JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Ufaransa waliwahi kufanya tafiti ya dini
wakakuta majibu ya kushangaza
mfano mtu anaweza sema yeye ni mkristo but hajawahi kuingia kanisani
au muislam lakini anakula nguruwe na haamini kuna siku ya mwisho yaani kiyama..
mradi kuna mengi mno twapaswa kuyajua..

je Tanzania wakristo wako wangapi?
kati yao walokole wangapi?catholic wangapi?
wanakwenda kanisani wangapi?waliooa au kuolewa na wasio wakristo wangapi?
na kadhalika..

waislamu wangapi?wanaosali swala tano wangapi?
wanaofunga?kunywa pombe? kuoa na kuolewa na wasio waislamu?

wasio na dini wangapi?na kadhalika....

ujinga sana kusema tu tusiulize watu dini zao...

Unaweza kukuta tuna illusion ya kwamba Tanzania ni mainly waislam na wakristo, tukakuta kumbe wanaoamini dini za asili ni wengi kuliko waislam au wakristo.

14. Ushawahi kwenda kwa Sangoma? (YES/NO)

Tukaona kumbe hizi beef za waislam na wakristo wala si za watu wengi kihivyo.

Food for thought.
 
Uko very right
kwa sababu iliwahi fanyika tafiti na kuwekwa humu
na ikakuta zaidi ya asilimia 94 ya Wa TZ wanaamini aina fulani ya ushirikina
na masuala ya kwenda kwa waganga yalikuwemo

apart from that ukiuliza tu katika kila waislam kumi utakaokutana nao
wangapi ni swala tano..au hawanywi pombe utashangaaa mno...

but still mtu anafikiri ni 'hatari' kuuliza watu imani zao..
 
Unanikumbusha intro ya Bertrand Russell's "Why I am not A Christian"

Why I Am Not A Christian, by Bertrand Russell

Ni rahisi sana kuji-label "mi mkristo, mi muislam" lakini ukiangalia kiundani ile definition hasa ya ukristo na uislam wengi tunafeli.
 
Richard Dawkins alipinga suala la dini kuulizwa kwenye sensa Uingereza kwa sababu majibu yake hayana maana yoyote katika maana halisi ya dini.

Mtu anajibu kuwa yeye ni Mkiristo lakini hata haamini uwepo wa Mungu, na kadhalika, kwa hiyo taarifa inayokusanywa kwenye sensa hiyo ni ya uongo.
 
Sasa kama Ukristo sio dini, una haja gani kuingiza kipengele cha dini kwenye sensa? Kumbe dini ni yenu tu, sasa si mjihesabu wenyewe misikitini.

Alaaniwe yeye avuaye nguo mbele ya mtoto wa miaka 9

alaaniwe anayeitwa hakuna mwanaume kama yeye! hali ya kuwa ahkutimiza sifa za mwananume! na walaaniwe wanahalalisha ndoa za jinsia moja na kuoana wenyewe kwa wenyewe nyumba za ibada.
 
huu uislamu wako umejivisha ili ujibu hoja ila kwa mwenye akili timamu anona kabisa we ni wale waabudu masanamu.
Yaser nashukuru kwa kunihukumu ilhali na wewe unasubiri kuhukumiwa mbele ya haki. Kuitwa muislam usiwe kigezo cha kufanya chochote hata Kama ni cha kipumbavu, Kama shekh ponda akikwambia jiue na wewe ujiue eti kisa yeye shekh, kumbuka ata yeye ni binadamu anamapungufu Yake au Ana maslahi Yake katika Hilo, kwanza sema astaghafiru lah Mara Mia Saba upate toba kwa Mungu kwa kuikashifu na kuingilia Imani za wenzio kwa kauli yako kuwa wana abudu sanamu, Kama Mimi sio Islam na Nina abudu sanamu Kama ulivosema na kikwete nae Ana abudu sanamu kwa kukataa kuchanganya dini kwenye sensa? Kama wewe ungekuwa Islam safi ungekuta ushakufa jihad siku nyingi kwa kuwatetea wa Palestine wanao uwawa nawa Israel, uyo shekh ponda mbona anasubiri kufa kwa amri ya Mungu badala ya kwenda Palestine kupigania jihad au kumsaidia gadafi kabla hajafa? Usiwe **** ndugu yangu akili ya kuambiwa changanya na yako msituharibie uislam wetu kwa kuhusisha na kikundi cha wajanja wachache. Huo Ndio ule ujinga mnaodanganywa na akina kibwetere au ponda eti ukimuua mkiristo au mtu mwenye mtizamo wa kiimani tofauti na uislam au ukijilipua mbinguni Mungu anakupa mademu bikra 70 mbona hawasemi unakuwa malaika? Sababu wanajua ngono Ndio future yetu wanadamu Wacha ujinga kwani wajinga Ndio waliwao na kwa muoga hamnaga msiba bob
 
Hayo maneno umekaririshwa na maalim wa madrassa na huko ndiko akili zenu hufungamanishwa na mapepo. Bwana akiwa upande wetu, hakuna wa kwenda kinyume chetu. Kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa, hadi la baba yako shetani.
vidini vingine bana!

yesu ni bwana wako tu! nyie kwenu mafundisho si mnafundishwa ukafiri! kazi kukata mauno tu kama madancer fally ipupa bana! mungu anatukuzwa kwa kukatiwa mauno! mnalanaje
 
yesu ni bwana wako tu! nyie kwenu mafundisho si mnafundishwa ukafiri! kazi kukata mauno tu kama madancer fally ipupa bana! mungu anatukuzwa kwa kukatiwa mauno! mnalanaje

Yesu ndivyo anavyofundisha mashambulizi kama haya au?
 
Richard Dawkins alipinga suala la dini kuulizwa kwenye sensa Uingereza kwa sababu majibu yake hayana maana yoyote katika maana halisi ya dini.

Mtu anajibu kuwa yeye ni Mkiristo lakini hata haamini uwepo wa Mungu, na kadhalika, kwa hiyo taarifa inayokusanywa kwenye sensa hiyo ni ya uongo.

Ndiyo maana mi naona badala ya hili suala kutaka kuanzisha vita vya kidini na mgawanyiko, wawape tu hilo swali kwenye sensa kwa sababu halina maana.

Naona kama serikali inaogopa kivuli chake yenyewe.
 
Ndiyo maana mi naona badala ya hili suala kutaka kuanzisha vita vya kidini na mgawanyiko, wawape tu hilo swali kwenye sensa kwa sababu halina maana.

Naona kama serikali inaogopa kivuli chake yenyewe.

Mimi na wewe tutasema halina maana, ila hao wanaolipigania wataanza kulitumia kutaka kubadilisha sera na ku-influence maisha ya watu wote ya kila siku. Watatumia hizo data kama ndio the absolute truth.

Kama suala hilo la dini liulizwe basi lije na vitoto vyake. Labda kuwekwe scale watu wachague wao wanafuata dini kwa kiasi gani,......
 
yesu ni bwana wako tu! nyie kwenu mafundisho si mnafundishwa ukafiri! kazi kukata mauno tu kama madancer fally ipupa bana! mungu anatukuzwa kwa kukatiwa mauno! mnalanaje

Fally ipupa ndio maalim wa madrassa gani? Mi simjuagi.

Wakristu ni washindi siku zote kwani Bwana ndiye anatushindia kama alivyomshinda Farao na majeshi yake. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Nyinyi mnakumbatia mapepo na kuanza kuchoma makanisa. Sisi tunapiga maombi kwa Mungu wetu aliye hai.
vidini vingine bana!
 
Source Habari Leo na Jambo leo

Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

LIWALO NA LIWE
Tatizo la uzi huu ni KISWAHILI. Maneno ya DHAMILA KIPENGERE yamekosewa. Maneno sahihi ni DHAMIRA na KIPENGELE
 
Nashangaa watu wanajadili masuala ya udini kwa hisia kaaaliii! Eti waonekane ni waumini swafiiii wa dini fulani, ILIHALI ID ZAO ZINA MAJINA YA UONGO aka Magumashi. Hamna lolote, unafiki tupu hapa. Kipengele cha dini akina maana yoyote kwenye sensa!
 
Lengo la sensa sio kujua kuwa tanzania inawaumin wangapi wa dini ya kikristo na ni wangapi ni wadin ya kiislamu bali ni kupata takwimu kwa malengo ya provision of social service
 
Kipengele cha dini ni muhimu ili kudhibiti data feki ambazo zimezagaa, tunataka reliable data sio za CIA,RC wala TBC pia tutajua ni nani wanastahili kupata nini kutokana na idadi yao.Inashangaza kuona hawataki kuhesabu watu kwa dini zao lakini wamepanga kuhesabu nyumba za ibada.Unajua wanalenga nini?Kuthibitisha kuwa wako wengi maana makanisa ni mengi kuliko misikiti sababu kwao mtu wa dhehebu flani hawezi kuchanganyika na wa dhehebu lingine lazima ajenge lake kitu ambacho kwa waislamu hakipo,kwa hiyo ukiyahesabu yatakuwa mengi lakini si uthibitisho kuwa wao ni wengi.

sasa na nyie si mpike data zenu..kuna mtu kawazuia..!!?

Hii ni sensa ya watu na makazi ndio maana majumba yote yatahesabiwa pia.
 
Fally ipupa ndio maalim wa madrassa gani? Mi simjuagi.

Wakristu ni washindi siku zote kwani Bwana ndiye anatushindia kama alivyomshinda Farao na majeshi yake. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Nyinyi mnakumbatia mapepo na kuanza kuchoma makanisa. Sisi tunapiga maombi kwa Mungu wetu aliye hai.

mungu yupi aliye kufa? na huyo farao alishindwa na bwana yenu yesu? yeye bwana wako yesu ndo alipiga fimbo kwenye bahari? huyo mungu wenu ndo anawtuma wakina babu wa loliondo wawaangamize watu! na hayo mapepo mnayotoana makanisani mnayatolea wapi! kwanza hao wanaowatoa mapepo ni freemasons tu, kazi kuabudu masanamu, mtu unaenda nyumba ya ibada hujajistiri paja nje! we wa wapi! fally ipupa ndo anawafundisha staili za kukata mauno na kutingsha ****** ukimringishia bwana wako! afu leo una mkana! nenda kwenye jumuuia sa hizi ndo muda wako,ukitoka kama kawaida unapiga mambo yetu pale, firauni kweli wewe.:shetani:
 
Niondolee ubatili na upumbavu mbele yangu. Mungu alisema nisibishane na wasioabudu kama wewe. Kulikoni majini yote huitwa Maimuna, Mdimi na Mwamedi? Majina ya kidini chenu. Majini mengine hujiita jina la mtume; duh! Umesikia Jini anaitwa Josefu au Joni? Mfuga majini wewe umeshindwa kwa Jina la Yesu. Rudi zizini uokolewe ili damu takatifu ya Yesu iliyo na thamani kuu ikutakase. Na sikuachi hadi umkiri Yesu kuwa Bwana na Mwkozi wa maisha yako. Ukikataa utalia na kusaga meno. Mjinga wewe!
vidini vingine bana!
 
wakachukue rollcall makanisani na misikitini. Then wapeleke total NBS.
 
Waislamu ni waropokaji,wanatangatanga kama wafa maji,ningeogopa kama mgomo huu ungetangazwa na wakristo ningesema kweli kuna sekeseke,ila waislam ni waropokaji wasiokuwa na hili wala lile
Umenena vema ndugu. Agiza kinywaji, bill kwangu.
 
Back
Top Bottom