Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,663
Ah..utaniliza ndugu zama zimebadilika sanaWashkaji zangu wana nyota now JK alikuwa mtu poa sanaaa
Ah..utaniliza ndugu zama zimebadilika sanaWashkaji zangu wana nyota now JK alikuwa mtu poa sanaaa
Officer kote huko? Kwanza kuipata hiyo nafasi ni ishu jkt saa hz ajira ngumu sanaHiyo sawa kabisa ,kwa kipindi cha jk ukitoka six kupata nyota simple sanaaaa.ila baada ya mzee baba kushika hatamu ukienda na form six yako officer utaisikia kwa redio. labda itokee wanahitaji ma officer,
Lipo mkuu ni kubwa hadi likapewa jina hiloShamba dunia
Hatasisi pia tulikuwa na mashamba duniaLipo mkuu ni kubwa hadi likapewa jina hilo
Ahaa sawaHatasisi pia tulikuwa na mashamba dunia
Halaf wee jamaa mwanzon nljuaga ni DemAhaa sawa
Hawalazimishi hiari yakeUnamzuia kwenda jeshini, anakutana na mabaharia mtaani,
Moto wa kike Atapewa kitengo ili kuepuka kazi mzito.hukohuko shughuli ataipata.mtoto wa kiume ruksa akajifunze ukakamavu ila sishaur kwa watot wa kike coz wanaenda kuwa watumwa wa ngono wa makamanda yani waatapigwa miti hadi bc
Ah..utaniliza ndugu zama zimebadilika sana
Unao ushahidi au ni hisia zako? Binafsi nimepita huko na nilichogundua ni kuwa mabinti wenye msimamo wanatoka salama.acha tu, mabinti wengi wanatoka huko na UKIMWI, ndoto zao zinaishia hapo, laiti wazazi wangejua kinachoendelea huko, wangesikitika sana
Moja ya sheria za kule ni kutoruhusu mapenzi kambini hivyo utaratibu huo upo.Hii ni hatari sasa, hakuna utaratibu wa kutoa malalamiko yao sehemu yoyote?
Sir Meja, OC lakini pia hata kwa CO. Iliwahi kutokea na mhusika alishughulikiwajeshi ni amri tu, malalamiko utayapeleka wapi?
Wengi wanaharibikia kitaa, case za kuharibikia jkt ni chache mnoHuruma kwa lipi,kama kubanduliwa,wameishabanduliwa,na matango ya kila saizi,kuna ambao nilisafiri nao kutoka Mwanza kwenda Arusha na Isamilo bus,njia nzima wanasimuliana walivyokunywa pombe,na jinsi maticha wao walivyokuwa wanawamendea.
Sasa km hukwenda unajuaje unakataaje mtoto wa kike kwenda? Au habari za kusimuliwa ndo zinakupumbaza??Nikikujua wewe ni mzazi kisha unamruhusu mwanao wa kike aende JKT nitajitolea kukuchapa makofi.
Hata hivyo mimi mwenyewe sikwenda, nilifanya mradi wa serikali nikalipwa hela na kuijenga nchi. Wao wakajiviringisha kwenye matope na kuimba eti ndo uzalendo. Walirudi njaa kali na hawajafanyia chochote taifa.
Kambi gani hiyo? Kambi niliyoenda hayo mambo ya wadada kuandamwa hayakuwepo. Zaidi wenyewe ndo walikuwa wanajipendekeza.Kwa mtoto wa kike ukitamaniwa unaandamwa wewe tuu wewe tuu hadi unajihisi una mkosi mkubwa wa ajabu kuliko wenziyo!
Sasa njemba ikiona umechoka na sulba zile na umelainika vilivyo ndiyo mwishowe inajifanya kukuonea huruma na kukukingia kifua!
Mbinu hiyo sasa haina cha ukali, msimamo and the like, lazima kitu kisomwe na inakuwa ni siri yako lakini 'kibaka' akichekelea, na kusherehekea mbinu yake chafu na ya kishenz.
Maana yake ni kwamba hakuna mwanamke yeyote duniani asiyehitaji upendeleo wa ziada... hakuna mkate mgumu mbele ya chai.