JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

hivyo vinasambazwa na wajinga wachache wanaojiita waislam, waislam kwa ujumla wetu tunaunga mkono sensa. Ila hawa wapumbav wanaojidai kuwa waislam tuwapuuze kwa kuwa hamna wanachojua kuhusu uislam na sensa
bakwata = ccm
 
Mbona unatoka mapovu? Hakuna sensa hadi kieleweke! We kama hutaki ngoja ushuhudie siku ikifika.Si mnawatumia bakwata? Mtaprove failure na bakwata yenu. No sensa hadi kieleweke.

Kwani mkiachwa bila kuhesabiwa kuna madhara gani kwa taifa,....maake mmezidi kupenda madeko na ulalamishi.
 
Jamani waislam tupo wengi. Ni kosa kugeneralize. Mimi nitahesabiwa na nina uhakika Kamishna wa Sensa ambaye ni Hajjat Amina Mrisho naye atahesabiwa. Baraza lote la Mawaziri na viongozi Waislam watahesabiwa. Je, kwa mantiki hii unaweza kusema kuwa WAISLAMU WOTE hawatahesabiwa? Ni bora mtu akajisemea binafsi yake.
 
kumbe sensa freemasons? sasa kwanini waislamu wanakomalia kipengele cha dini, mbona wakristo hawako hivyo? inavyoonekana waislamu wanaosali msikiti mmoja hawajijui wako wangapi?

wano goma ni WAISLAM sasa nyie wa DINI nyiningine mnaumia wapi kama kodi hata hao WAISLAM pia walipa.......YANGOSWE ACHIWE NGOSWE MWENYEWE....
 
Hii ishu naona baadhi ya watu wanakurupuka sana kushabikia kwamba waislamu wanaopinga sensa wapo wrong! ila mtu ukitafakari kwa akili huru, jamaa wana hoja za msingi. Inashangaza watu mnakimblia sana kuwaita watu magaidi pamoja na ukweli kwamba tafsiri yenyewe ya ugaidi kila anayetamka huwa ana maana yake. Sheikh Ponda na wenzie wana uhuru wa kutoa maoni yao kwa mujibu wa katiba yetu, hupaswi kuwabeza. Hebu tafakari kwa maswali yafuatayo halafu unieleze tatizo la Sheikh Ponda na wengine wenye mtazamo wake wamekosea wapi.
1. kwa nini zinahesabiwa nyumba za ibada tu na sio watu wanaoabudu ndani ya nyumba hizo?
2. kwa nini baadhi ya taasisi kama tbc na sekta ya utalii zinatumia takwimu za idadi ya watu kwa mujibu wa imani zao za dini hali ya kuwa serikali ilishaacha kuhesabu watu kwa imani zao? wanazitoa wapi?
3. kwa nini sasa watu wasihesabiwe kwa mujibu wa imani zao ili hata hao wanaotaka kutumia takwimu hizo wazitumie zikiwa zinakubaliwa na pande zote?
4. hata kama hicho kipengele hakina faida kwako, kwani kikiwekwa utadhurika nini?

sidhani kama kujua idadi ya watu kwa imani zao za dini kunazuia kuwapelekea maendeleo, ila kunarahisisha kwani utakuwa unawatambua vizuri zaidi. Try to think out of the box, be simple, huna haja ya kuwaita watu magaidi,kwani hata wao watakuita hivyohivyo, jaribu kudadisi hoja zao nawe uwajibu kwa hoja. usiongozwe na ubabe wa kifikra, hautakusaidia.
 
Waislamu ni waropokaji,wanatangatanga kama wafa maji,ningeogopa kama mgomo huu ungetangazwa na wakristo ningesema kweli kuna sekeseke,ila waislam ni waropokaji wasiokuwa na hili wala lile
 
hawa watu nimewa:yo: kwa ujinga.

hivi raisi ni mkristu?
na vyeo hupewa kutokana na dini au elimu yako?

hata kama wangkuwa waislamu 99% kama darasa hakuna wanategemea nini? au akili zao zina:mimba:????????

ila kwa kuwa hawa ni "wenzao" hata wakiweka mabango hakuna hatua zitakazochukuliwa.....
 
hawa waislam wana lao jambo. uongozi na udini vina uhusano gani? viongozi wanateuliwa kwa sifa zao sasa kama hamna sifa mnataka mteuliwe eti kwa kuwa ni waislam? Na wewe unaemharamisha mtu kwa kushiriki sensa mamlaka hayo kakupa nani kama si ubinafsi wako na kutaka mteremko wa maisha kwa mgongo wa serikali. Kama kuhesabiana muhesabiane misikitini kwani hamjuani?
 
waisilamu badala ya kutatua masuala yenu ya msingi mnadhani mkiwa idadi kubwa ni deal. Mkasome kwanza elimu dunia ndo mambo yenu yatakua safi

idadi inasaidia kwenye maswala ya dini mengi! Ikiwemo oic, nafasi za hija n.k na haya ni mambo ya msingi kwetu! Alafu uislamu hauna uongo uongo, ndomana data za uwongo zinazotolewa na wanafiki na makafiri hatuzitaki! Hii elimu dunia imewasaidia nini wananchi wa tanzania kupitia hao makafiri unaoamini wewe wanayo iyo elimu dunia zaidi ya kuwafanya watanzania kuwa wanaibiwa rasilimali na kujenga ufisadi kwenye hii nchi! Sasa wewe hesabiwa ili mabwana zako waweze kujipanga vizuri kukuibia mali zako! Mbumbu wewe, kama elimu dunia yenyewe ndiyo hii unayo wewe basi tumekwisha!
 
Kwa kweli hawa ndungu zangu waislamu wana matatizo sana hawana focus katika issue zao, dhana ya kusema wapo wachache ndio maana wananyima madaraka sijui wanaitoa wapi, ni vyema wawe specific madarka gani wanyozungumzia kwa sababu vyeo kama mawaziri, wakurugenzi wa idara mbalimbali, wakuu wa majeshi(vyombo vya ulinzi na usalama) na wakuu wa vyuo vy serikali vyote huchaguliwa na Rais, sasa hoja ya msingi Rais ni dini gani kila mmoja anajua, issue sio idadi ya uislam,kwa mtu makini hata siku moja hawezi kukumbatia uislam hakika hutafika mbali, haibishaniwe wakristo ni wengi ndio maana ukitaka kuwa raisi lazima ukae vizuri na wakristo tofauti na hapo huwezi kupata urais, tuje katika madai yenu poina namba moja (1.Kwanza tume huru itakayoendesha sensa). na namba mbili (2.wawakilishi wa Dini 2 (kubwa) washirikishwe kwenye ukusanyaji wa takwimu & majumuisho) zina tofauti gani, kwa hoja hizi unaweza hata kujua upeo wa mtu aliyoandika kimsingi point ya pili ni sehemu ya point ya kwanza wala sio point tofauti. Kitu huru siku zote kina maana hakifungamani na pande yoyote, au labda mwandisi haelewi maana ya huru. Sensa ambayo ni rahisi ambayo waislamu mnaweza kufanya jiulizeni kila mmoja hapo anapoishi kuna shule ngapi mnazimiliki na za wakristo zipo ngapi, njoo katika level ya chini kabisa shule ya msingi ambako hakuna vigezo kuna wanafunzi wangapi waislamu na wangapi ni wakristo, wanafunzi ambao ni watoro, wavuta bangi kundi kubwa ni nani waislamu au wakristo. Sasa kama huko chini ratio ni ndogo sasa juu itapatikanaje ratio kubwa ya waislamu, jaribu tembelea maeneo machache tu yenye waislamu ki uhakika hutapenda ukae mfano Mtwara/mikindani na kigoma/ujiji, tatizo mwarabu uvivu na sio elimu, elimu sio utamaduni wenu ni utamaduni wa kikristo.
Pili ndugu wailsamu dunia ya leo ongelea umoja na sio wingi yaani useme kwamba mimi sitahesabiwa na sio waislamu hawatahesabiwa, licha tu kuhesabiwa kuna ushahidi wa waislamu waliomba wawemo kwenye hilo zoezi la sensa sasa sijui mnawaweka kundi lipi, kama unabisha tembelea ofisi za halmashauri, kata na maeneo mbali mbali ujioneo majina yaliyobandikwa kama ni wakristo pekee na kumbuka zile nafasi unaomba mwenyewe.
Haramu ni kuhesabiwa kura tu vitu vingine hamuoni.
 
hawa watu nimewa:yo: Kwa ujinga.

Hivi raisi ni mkristu?
Na vyeo hupewa kutokana na dini au elimu yako?

Hata kama wangkuwa waislamu 99% kama darasa hakuna wanategemea nini? Au akili zao zina:mimba:????????

Ila kwa kuwa hawa ni "wenzao" hata wakiweka mabango hakuna hatua zitakazochukuliwa.....

wewe unayejiona elimu imekusaidia nini? Zaidi umekuwa mjinga, unaibiwa rasilimali zako unaishia kuropoka kwenye jf tu! No action no what! Sasa wewe hesabiwa tu kwani tatizo liko wapi! Sio lazima kuwahesabu waislam! Na huu ni mwanzo tu, bado tugawane nchi sasa!
 
Na bado! Huu ni mwanzo tu, kinachofwata ni kugawana nchi tu sasa! Tanzania kusini na tanzania kaskazini!
 
waislamu wanadai kuwa takwimu zinazotolewa kwenye mitandao kuwa wakristo ni wengi hapa nchini si kweli bali wao wanadai kuwa waislamu ndio weng ndio wanakomalia kipengele cha dini ili wajijue wako wangapi? kwanini wasitumie fdha zao wajìhesabu wao kwanini wanategemee mgongo wa serikali ili wajijue wako wangapi?
 
Radio hiyo imeyasema haya leo asubuh kuwa huenda nbs.. Ofis ya takwimu ya taifa ikaruhusu hasa ukizigatia kauli iliyotolewa na mkurugenzi wake kuwa havina athar vipengele hivyo licha ya waislam kunga'ang'ania.. Amesema kuwa wataviweka katika zoezi la sensa
 
kama ni kweli naipongeza serikali yangu sikivu .. bravo
 
Mnangojea serikali iwahesabie watu wenu? Mambo ya aibu hayo, kila dini ni wajibu wake kuhesabu watu wake. Poleni sana kwa ung'ang'anizi, kazi ipo
 
Back
Top Bottom