JK: mauaji ya mchungaji Geita ni fedheha!

JK: mauaji ya mchungaji Geita ni fedheha!

Kuacha malumbano kwenye issue kama hizo za KIDINI kunatugharimu nini?

- sikumbuki ni lini na wapi ktk dunia hii ubaya ulipata mafanikio ya kudumu.

kwa nini tunajiweka mbali na suluhisho la tatizo???? Tusaidiane kutafuta jawabu ili turudi kama zamani ambapo dini haikuwa kipaumbele chetu bali utaifa.
 
Raha ya kuandika ipo kwa sababu tuko hai kama tungekufa katika vita ya kidini ni nani angetuandikia mawazo yetu??? Tafakari !!!! uko hai ili kuliokoa taifa lako.

- Kukomesha UDINI ...It begins with you as an individual!!!

Watanzania tukiamua TUTASHINDA Udini.
 
Wakristo tujiulize hivi kweli tunamwamini Yesu Kristo ipasavyo? Kama ndiyo hatuna haja ya kulumbana na mambo ya aina hii. Yesu anatutosha katika kila hali hata kutakasa vile tunavyovila. Wakristo wa kweli tujikite katika kuleta maendeleo kwa njia ya amani na si vinginevyo la sivyo nchi itaingia katika vita ya kipumbavu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe Mr. JK kama Rais kusema hili jambo ni fedheha haitoshi kabisa. Kama uliweza kuvunja safari zako za nje kwa sababu ya kifo cha msanii, inabidi uache shughuli zako zote uende Geita ukalikomalie hili jambo na pia usisahau kuwafukuza kazi yule Mkuu wa mkoa mwanza na Wasira. Hakuna raia bora zaidi ya mwingine. Kila mtu ana haki ya kuishi hadi hapo Mungu atakapomwita. Hivyo kama utasoma huu ujumbe panda ile ndege tuliyokununulia (ingawaje bado tunakula nyasi kwa sababu hiyo) uende Geita mara moja. Kama hutafanya hili basi utaendelea kudhibitisha udhaifu wako. Ni hayo tu.

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema mauaji ya mchungaji yaliyosababishwa na waislam wa buseresere mkoani Geita ni fedheha, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wapya wa CC JK alisema wale wote waliohusika na mauwaji hayo watasakwa hadi wapatikane.
 
tumeshazoea kauli za kikwete, kama angekuwa ameuwawa mwislam ungeona hatua zingechukuliwa haraka sana, msimamo ni ule ule, hakuna kununua nyama kwenye mabucha ya Waislam, kila watu wa nunue nyama kulingana na itikadi zao za dini.
 
Ninachofahmu mimi tangu tunapata uhuru waislam ndio wanachinja, hata katika machinjio yote ambayo nyama yake inatumiwa na umma, na hata katika masoko ya kuku wachinjaji ni waislam, sasa leo wakristu tunataka nini jamani, tuwaachie waislam waendelee kuchinja kwa dini yao inatoa elimu (ustaarabu) namna gani mnyama au ndege anavyotakiwa kuchinja, kwani mbali na hilo nyama hiyo itakuwa ni kibudu tu!
Mkuu kibudu ni kama amekufa bila kuchinjwa.Nafikiri unamaanisha "kharam"
 
Nasikia ni janja ya ccm ili kupooza suala la gasi ili watu wa mtwara kwa kuwa wengi ni waislam wakisikia mchungaji kauwawa basi roho zao zitakuwa zimetulia! Huku bomba likichimbiwa fasta fasta! Hii ni taarifa ya siri.

to every rumour there is a certain % of truth
 
., Una tetea ujnga wewe na bible huijui. usikubali kufanyiwa maombi na mtu. ile ng'ombe inavyonjwa kuna vitu inombewa we unajua maana yake? basi wachinje wasiombee

teh teh teh...kinachomtia mtu haramu sio kiingiacho bali kitokacho moyoni...au nakosea kwa hilo maana siku hizi kuna biblia nyingi sana labda. Kwahiyo dhambi zangu ndizo zinanifanya kuwa haramu...sio mambo yasiyo na kichwa wala mguu. Ukristu umedumu miaka mingi tena kwenye dhoruba kali sio kwa kubebeana mapanga na kuuana....kwa sala, kufunga na kuishi amri zake Mungu. Kuuana ni amri ya nani? Kuleta fujo ni amri ya nani?
 
Je waliochoma makanisa hivi walikamatwa!, na kama walikamatwa wamechukuliwa hatua gani?
Je waliochoma makanisa mbagala hivi walikamatwa! Na je walichukuliwa hatua gani?

Hatua zilizochukuliwa ni kuwa kijana aliyekojolea korani alikamatwa na kufunguliwa mashtaka!
Na hapo Geita nasikia wachungaji viongozi wa umoja wa makanisa wamekamatwa maana inasemekana wao ndio walisababisha vurugu hizo kwani walihamasisha washirika wao kuchinja, na hivyo hatimaye wakawachokoza waislamu wakamwua mchungaji. Hivyo hatua zimechukuliwa!!!
 
Kwa taarifa yako kikao maaskofu na wachungaji wa kikristo mkoa wa Geita kilifanyika katika makao makuu ya jimbo katoliki la Geita,askofu wa katoliki, mapadri pamoja na wachungaji wengine walitoka na msimamo wa kutoshiriki ibada ya mungu mwingine kupitia kula nyama.Waliazimia kuwatangazia waumini kutokula nyama iliyochinjwa na muislam

Mwanzoni sikuelewa siri ya mjadala mzima, nawashukuru wote waliosoma michango yangu katika hoja iliyokuwa mbele yetu.Naheshimu michango ya kila mmoja wetu. Ninaomba kusema mambo haya yafuatayo:-
1.Wakristo wamekuwa wakionenwa na kudhalilishwa na watu waliotumia jina la uislam kwa muda mrefu sasa, inaelekea sasa wamechoka.
2. Wahuni na wachochezi wametumia neno uislam kutetea wanazoziita haki zao kwa kisingizio kuwa mfumo katolic umeendesha dhuluma dhidi ya uislam kwa muda mrefu sasa.
3. Ukweli ni kwamba wakristo sio wamoja na wala waislam sio wamoja. Kila mmoja wetu analijua hilo.
4. Tanzania ni moja na kila mtazania anayo haki ya kuheshimiwa kwa hali aliyonayo bila kujali imani yake.
5. Watanzania hatuaminiani katika kila eneo, kisiasa na hata kidini na baya zaidi hata taasisi za umma, kama mahakama, polisi, usalama wa Taifa, tume ya uchaguzi, baraza la mitihani na serikali kwa ujumla wake.
6.Hoja ya kuchinja au kutochinja ni sehemu ndogo sana katika kuupata ufalme wa mbingu, ila kwa watu walichoka hiyo ni hoja ya kutokea. Haina maana, haiwafanyi wakristo kutimiza ukristo wao na wala waislam kutimiza uislam wao.
7.Wote tuliokuwa tukitoa michango yetu hapa, tumekuwa tukifanya hivi kwa niaba yetu binafsi na sisi sio wawakilishi wa ndugu, familia zetu na jamii ya watanzania kwa ujumla wake.
8. Ni wazi kuwa sasa tunalotatizo kubwa la udini, tumeanza taratibu na sasa tuakaribia kilele cha safari yetu, tatizo la Geita, Zanzibar na Dar( Mbagala) ni viashiria vya awali.
9. Kwa kuwa serikali haiaminiki sasa, ina maana chama cha mapinduzi hakiaminiki tena. Na kwa kuwa serikali haiaminiki na ndio kimbilio la kila mmoja wetu anapokuwa haridhishwi au na dini yake,familia yake na hata sehemu ya jamii, ni lazima tutafute ufumbuzi.
10. Wajibu wetu sasa ni kwamba katika uchaguzi wa mwaka 2015, iwekwe serikali nyingine, ya chama kingine, ili tuanze kurejea kwenye misingi ya kuaminiana, kuvumiliana na kupenda. Tupambane na dhuluma na uonezi. Kama mmefuatilia kwa makini majadliano ndani ya uzi huu ni nani kati yetu yuko salama? Mimi simuoni.
11. Kama kuna watu nimewakwaza niwaomba anisamehe nilitoa maoni yangu kwa dhati kabisa.
 
kuna mwenzako aliposti utumbo kama wakwako nikampa shule, nakukopia na wewe kwani inakuhusu na inamajibu ya maswali yako yote,

Kuna jambo moja ambalo mpaka sasa wananchi tunapaswa kujiuliza na kuwa makini nalo Kwa nini Kikwete amekuwa Super power mpaka mihimili mingine yote haifanyi kazi inavyotakiwa Hakuna uwezo wa jaji kuunda Uchunguzi wa Coronar wa vifo visivyotafsirika,-huo usuper power wa kikwete ni upi? ulishawahi kucompare na tawala za kabla ya kikwete? au aunaandika with reference to what?
Wakristo wameuawa wengi kule meru usa river mchungaji alitobolew misumali kwenye macho mpaka kufa na kosa lake alikuwa akihubiri sijui wakati wa mwadhana wakavamia kanisa na yeye wakampotezea maisha yake-una data za upande mmoja tu. toa na zaupambe wa pili, au kwako wewe mkiristo ndo mtu, wengine ni panya?
Mbagala wamevunja makanisa na kuiba-ile misikiti iliyobomolewa mbona huiongelei,vyombo vyenu vya habari tena kwa makusudi havikuripoti uharibifu wa mali za waislam zilizotokea Mbagala achilia mbali kukojolewa kwa qur'an (chuki mnazohubiriwa na makasisi wenu, umewahi kusikia muislam amekojolea bibilia?) halafu unaandika utumbo hapa, napata hasira na nahisi wewe utakuwa labda chizi
Zanzibar na Iringa wamepiga na kuwatungua risasi mapadri-iringa sote tunajua ni majambazi walivamia na wakaiba mali, kuhusu zanzibar mbona huongelei yule shekh aliyemwagiwa tindikali? yeye hakuwa mtu na kiongozi wa imani? tena kinachoniudhi ni kwamba kwa shekh ilikuwa kimya kabisa, hebu niambie kiongozi wakitaifa aliyekwenda kumjulia hali, hebu jiulize ni viongozi wangapi walienda kujipendekeza kwa yule padri, na huu kama si upendeleo wawazi nini? hivi huoni hata tofauti ya covarage kwenye vyombo vya habari ambavyo vingi mnavimiliki nyinyi? hivi nyinyi wagala nani kawaloga?
Chato mchungaji anachinjwa kama kuku halafu Mkuu wa wailaya,mkoa,na waziri wote wanaficha ukweli vyombo vya habari vimewaweka ndani wakristo halafu wanataka mambo yaishe na uliza hawa watendaji wanaogopa kutenda haki kwa sabau Kikwete atawafukuza kazi yaani anabariki udini na upotevu wa maisha-hivi mbona huongelei waislam waliouliwa kwenye kadhia hiyo? mbona hata yule muislam waliyemuua wakristo kule shinyanga mbona huongelei? mbona hufikirii kuhusu mchungaji kuwalisha waislam kibudu bila kuwaambia tena kwenye msiba ambao walienda kushiriki kwa nia njema kama majirani, wewe huoni tatizo hapo? tena amefanya hivyo akijua kabisa kuwa imani yao hairuhusu kula vibudu. hivi nyie watu huwa mnafikiria kweli?
Kikwete ana nguvu gani kiasi cha kwamba ameanza kutisha wananchi kwa kutmia jeshi la wananchi kwa shughuli za kipolisi kwa nini anatisha wananchi na hajali matokeo ya kutumia jeshi isivyostahili-sioni hata hiyo nguvu ya kikwete zaidi ya limfumo kristo.
Kikwete amevuruga kabisa muhimili wa bunge,bunge sasa limekuwa rubber stamp ya serikali kwa nini ni super power yuko juu ya katiba juu ya sheria-hata huo mfumo wa bunge unaosema, sidhani kwenye historia kama ilishawahi kutokea bunge lenye msisimko kama hili na hiyo ni kutokana na juhudi za huyo kikwete unayemsema, na machuki yako ya kidini. lakini pamoja na juhudi hizo mpaka za kuachia riport kama za CAG kujadiliwa kwa uwazi yamekuja majitu ya lile limfumo na kumwambia ondoa hii kitu ili tushinde 2015. hebu niambie kikwete ana nini cha kupoteza 2015 mpaka hata avuruge huo mfumo? mbona huhitaji hata akili yenye grade A tu ya teaching?
