JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2020 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,942
2,000
Kupotezeana Muda tu
JKT ni kuwapotezea muda vijana.

Mafunzo ya JKT hayajawahi kua na maana yoyote.

Kwenda kufundishwa kukesha usiku kucha, sijui kugalagala kwenye matope eti ndio uzalendo sijui ukakamavu.

JKT kuwapotezea muda vijana, muda amvao wangeweza kuzalisha au kufanya mambo ya maana kwenye maisha yao.

JKT badala ya kufundisha watu ujuzi wanaenda kufundisha watu kukesha, kumwagilia bustani, sijui kufanya ujinga gani mwingine eti ndio uzalendo.

Nyie wote inaonyesha hamkuwahi kupita JKT

Someni hapa: Get to know unit 8200
 

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,969
2,000
Hii JKT mbona siku hizi imekuwa kama shule za private? Ona mahitaji ya bure yanagharimiwa.
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,615
2,000
Daa. Oljoro wajiandae kupalilia shamba la embakasi ,dunia na duka la mbao.
Watakao enda rwamkoma kidogo watakula shavu kile kishamba chao sio kubwa kiviilee alafu pale tano ni kumwaga tee ni nje njee
 

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,620
2,000
Nikikujua wewe ni mzazi kisha unamruhusu mwanao wa kike aende JKT nitajitolea kukuchapa makofi.

Hata hivyo mimi mwenyewe sikwenda, nilifanya mradi wa serikali nikalipwa hela na kuijenga nchi. Wao wakajiviringisha kwenye matope na kuimba eti ndo uzalendo. Walirudi njaa kali na hawajafanyia chochote taifa.

Hivi unaelewa ulicho kiandika? Huwezi kujua umuhimu wake Kwa sababu hukuenda.
 

ligend

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
492
1,000
me nlienda kupoteza muda tu na gharama zisizo za msingi haisaidii chochote ktk maisha ya sasa.
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,578
2,000
Hivi unaelewa ulicho kiandika? Huwezi kujua umuhimu wake Kwa sababu hukuenda.
Ungejua maisha yangu yalivyo usingenambia umuhimu wa JKT ya miezi mitatu kasoro.
Sikuenda kwa sababu zangu binafsi. Ninachopinga ni kupeleka watoto wa kike kule. Haya sasa nambie hizo faida ni zipi ambazo nimekosa.
 

grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,979
2,000
Washkaji zangu wana nyota now JK alikuwa mtu poa sanaaa
Hiyo sawa kabisa ,kwa kipindi cha jk ukitoka six kupata nyota simple sanaaaa.ila baada ya mzee baba kushika hatamu ukienda na form six yako officer utaisikia kwa redio.😂😂😂 labda itokee wanahitaji ma officer,
 

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,948
2,000
Daa. Oljoro wajiandae kupalilia shamba la embakasi ,dunia na duka la mbao.
Watakao enda rwamkoma kidogo watakula shavu kile kishamba chao sio kubwa kiviilee alafu pale tano ni kumwaga tee ni nje njee
Shamba dunia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom