JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

yaani mnaweza kudanganywa kirahisi hivi kama watoto wadogo .... print out za docs za sensa zilishafanyika tangu mwezi april na ni confidential .... tena zimechapwa nje ya nchi

how do you get fooled so easy like that?
 
Redio Imani Nahisi inaongoza kwa kusikilizwa Tz.Manake dini na madhehebu yote wanaifuatilia.
 
kilamfanyabiashara anawajua watejawake ambaye hatakikuhesabiwa siyomteja wapadri asikophu wala mchungaji hikikinawauma .
 
Serikali Dhaifu huogopa hata kivuli chake yenyewe! kwanini wasiweke hicho kipengele cha kuhoji dini?
 
Mheshimiwa raisi, ni vyema ungesikiliza maombi ya ndugu zetu waislam na kukiweka kipengele hicho, binafsi sioni athari yoyote

Kitawasaidia ndugu zetu kujua ni wangapi, pengine misaada muhimu ya kueneza dini na kujenga nyumba za kuabudu (misikiti nk ) pamoja na elimu itamiminika,

Nadhani fursa hii ikitokea pengine kutakuwa na MoU njema tu ili mission hospitals na education institutions zisaidie watanzania wote kwa ujumla wao sehemu ambazo serikali hazijafika

What's wrong with that kipengele ? Let it be there !

Mh rais kirudishe tafadhali.
 
Sitaki kuamini kwamba hayo madodoso ya sensa yalikuwa hayapotayari hadi leo hii..
 
we hujuagi kichaa anafahamika zaidi kuliko wewe mwelevu. Tafakali
kwa hiyo wagalatia werevu wako bize kusikiliza redio ya vichaa, kisha wanachukua mada za vichaa wanaleta kwa werevu wenzao ! Ndo maana mnanunua picha na kuomba ziwasaidie !
 
Taratibu usinajisi funga yako....usibeze imani za watu wengine...kuwa na moyo wa staha...mswalie mtume mwezi mtukufu huu...jizuie mnamaliza kisha urudi uendelee na mapambano, its only 30 days
 
Acha unafki mtoa mada, waislam hawajawahi kudai kipengele cha KABILA! ni cha DINI peke yake! Unajifanya kuweka UKABILA ili upate cha kufanya hoja ya kipengele cha DINI kiwe kibaya. Toa hoja na uchambuzi, sio eti redio fulani imesema, mara utasema gazeti fulani. Au we ni highlighter wa vyombo vya habari!
 
Mnangojea serikali iwahesabie watu wenu? Mambo ya aibu hayo, kila dini ni wajibu wake kuhesabu watu wake. Poleni sana kwa ung'ang'anizi, kazi ipo
Sasa na kazi ya serikali nini ? umuhimu wa sensa ni nini ? jee kwa nini nini tume ya takwimu na sensa?
kila dini inaweza kuhesabu itakavyo lakini serikali jee?
Haya si mambo ya ajabu
United nation huwa wanatoa data za watu pamoja na dini
wana chodai jumuia za waislam ni sahihi kabisa isipokuwa wanaopinga ndio wamekosa hoja ya msingi
sensa itasaidia sana kuona namna gani Ruzuku ambazo serikali inazitoa kwa jumuiya na taasisi za dini zina wiana na idadi ya wanadini , aliye kuwa na idadi kubwa apate zaidi, inawezekana wakristo wakawa wengi pia.
sasa hivi kwa mfano serikali hutoa ruzuku na misaada kwa kanisa ya kuzisaidia shule zao,na mahospitali yao,pia inatoa misamaha ya kodi kwa mashirika ya makanisa
wenzao wa waislam hawapati na inakuwa vigumu kupata ruzuku hizi.
hata kama ya kujenga shule basi inakuwa ni mtihani mgumu kweli
kwa hio takwimu hizi ni muhimu katika kugawana keki yetu kwa usawa na uwiano wa watu
kama serikali inatenga fedha basi ziwe sawia kwa wote sio kuchota hazina ya taifa kwa dini moja

wachana na misaada na ruzuku kwani serikali kujua raia wake wana imani gani wats big deal?
Kama nyie mnahesabiana na sisi tunahesabiana pia kila msikiti unaweka data za waumini wake na kila madhehebu pia tunaweka data zetu misikitini lakini zinasaidia nini serikali?
ni wajibu wa serikali kujua takwimu idadi ya watu lakini pia kujua kazi zao,elimu yao,nyumba,jinsia,dini na kabila zao haya yote kila moja yana umuhimu wake kama taifa so usifanye dharau ya kijinga

Kwa hili hata mimi nashangaa....kiwekwe kipengele hicho husika, na mkuu wa nchi anaogopa nini?
 
Duu kweli, laiti ungejua kipengele cha dini sio cha msingi sana kama kabila! Dini unaweza kubadili lakini kabila huwezi. Hizo ni nadharia tu au ukichaa fulani uliojichagulia kuufuata kwa lengo la kupata faraja ya kutazamia kitu ambacho hakijawahi kuwepo (kitu cha kudhania tu - imani). Hivyo ni bora kuchagua yenye afadhali, tena hizi tunazong'ang'ania sio zetu, niza Waarabu na Wazungu.

Hivyo kiasili kabisa kama ni kuongeza kipengele cha ukabila ni kikubwa kuliko dini. Vipengele muhimu vingine ni kama kujua umri, jinsia , kazi, elimu, afya. Mambo ya dini ni wendawazimu tu, yatachanganya watu tu. Acha dini watu wajihesabu kivyaovyao na serikali isijiingize kwenye huu mchafuko.

Pia serikali inaweza kutafuta utaratibu wowote wa kusaidia wananchi wake. Ila kwa maoni yangu ikiamua kusaidia kupitia kwenye dini naona itakuwa imeingia mkenge. Sababu haya madini yaliyopo hapa yana maslahi ya wahuni wachache wanaovaa vilemba eti vya utakatifu/uwakilisho wa Mungu, kwangu mimi sijui ni Mungu yupi, sababu hata wanaabudu ng'ombe wanaita mungu!

Hayo ni maoni yangu tu naomba kuwasilisha

Sasa na kazi ya serikali nini ? umuhimu wa sensa ni nini ? jee kwa nini nini tume ya takwimu na sensa?
kila dini inaweza kuhesabu itakavyo lakini serikali jee?
Haya si mambo ya ajabu
United nation huwa wanatoa data za watu pamoja na dini
wana chodai jumuia za waislam ni sahihi kabisa isipokuwa wanaopinga ndio wamekosa hoja ya msingi
sensa itasaidia sana kuona namna gani Ruzuku ambazo serikali inazitoa kwa jumuiya na taasisi za dini zina wiana na idadi ya wanadini , aliye kuwa na idadi kubwa apate zaidi, inawezekana wakristo wakawa wengi pia.
sasa hivi kwa mfano serikali hutoa ruzuku na misaada kwa kanisa ya kuzisaidia shule zao,na mahospitali yao,pia inatoa misamaha ya kodi kwa mashirika ya makanisa
wenzao wa waislam hawapati na inakuwa vigumu kupata ruzuku hizi.
hata kama ya kujenga shule basi inakuwa ni mtihani mgumu kweli
kwa hio takwimu hizi ni muhimu katika kugawana keki yetu kwa usawa na uwiano wa watu
kama serikali inatenga fedha basi ziwe sawia kwa wote sio kuchota hazina ya taifa kwa dini moja

wachana na misaada na ruzuku kwani serikali kujua raia wake wana imani gani wats big deal?
Kama nyie mnahesabiana na sisi tunahesabiana pia kila msikiti unaweka data za waumini wake na kila madhehebu pia tunaweka data zetu misikitini lakini zinasaidia nini serikali?
ni wajibu wa serikali kujua takwimu idadi ya watu lakini pia kujua kazi zao,elimu yao,nyumba,jinsia,dini na kabila zao haya yote kila moja yana umuhimu wake kama taifa so usifanye dharau ya kijinga

Naomba tuwe makini kwa issue serious kama hizi.
 
Back
Top Bottom