JK na Shahada za heshima

JK na Shahada za heshima

1 Honour: Honorary doctorate degree in Law
Awarded by:
Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota)
Date of Award: 2006
Reason for Award: in recognition of his dedicated public service

2 Honour: Honorary degree (Doctor of Humane Letters)
Awarded by😀r Harris Mule, Kenyatta University
Date of Award: December 2008
Reason for Award: in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa

3 Honour: Honorary doctorate in the science field of International Relations
Awarded by:
Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih University
Date of Award: February 2010
Reason for Award: for promoting international relations between Turkey and Tanzania

Wenye roho za korosho, nendeni mkajinyonge! Honor moja imepewa bara la America, ya pili kapewa bara la Africa na ya tatu bara la Ulaya!
 
1 Honour: Honorary doctorate degree in Law
Awarded by:
Rev. Dennis Dease, University of St. Thomas (Minnesota)
Date of Award: 2006
Reason for Award: in recognition of his dedicated public service

2 Honour: Honorary degree (Doctor of Humane Letters)
Awarded by😀r Harris Mule, Kenyatta University
Date of Award: December 2008
Reason for Award: in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa

3 Honour: Honorary doctorate in the science field of International Relations
Awarded by:
Prof Şerif Ali Tekalan, Fatih University
Date of Award: February 2010
Reason for Award: for promoting international relations between Turkey and Tanzania

Wenye roho za korosho, nendeni mkajinyonge! Honor moja imepewa bara la America, ya pili kapewa bara la Africa na ya tatu bara la Ulaya!

Sasa hao wanaodai hizo varsities zilizotoa hizo honours haziko accredited wajitokeze!
 
Simple. It's a characteristics of dictators. Simtofautishi na Iddi amini, Bokasa, Mugabe, Mobutu nk. Hutumia kila mbinu kujijenga kwenye uwezo ambao hawana.
 
Kwa mtazamo wangu mambo haya huanza kwa wachumia tumbo na wakiona mzee anafurahia basi inakuwa karaha. Bill Clinton, Condy Rice wana PhD lakini hukuwahi kuwasikia wakiwa addressed kama Dokta. Kiongozi anaposhindwa kuweka mipaka kwa wasaidizi wake huwa ni tatizo kubwa.

Hiki ndicho kinachotokea kwa mch Rwakatare ambako wachumia tumbo wanaimba Mtumishi wa Mungu, Mchungaji, Dokta, Mheshimiwa Rwakatare.

Binafsi huwa sipendi kusifiwa au kumsifia mtu kiasi cha kupoteza maana. If he can not deliver udokta wake hauna TIJA
 
Simple. It's a characteristics of dictators. Simtofautishi na Iddi amini, Bokasa, Mugabe, Mobutu nk. Hutumia kila mbinu kujijenga kwenye uwezo ambao hawana.

Nyerere naye alipewa honorary degree na alikwenda vyuoni kwenda kuvipokea. Embu tukusikie ukisema nayo aliyoyafanya Nyerere ya kupokea hizo degrees nayo ilikuwa characteristics of dictators! Ahhhhh hapo utakuwa uanenda kinyume na mafundisho ya Kanisa na kamwe huwezi kumnyooshea kidole dictator wa kweli, aliyepiga marufuku vyama vya siasa na vyama vya wafanyakazi, kujaza wafungwa wa kisiasa jela na Watanzania wengi kuishi nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa!
 
nyerere naye alipewa honorary degree na alikwenda vyuoni kwenda kuvipokea. Embu tukusikie ukisema nayo aliyoyafanya nyerere ya kupokea hizo degrees nayo ilikuwa characteristics of dictators! Ahhhhh hapo utakuwa uanenda kinyume na mafundisho ya kanisa na kamwe huwezi kumnyooshea kidole dictator wa kweli, aliyepiga marufuku vyama vya siasa na vyama vya wafanyakazi, kujaza wafungwa wa kisiasa jela na watanzania wengi kuishi nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa!

huyu kakosa tu namna ya kuwafukuza watanzania ndugu yangu. Kama anajaza vifaa vya kijeshi, kutumia vyombo vya dola (jeshi, polisi, usalama wa taifa, tume ya uchaguzi, takukuru) ili kuwatishia watanzania wasipige kura ili aendelee kubaki ikulu, anatofauti gani na madikteta wengine?
 
93.jpg


President Jakaya Kikwete - an honorary degree
Posted by Admin
Friday, December 19, 2008 (UMST) The Chancellor of Kenyatta University, Dr Harris Mule, confers an honorary degree of Kenyatta University Doctor of Humane Letters on President Jakaya Kikwete in Nairobi on friday.

The president was conferred the degree in recognition of his efforts to solve conflicts and ensure peace in Africa.

Na Masters alikuwa awarded na nani na chuo gani?
 
sakata zima lilianza na mchunaji rwakatare alipotumia radio anayoimiliki ya praise power kujipromote kama dokta baada ya kupewa phd ya heshima, ndipo jk naye akaanza na kufuatiwa na karume........... nk...............
 
uache jazba wewe huo udokta aliopewa Kikwete amepewa na chuo ambacho hakiko accredited sio... na pia huo udaktari wa Kawawa (post humously) unatoka wapi wakati hakuwa hata na diploma... watu wasio na akili bwana... kabalaghabao

Dr. J.M.K. kapewa honorary doctorate degree na vyuo vinne. Vyuo hivi vipo Marekani (America), Uturuki (Europe), Kenya na Tanzania (Africa). Sasa vitaje kwa majina hivyo vyuo vilivyompa hizo heshima halafu tuone kama una makende ya kusimama mbele za wanaume na kudai kuwa hivyo vyuo haviko accredited.
 
Na Masters alikuwa awarded na nani na chuo gani?

Hayo ndiyo matatizo yenu nyie WAGALATIA msiokuwa na AKILI! Hamjui honorary doctorate ni mdudu gani halafu mnakuwa wazembe wa kufikiria kiasi hichi!
 
Kwa sababu watu wenye roho korosho na roho mbaya zilizojaa husda, wivu na gere kama wewe na wengine wengi kama wewe walikuwa ima hawapo kwa wingi kama mlivyo sasa AMA walikuwa wamezibwa midomo yao. Wakati wa utawala wa Nyerere wewe na familia yako nzima mngeishia kunyia kwenye kopo.

Hiyo ni heshima aliyopewa na Chuo Kikuu kilichompa hiyo degree ya heshima. Sasa kama wewe inakukera sana basi una options mbili. Moja ni kukaa kimya a.k.a. kufunga domo lako. Option ya pili ni kutafuta kamba na kujinyonga! First option inahitaji uvumilivu na kama ulivyoonyesha kuwa huna uvumilivu basi option ya pili ni best option for you! Make sure unaandika good suicide note ili ufikishe ujumbe kwa watu wengi kisa na sababu kilichokufanya uchague option ya pili. Best wishes!

Duh! Wewe ndio Jk mwenyewe nini? Au wewe ndio mtoa hizo degree za heshima!!!!!!!!!!!
 
Jana Tumeshuhudia tena Raisi wetu akipewa Degree ya Heshima baada ya ile ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Safari hii ameibukia Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili.

Hivi hizi Degree za Heshima zitamsaidia nini kuongoza nchi. Ukifikiri sana hapa inaonekana kuwa ni usanii na uswahili wa Raisi wetu kupenda sifa kuliko kufanya kazi.

Kwa nini asifanye kazi ili Watanzania wamtunukie Degree ya Heshima kwa kazi nzuri alizofanya. Kwa sasa Watanzania wengi wanaishi kwa shida, bila kupata mahitaji yao ya lazima. Gharama za Maisha zimepanda mno.

Tunafikiri Raisi wetu angeshughulikia kero za Watanzania badala ya kila siku kupanda kwenye majukwaa kupewa Degree za Heshima na Ma- Profesa wanaotaka sifa kutoka kwake.

Raisi wetu Degree za Heshima nzuri zipo kwa Watanzania kama utawatumikia vyema. Lakini kama utaendelea na usanii huu, Watanzania hawatakuheshimu kwa kuwa na hizo Degree za Heshima za Wasomi wanaotaka sifa kutoka kwako.
 
wanaompa hizo degree ni watanzania wenzetu kwa maana hiyo tunaweza kusema wanatuwakilisha watanzania wote tulio nje ya kada ya taaluma.
Lakini mimi naona haya yote chimbuko lake lipo pale pale, katiba. Kama rais ndiye anayewateua wakuu wa vyuo then wakuu hao wanajikuta wanamsukumo wa kumshukuru kwa namna moja au nyingine ndio hizo shahada za heshima. Kwa kufanya hivyo wamejihakikishia uteuzi mwingine.
Kibaya zaidi wakuu wanashindwa kufanya tafiti za ukweli kusaidia uongozi wa nchi watajikuta wanapindisha matokeo ya tafiti kuwafurahisha wakubwa.
 
Naona ni moja ya mipango yake mkuu wetu wa nchi hii , akimaliza uraisi awe na udokta wa heshima kutoka kila chuo TZ ...... sijui hadi 2015 zitakuwa ngapi. Duh
 
Kutokana na tabia za wateule wa Rais kujipendekeza kwake, katika hizi nchi za Kiafrika, Mkuu wa nchi anaweza kupata degree za heshima kutoka kila chuo, hasa kama hao wanaoteuliwa wakigundua kuwa ndicho kinachokufurahisha. Lakini mwisho wa yote zinakuwa hazina maana kwa vile hakuna matukio makubwa yanayoweza kuorodheshwa kwa nini ulistahili kupewa, yanabakia kuwa ni makaratasi tu.
 
sipo against lakini kuna haja ya hivi vyuo kuweka sababu wazi kwa wananchi wanapotaka kumtunuku rais degree ya heshima.
Lazima kuwepo na tafiti zitakazoonyesha ni kipi kafanya cha ziada zaidi ya wenzake waliopita na kionekane by statistics. Kama ni degree ya heshima ya afya ya jamii lazima watuambie ni nini spesho alichofanya kwenye sekta ya afya. OTHERWISE rais mwenyewe angetakiwa azikatae hizi degree za heshima maana zinamshushia hadhi zinapokua zinatolewa kila chuo zinaonekana kama vile ni kujipendekeza kwa watawala.
Tukiangalia kushuka kwa ushindi wake 2005 ilikua 81% now 2010 ni 61% sasa hapo utagundua kua hizi degree za heshima ni za kinafiki maana haziendani na maisha bora kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom