JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

hawana akili wagalatiaaaa...!
Eti wamepewa picha ya mungu yesu ambae ni mzungu nao wamekubalii
af shetani ni mweusii ambae ni wao,kwaiyo wanatolewa kwenye ushetani weusi na wanapelekwa kwenye uungu
sasa kama mungu ni mzungu we huon km umetengwa??au ndio maana yule nabii flora kajichubua nin??
Wanaabudu misalaba na masanamu...!
Hahahahaa...amken jaman

amka wewe unaeabudu MAJINI, na mkeo kuzuiwa kuvaa CHUPI msikitini. Mnamambo nyie!
 
Nafikiri unahitaji kufunguka zaidi na kufikiria nje ya box.
Kwani hapo rais wenu ame generalize mambo kwa mtaji wa kisiasa sio kiuchumi.

Kuwa katika idadi ya watu lakin kuna mambo muhimu kama kwa maendeleo ya kijamii mbali na kupata idadi lakin yafuatayo katika hiyo idadi ni muhimu sana.
1. Umri
2. Elimu
3. Jinsia
4. Hali ya binadamu kama Ulemavu
5. Imani zao kwani hizi zinaingia katika profile zenu za nchi yenu ikiwa pamoja na mila na desturi zenu hususan mnapovutia watalii.
mathalan tuchukulie Znz unapoandika profile unasema wazi hii ni sehemu ya waislam wengi na unataja idadi na kuwawezesha watalii wajue kuna wanakwenda islamic area na namna gani wa-behave wakiwa huko mfano katika mwezi wa ramadhani.

Suala hilo hata kwenye ndege limo naulizwa imani yako ili upewe chakula kwa mujibu wa imani yako na si vinginevyo. Nashangaa kwanini TANGANYIKA mnalipinga hilo. Mimi nafikiri kuna kitu nyuma ya pazia kwa suala hili.


mtalii kabla hajapelekwa popote na tour guide wake sharti apewe country profile ya nchi husika mathalani kwa zanzibar haitaji kuambiwa kama ile ni predominantly muslim area na hata kama hajaambiwa refer wikipedia au hata online article about zanzibar ina state hvyo sasa mtalii anapokiuka maadili ya uislamu ni kazi ya authority za zanzibar kudeal nao
In short mfano na comment yako haina justification yyte kwanini ndugu zangu nyinyi mnagomea sensa yaan unaonekana msomi lakini unashkilia jambo ambalo halina hoja kabisa! Think big acha kuendeshwa
hata sheikh ponda anakoseaga.
 
idadi inasaidia kwenye maswala ya dini mengi! Ikiwemo oic, nafasi za hija n.k na haya ni mambo ya msingi kwetu! Alafu uislamu hauna uongo uongo, ndomana data za uwongo zinazotolewa na wanafiki na makafiri hatuzitaki! Hii elimu dunia imewasaidia nini wananchi wa tanzania kupitia hao makafiri unaoamini wewe wanayo iyo elimu dunia zaidi ya kuwafanya watanzania kuwa wanaibiwa rasilimali na kujenga ufisadi kwenye hii nchi! Sasa wewe hesabiwa ili mabwana zako waweze kujipanga vizuri kukuibia mali zako! Mbumbu wewe, kama elimu dunia yenyewe ndiyo hii unayo wewe basi tumekwisha!

Haya naona elimu dunia mwenzetu imekusaidia baada ya kuipata unajiita MARK wakat unaitwa Malik, hahaha hamjielewi ww na wenzako!
' mimi na MAKAFIRI wenzangu tutahesabiwa'
 
Hii dini ya kuzimu wataisha lini kulalamika? Tz ina wakiristo weng kuliko waislam wala huhtaj kubisha! Fanya hesabu za haraka,mf.eneo moja laweza kuwa na makanisa 5 na mckiti mmoja,na hayo makanisawanaibada 3 tokana na wing wa watu! Pita mashuleni, kati ya wanafunzi 500, kati yao 50 tu ndo waislam na 450 ni wakiristo! NAJUA SABABU ZENU NI KWAMBA,MNAOA WANAWAKE WENGI NA MNAZAA KILA SIKU, lakn bado haiwapi uwingi, halafu kumbuka kila uchwao,waislam 10 huhamia ukiristo.

zero brain, fanya utafiti kwanza, wenzako wana baseline data census data 1958, the fastest growing religion in the world is islam 1935 t0 1985 235% increase, christianity 78% increase
 
zero brain, fanya utafiti kwanza, wenzako wana baseline data census data 1958, the fastest growing religion in the world is islam 1935 t0 1985 235% increase, christianity 78% increase

Hv wewe kweli una shule kichwani au unapopoma tu percentage increase inapangwa kutegemeana na ratio ya waumini husika na ile ya world population
Unapoambiwa islam is the fastest growing religion maana yake mna rate kubwa ya kuzaana hovyo na co kwamba ni namba ya watu kusilimu kilaza ww unababaika na kina Jack wolper ukiona kwny gazet wamesilimu unakenua wakat wenzako wanafanya biashara ya kuchuna akirudi moshi kanisani na tunakutana nae kwny kitimoto kama kawa au kina anelka na ribery hao unaowajua ni wachache na tembelea wikipedia uone waarabu wangapi wanaembrace christianity every year lakin hamna anayehangaika kuwatangaza ili iweje sasa.

Kwa taarifa tu idadi ya wakatoliki peke yake 1.7 billion duniani bila kuhesabu wakristo wengine, wakatoliki peke yao ni wengi kuliko waislamu wote duniani na hzo data zako pitia upya ucropoke tu. Hyo percentage ulyotoa ni ya census ya marekani ya miaka ya 1990 ambayo ilirekodi idadi kubwa ya waislamu na ongezeko kubwa ya namba ya islamu ambao wengi wao walikimbilia marekani kuseek asylum from the middle east kipindi kile cha vita ya Ghuba, kuhama kwao kutoka middle east kwenda marekani kumeongeza idadi yao marekani lakini idadi ya waislamu duniani remained constant and was to increase due to factors like birth and conversion alone!
Nawashauri mkipewa vipeperushi na masheikh zenu visomeni halafu mkaresearch wenyewe msimeze tu hoja zilizoandikwa mule, sasa kama kwenye kipeperushi wakaandika katoliki tuna tovuti inaitwa www.rc.net na shekhe akasema takbeer na ww ukajibu allah akbar ukimsifia kwamba kacheza heko kwenye research yake bac ww na yeye wote punguani wa akili elimu yako ya chuo. Inabebwa na shekhe wa darasa la saba asiejua hata kutumia kompyuta.
Akili ndogo inatawala akili kubwa
 
zero brain, fanya utafiti kwanza, wenzako wana baseline data census data 1958, the fastest growing religion in the world is islam 1935 t0 1985 235% increase, christianity 78% increase

km ni hvo mbona kila upande wa dunia mnalalamika? Km mpo weng tatzo lenu nini?
 
zero brain, fanya utafiti kwanza, wenzako wana baseline data census data 1958, the fastest growing religion in the world is islam 1935 t0 1985 235% increase, christianity 78% increase

km ni hvo mbona kila upande wa dunia mnalalamika? Km mpo weng tatzo lenu nini? Au kwa sababu wengi wenu ni BOOKLESS?
 
Tupe ayat inayozungumzia sensa tuchangie. Vinginevyo tunakuachieni siasa zenu misikitini.
 
