo, laiti wazazi wangejua kinachoendelea huko, wangesikitika sana
Unao ushahidi au ni hisia zako? Binafsi nimepita huko na nilichogundua ni kuwa mabinti wenye msimamo wanatoka salama.
 

Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,093
2,000
Huruma kwa lipi,kama kubanduliwa,wameishabanduliwa,na matango ya kila saizi,kuna ambao nilisafiri nao kutoka Mwanza kwenda Arusha na Isamilo bus,njia nzima wanasimuliana walivyokunywa pombe,na jinsi maticha wao walivyokuwa wanawamendea.
Wengi wanaharibikia kitaa, case za kuharibikia jkt ni chache mno
 

Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,093
2,000
Nikikujua wewe ni mzazi kisha unamruhusu mwanao wa kike aende JKT nitajitolea kukuchapa makofi.

Hata hivyo mimi mwenyewe sikwenda, nilifanya mradi wa serikali nikalipwa hela na kuijenga nchi. Wao wakajiviringisha kwenye matope na kuimba eti ndo uzalendo. Walirudi njaa kali na hawajafanyia chochote taifa.
Sasa km hukwenda unajuaje unakataaje mtoto wa kike kwenda? Au habari za kusimuliwa ndo zinakupumbaza??
 

Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,093
2,000
Kwa mtoto wa kike ukitamaniwa unaandamwa wewe tuu wewe tuu hadi unajihisi una mkosi mkubwa wa ajabu kuliko wenziyo!

Sasa njemba ikiona umechoka na sulba zile na umelainika vilivyo ndiyo mwishowe inajifanya kukuonea huruma na kukukingia kifua!

Mbinu hiyo sasa haina cha ukali, msimamo and the like, lazima kitu kisomwe na inakuwa ni siri yako lakini 'kibaka' akichekelea, na kusherehekea mbinu yake chafu na ya kishenz.

Maana yake ni kwamba hakuna mwanamke yeyote duniani asiyehitaji upendeleo wa ziada... hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Kambi gani hiyo? Kambi niliyoenda hayo mambo ya wadada kuandamwa hayakuwepo. Zaidi wenyewe ndo walikuwa wanajipendekeza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom