mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
kwani kuna ubaya gani kujua nchi yetu inawaumini wangapi wa dini mbali mbali na ambao hawana dini? mi sioni tatizo lolote hapo...
Serikali inaogopa nini? Anhaa inaogopa mfumokristo! Kama ndivyo basi aongeze magereza kwakuwa yaliyopo hayatatosha. Chukua mfano waislam ni nusu ya Watanzania! Robotatu ya waislam washiriki sensa na robo ambayo ni zaidi ya milioni tano wanagomea sensa! JK atawaweka wapi watu wote hawa? Serikali inakawaida ya kutisha na kutenda,lakini kwa hili mh! Amani mashakani.
source habari leo na jambo leo
akiwa mjini mbeya rais j. Kikwete kasema kuwa ni marufuku kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;
kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.
Concern
liwalo na liwe
Source Habari Leo na Jambo leo
Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;
Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.
Concern
LIWALO NA LIWE

Mnafiki tu! Anawalea mwenyewe hao wanaopiga domo la kususia sensa kwa kipengele cha udini halafu anajifanya hayupo nao. Hipocrite!
Hamfiki nusu ya watanzania. Mpo 20 percentSerikali inaogopa nini? Anhaa inaogopa mfumokristo! Kama ndivyo basi aongeze magereza kwakuwa yaliyopo hayatatosha. Chukua mfano waislam ni nusu ya Watanzania! Robotatu ya waislam washiriki sensa na robo ambayo ni zaidi ya milioni tano wanagomea sensa! JK atawaweka wapi watu wote hawa? Serikali inakawaida ya kutisha na kutenda,lakini kwa hili mh! Amani mashakani.
Siku ya Agosti 26, iliyopangwa kuanza hiyo inayoitwa sensa, Waislamu tumejipanga kufanya maandamano makubwa ya amani nchi nzima kupinga misingi dhuluma dhidi ya Waislamu tutatoka nchi nzima ili ulimwengu washuhudie idadi ya Watanzania ambao hawakushiriki kuhesabiwa, alisema Ponda.Source Habari Leo na Jambo leo
Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;
Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.
Concern
LIWALO NA LIWE
Ni kweli kabisa hawa kina Sheikh Ponda walikufa naona ghafula wamefufuka wakati wake huu.