Tupe ayat inayozungumzia sensa tuchangie. Vinginevyo tunakuachieni siasa zenu misikitini.

mbona ziko nyingi anza na hizi tu kwanza baadaye ndiyo utakuja na za sensa

Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
Yohana 5.30

Yohana 20:17,

Yesu alimwambia Mariam Magdalene awaambie wafuasi zake: "Yesu akawaambia, Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba

Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda

kwa Baba yangu naye ni Baba yenu,

kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
 
mbona ziko nyingi anza na hizi tu kwanza baadaye ndiyo utakuja na za sensa

Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
Yohana 5.30

Yohana 20:17,

Yesu alimwambia Mariam Magdalene awaambie wafuasi zake: "Yesu akawaambia, Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba

Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda

kwa Baba yangu naye ni Baba yenu,

kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

Tangaza upone g, kuwa na wewe ni Mwana wa Mungu!
Thubutu! Hapo unaona kama mbingu zinachanika!
 
Tangaza upone g, kuwa na wewe ni Mwana wa Mungu!
Thubutu! Hapo unaona kama mbingu zinachanika!


mwadhama , huna pa kujificha kondoo wamekushtukia


Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda

kwa Baba yangu naye ni Baba yenu,

kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
 
mwadhama , huna pa kujificha kondoo wamekushtukia


Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda

kwa Baba yangu naye ni Baba yenu,

kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

hayo uliyobandika Wana wa Mungu hawana shaka nayo!
G, na wewe unakubaliana Mungu ana mwana?
 
....Leo kwenye kipindi cha Tuambie kinachorushwa na TBC1 mkurugenzi wa takwimu wa Taifa ametoa kihoja fulani ambacho mimi nasema kuwa ni moja ya kauli ambazo zinamdhalilisha mwalimu Nyerere mbele ya jamii..akihojiwa kwanini kipengele cha dini kilitolewa alisema " MWALIMU NYERERE ALIONYESHWA NA MUNGU KUONDOA KIPENGELE HIKI CHA DINI KWENYE DODOSO LA SENSA" kauli kama hizi ni kauli za viongozi wasiojua kupanga hoja, huyu mama anaonekana ni dhaifu kujibu hoja za moto zilizokuwa zinarushwa hasa toka kwa waislamu.

...Kwanza kusema kuwa Mwalimu Nyerere ndio alitoa kipengele cha dini si kweli, huu ni upotoshaji mkubwa, kwa kusema hivyo ina maana kuwa Mwalimu Nyerere alikitoa kipengele cha dini kwasababu ya fikra zake na muono wake. Huu ni upotoshaji. Pili, hizi kauli za kusema kila kitu mwalimu Nyerere alionyeshwa na MUNGU ni hoja dhaifu na zinazotoka midomoni mwa watawala wanaotaka kufukia udhaifu wao kupitia migongoni mwa Mwl Nyerere.
 
Tuambie wewe ni nani alikitoa kipengele cha dini.
 
Hii thread imekaa kimarumbano ya iman tuifanye basi iwe marumbano ya hoja. wewe hoja yako ni ipi?. Mia
 
hayo uliyobandika Wana wa Mungu hawana shaka nayo!
G, na wewe unakubaliana Mungu ana mwana?

usiliangushe kanisa kiasi hichi

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 tuliyonukulu hapo juu yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu. Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.

Francis Young, Mwalimu wa mafunzo ya Agano Jipya katika Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza, akiandika katika kitabu kinachoitwa The Myth of God Incarnate (Uwongo wa Mungu kuwa Mtu) anasema:



"Isipokuwa katika Injili ya Yohana, ambako maneno ya maelezo yamewekwa kwenye mdomo wa Yesu, injili zote nyengine zinaeleza kuwa wenye kutumia maneno kama 'Mtakatifu wa Mungu', au 'Mwana wa Daudi', au 'Mwana wa Mungu' si Yesu bali wengineo. Jina pekee alilokuwa mwenyewe Yesu daima akilitumia ni 'Mwana wa Adamu'...

" Yafaa pia tukumbuke kuwa katika zama za Yesu ilikuwa ni jambo lililoenea kuwabandikiza ungu viumbe vya hadithini na hata wanaadamu wa kweli kweli walio hai. Mwandishi wa kipagani Laertu alieandika kitabu kiitwacho Lives of the Philosophers (Maisha ya Mafailasufi), ameandika kuwa mafailasufi kadhaa wa kadhaa walikuwa wana wa Mungu. Plato amesimuliwa kuwa wazee wake ni miungu; hali kadhaalika Paithagoras akiaminiwa kuwa ni mwana mungu aliyekuwa mwanaadamu na mzazi wake ni mungu aitwae Hermes. Empedokles pia alidaiwa kuwa ni mungu wa milele aliyekuwa akiponyesha wagonjwa, na wafwasi wake wakimuabudu na kumsalia. Plutarch, mwandishi mwengine wa zama hizo, alikuwa anaamini kuwa bila ya shaka yo yote Alexander (Iskandar) Mkubwa ni mwana wa mungu, na Romulus, huyo anayedhaniwa kuwa ndiye baba wa Warumi, alikuwa ni Mwana wa Mars (Marrikh), mungu wa vita.

Yeye akiaminiwa kuwa alipaa mbinguni katika kiwingu. Yapo maandishi ya mwaka 48 K.K. (Kabla ya Yesu) yaliyomweleza Juliasi Kaisari, Mtawala maarfu wa Warumi, kuwa ni 'mungu wa kweli, mwana wa Ares na Aphrodites, mwokozi wa wote wa maisha ya wanaadamu.' Maandishi mengine yanamtaja Agosti Kaisari, aliyerithi utawala wa Juliasi, kuwa 'Mfalme wa wafalme, Kaisari, Mwana wa Mungu, mungu Agosti, mwaangalizi wa ardhi na bahari'.


Majina haya, basi, ya "mungu", "mwana wa mungu" na "Bwana" kwa kuwa yalikuwa yameenea na maarufu katika nchi za bahari ya Kati (Mediterranean) katika zama za Yesu haiwezi kukosa kuathiri mawazo ya watu ambao bado haijawavaa imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja kama ilivyokuwa ikifunza dini ya Kiyahudi.

Majina kama hayo yalikuwa yakitumiliwa ovyo na kila mtu takriban.

Na hizo hadithi za watu kama hao, ikiwa ni watu wa hadithini tu si wa kweli kweli, au watu walioishi kweli kweli duniani, zimefanana mno na hizo ambazo khalafu yake zikaaminiwa na Wakristo kuwa zimemkhusu Yesu Kristo peke yake.

Francis Young katika insha yake inayoitwa Mizizi Miwili au Matatanisho (Two roots or a Tangled Mass) ameandika:



"Tena, hatuwezi kutupilia mbali mawazo kuwa mambo kama hayo yalitokea kwa mintarafu ya Yesu. Kwa mfano, kuna kufanana kukubwa baina ya hadithi ya Romulus, kama alivyoeleza Livy, na baadhi ya hadithi zinavyoelezwa kuwa ni za Yesu katika Injili: kuzaliwa na bikra, kutiwa mimba na mungu, maisha ya kiajabu, kutoonekana mabaki yake baada ya kufa, kutokea tena baada ya kufa na kuwatuma wafuasi wake, kumwomba kwa sala. Itakuwa ni muhali kuleta ushahidi kuwa haya yote yaliigwa tu; lakini watu walioishi wakati mmoja sana huonekana kuwa wanazua hadithi zilizoelekeana."


Tukirejea kuyanukulu yaliyomo katika Biblia tunamwona Yesu mahkamani alikataa kukiri mashtaka aliyoshtakiwa kuwa yeye alidai kuwa ni Mwana wa Mungu, kama wendawazimu na mapagani walivyokuwa wakimuenezea:



Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno?

Hawa wanakushuhudia nini?

Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu. Yesu lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.


 
kwa kweli jana bora asingeliongea hayo maneno juu ya maono ya nyerere kutoka kwa mungu, waisilamu hawaamini maono kutoka kwa nyerere maana sio mtume
 
Hii movie ya sensa tamu, ngoja tuone mwisho wake..
 
Back
Top Bottom