Kikwete amevuruga kabisa fikra huru za wasomo vyuo vikuu sasa hivi wamegeuka kuwa wapiga propaganda za kikwete kila chuo kimempa PHD jamani hivi kweli-hizo PhD nadhani anasitahiki, sema kwa chuki zako za kidini ulitaka apewe labda askofu fulani. kikwete kawekeza sana kwenye elimu. hatukatai kwamba kunachangamoto, lakini ndo the best katika kuweka. hivi huoni vyuo kama UDOM etc, mashule na mengineyo mengi? tunaogopa kujiunga ya East African community kwa sababu hatukuwekeza kwenye elimu na hasa kli kizee cha mchonga, ndo maana tumepitwa mbali na majirani zetu pamoja na kuwa sisi tulitangulia kupata uhuru. na mwisho kabisa niseme, kwani hizo PhD ni nini kwa kwa mtu mwenye cheo cha juu kabisa kwenye nchi kama RAIS? hizo ni takataka tu. sio lolote hata wasingempa cheo cha rais ni funika bovu. kaa naupumbavu wako.
Kikwete amevuruga kabisa mfumo wa habari magazeti robo tatu yote yanaongopa na kuandika habari za ppropaganda ili kulinda utwala wake hivi niwaulize wana JF huyu mtu ni unstopable- sijui nikupe jina gani. hivi kuna rais yeyote tanzania aliwahi kuvipa uhuru vyombo vya habari kama kikwete? hujui kuwa nyerere alikuwa na TV peke yake ikulu? kumbuka zanzibar TV yao ipo tangu 1964, sijui wewe unaumri gani huenda ikawa ndo shule na kupa ili siku ingine usiandike upumbavu wako hapa. kuna rais aliyewahi kutukanwa kama kikwete na vyombo vya habari na akivipuuzia? hivi kuna vyombo vya habari vilivyowahi kumtukana mkapa na vikabaki salama? uliza jenerali ulimwengu alimwandika vibaya kidogo tu na akaitwa sio rais wa Tz na akatakiwa aidha aombe (kumbuka kuomba kuna kupata na kukosa) upya au aondoke. habari kama za IPTL, kiwira, tangold, mwananchi, BOT, na hata hiyo epa mbona zilikuwa kipindi cha mkapa kuna aliyethubutu kuandika? vipi kuhusu richmond? ilichukua hata mwaka? hivi wewe kijana unaumri gani?
Kikwete amezima kabisa uhuru wa wananchi kutoa kilio chao kwa migomo au maandamano viranja wote amewafanya wakae chini au kuwazima kabisa-jiulize CUF walivyopata kipondo kipindi cha mkapa. watu siajabu zaidi ya 70 waliuawa kule pemba wewe na chuki zako huoni kama hilo ni tatizo. slaa ni mbunge tangu mkapa akiwa madarakani. hizi mbwembwe zake anazozileta kipindi hiki (sijasema zote hazina manufaa kwa taifa, nataka unielewe) ulizisikia kipindi cha mkapa? angepataje virungu? hivi unajua hata Prof. Lipumba alishawahi kuvunjwa mkono na majeshi ya mkapa? HEBU JIBU HIZI HOJA KAMA KWELI WEWE NI MWANAUME AU MWANAMKE WAUKWELI otherwise jikate kivyako, /QUOTE]
Hivi wale waliomuua Padri kule zanzibari walishakamatwa?
Na wale waliomtesa Docta Ulimboka vipi wamekamatwa?
Je waliochoma makanisa hivi walikamatwa!, na kama walikamatwa wamechukuliwa hatua gani?
Je waliochoma makanisa mbagala hivi walikamatwa! Na je walichukuliwa hatua gani?
Ukweli unabaki pale pale serikali iko nyuma ya waislamu wanafanya haya matuukio! Na tumeshazoea matamko yanayotolewa na Jk mara nyingi yanakosa mshiko ni yakawaida sana.
Hatuoni akichukizwa na hivi vitendo vinavyoshamira sana wakati huu wa serikali yake,
hatuoni kiongozi anaeweza kuongea wananchi wakamsikia!
Amekua akiogopapa upande mwingine watamfikiriaje!.
Nakumbuka mwalimu Nyerere alikuwa hang'ati na kupuliza ila jk anang'ata na kupuliza..
Amekuwa akimtumia waziri DHAIFU wasira kwenda kusuluhisha wa kristo na waislam kule geita! Matokeo yake tumeyaona.
Tusubiri tuendelee kusikia matamko thaifu yasiyo na mshiko ya huyu mr maendeleo.
 
asiye na akili ni Mwl Nyerere na ndiye aliyeleta udini Tz sema propaganda znafanya watu wasiue yeye aliweka sheria kwamba waislamu pekee ndo wanaotakiwa kuchinja na kuwanyima haki hiyo Wakiristo, lakini aliwachotea Wakiristo mapesa mengi huku kuendeshea mashule huku waislam wasiambulie kitu katka hzo fedha. serikali ya ss inatakiwa kuwaita waislam na wakiristo na kuwaweka meza moja ili isikilize mattzo ya kila upande
 
"kama angeuwawa muislam angechukuwa hatua haraka" hii inaonesha ni jinsi gani unavyoropoka bila data...Wakiristo wa madhehebu ya sabato walimvamia na kumpiga mpaka kumuua kijana wa kiislam Jummanne huko Shinyanga mwaka 2009 ni hatua gani zilichukuliwa dhidi ya wasabato hao? baada ya hapo waliendelea kuukashifu uislamu kwa kwaya waliopa jina la "jiwe jeusi la Makka", pili Maaskofu walimuagiza Mkapa kuwauwa waislamu wa mwembechai Dar mwaka 1999 hata uchunguzi tu haukufanywa.tatu huyo mchungaji na wenzake walitumia bastola kuwajeruhi waislam ndo wakamchukulia hiyo hatua na ndo maana wachungaji wawili wamo ndani kwa kuhusishwa na mauaji hayo. lakini hiyo haitangazwi na vyombo vya habari.Rais kwenda Geita si lazima maadam ameisha ahidi kulishughulikia suala hilo kwa hiyo tuwe na subira wote wahusika watashughulikiwa (wakiristo kwa waislamu).
 
Wakiristo mnachekesha sana mnaposema "kila kiingiacho ni halali" hii haingii akilini ndo maana waislam hawataki mchinje kwa sbb nyie nyama ni nyama ya mtu, paka, mbwa n.k....lakini haya ni mafundisho mabovu ya Paulo wala si Yesu Kristo aliyefundisha hivyo..wala Mungu hakusema hivyo kama kweli anatupenda. Mungu alisema (soma Mambo ya Walawi 11:1-8) najua utasema hiyo ni taurati ya musa hivyo ni agano la kale lakini (soma Mathayo 5:17) uone Bwana Yesu anasemaje. Hayo ndo mafundisho ya Yesu yanayofanana na mafundisho ya Quran Tukuf (Almaida 5:3).Huyo ndo Mungu wa kweli...kuhusu kuuana sio kweli kwamba wakiristo hawauwani Wakatholiki (crusaders) wamewauwa sana wakiristo wa madhehebu ya Protestants huko Ulaya.
 
kuna mwenzako aliposti utumbo kama wakwako nikampa shule, nakukopia na wewe kwani inakuhusu na inamajibu ya maswali yako yote,

Kuna jambo moja ambalo mpaka sasa wananchi tunapaswa kujiuliza na kuwa makini nalo Kwa nini Kikwete amekuwa Super power mpaka mihimili mingine yote haifanyi kazi inavyotakiwa Hakuna uwezo wa jaji kuunda Uchunguzi wa Coronar wa vifo visivyotafsirika,-huo usuper power wa kikwete ni upi? ulishawahi kucompare na tawala za kabla ya kikwete? au aunaandika with reference to what?
Wakristo wameuawa wengi kule meru usa river mchungaji alitobolew misumali kwenye macho mpaka kufa na kosa lake alikuwa akihubiri sijui wakati wa mwadhana wakavamia kanisa na yeye wakampotezea maisha yake-una data za upande mmoja tu. toa na zaupambe wa pili, au kwako wewe mkiristo ndo mtu, wengine ni panya?
Mbagala wamevunja makanisa na kuiba-ile misikiti iliyobomolewa mbona huiongelei,vyombo vyenu vya habari tena kwa makusudi havikuripoti uharibifu wa mali za waislam zilizotokea Mbagala achilia mbali kukojolewa kwa qur'an (chuki mnazohubiriwa na makasisi wenu, umewahi kusikia muislam amekojolea bibilia?) halafu unaandika utumbo hapa, napata hasira na nahisi wewe utakuwa labda chizi
Zanzibar na Iringa wamepiga na kuwatungua risasi mapadri-iringa sote tunajua ni majambazi walivamia na wakaiba mali, kuhusu zanzibar mbona huongelei yule shekh aliyemwagiwa tindikali? yeye hakuwa mtu na kiongozi wa imani? tena kinachoniudhi ni kwamba kwa shekh ilikuwa kimya kabisa, hebu niambie kiongozi wakitaifa aliyekwenda kumjulia hali, hebu jiulize ni viongozi wangapi walienda kujipendekeza kwa yule padri, na huu kama si upendeleo wawazi nini? hivi huoni hata tofauti ya covarage kwenye vyombo vya habari ambavyo vingi mnavimiliki nyinyi? hivi nyinyi wagala nani kawaloga?
Chato mchungaji anachinjwa kama kuku halafu Mkuu wa wailaya,mkoa,na waziri wote wanaficha ukweli vyombo vya habari vimewaweka ndani wakristo halafu wanataka mambo yaishe na uliza hawa watendaji wanaogopa kutenda haki kwa sabau Kikwete atawafukuza kazi yaani anabariki udini na upotevu wa maisha-hivi mbona huongelei waislam waliouliwa kwenye kadhia hiyo? mbona hata yule muislam waliyemuua wakristo kule shinyanga mbona huongelei? mbona hufikirii kuhusu mchungaji kuwalisha waislam kibudu bila kuwaambia tena kwenye msiba ambao walienda kushiriki kwa nia njema kama majirani, wewe huoni tatizo hapo? tena amefanya hivyo akijua kabisa kuwa imani yao hairuhusu kula vibudu. hivi nyie watu huwa mnafikiria kweli?
Kikwete ana nguvu gani kiasi cha kwamba ameanza kutisha wananchi kwa kutmia jeshi la wananchi kwa shughuli za kipolisi kwa nini anatisha wananchi na hajali matokeo ya kutumia jeshi isivyostahili-sioni hata hiyo nguvu ya kikwete zaidi ya limfumo kristo.
Kikwete amevuruga kabisa muhimili wa bunge,bunge sasa limekuwa rubber stamp ya serikali kwa nini ni super power yuko juu ya katiba juu ya sheria-hata huo mfumo wa bunge unaosema, sidhani kwenye historia kama ilishawahi kutokea bunge lenye msisimko kama hili na hiyo ni kutokana na juhudi za huyo kikwete unayemsema, na machuki yako ya kidini. lakini pamoja na juhudi hizo mpaka za kuachia riport kama za CAG kujadiliwa kwa uwazi yamekuja majitu ya lile limfumo na kumwambia ondoa hii kitu ili tushinde 2015. hebu niambie kikwete ana nini cha kupoteza 2015 mpaka hata avuruge huo mfumo? mbona huhitaji hata akili yenye grade A tu ya teaching?
Kikwete amevuruga kabisa fikra huru za wasomo vyuo vikuu sasa hivi wamegeuka kuwa wapiga propaganda za kikwete kila chuo kimempa PHD jamani hivi kweli-hizo PhD nadhani anasitahiki, sema kwa chuki zako za kidini ulitaka apewe labda askofu fulani. kikwete kawekeza sana kwenye elimu. hatukatai kwamba kunachangamoto, lakini ndo the best katika kuweka. hivi huoni vyuo kama UDOM etc, mashule na mengineyo mengi? tunaogopa kujiunga ya East African community kwa sababu hatukuwekeza kwenye elimu na hasa kli kizee cha mchonga, ndo maana tumepitwa mbali na majirani zetu pamoja na kuwa sisi tulitangulia kupata uhuru. na mwisho kabisa niseme, kwani hizo PhD ni nini kwa kwa mtu mwenye cheo cha juu kabisa kwenye nchi kama RAIS? hizo ni takataka tu. sio lolote hata wasingempa cheo cha rais ni funika bovu. kaa naupumbavu wako.
Kikwete amevuruga kabisa mfumo wa habari magazeti robo tatu yote yanaongopa na kuandika habari za ppropaganda ili kulinda utwala wake hivi niwaulize wana JF huyu mtu ni unstopable- sijui nikupe jina gani. hivi kuna rais yeyote tanzania aliwahi kuvipa uhuru vyombo vya habari kama kikwete? hujui kuwa nyerere alikuwa na TV peke yake ikulu? kumbuka zanzibar TV yao ipo tangu 1964, sijui wewe unaumri gani huenda ikawa ndo shule na kupa ili siku ingine usiandike upumbavu wako hapa. kuna rais aliyewahi kutukanwa kama kikwete na vyombo vya habari na akivipuuzia? hivi kuna vyombo vya habari vilivyowahi kumtukana mkapa na vikabaki salama? uliza jenerali ulimwengu alimwandika vibaya kidogo tu na akaitwa sio rais wa Tz na akatakiwa aidha aombe (kumbuka kuomba kuna kupata na kukosa) upya au aondoke. habari kama za IPTL, kiwira, tangold, mwananchi, BOT, na hata hiyo epa mbona zilikuwa kipindi cha mkapa kuna aliyethubutu kuandika? vipi kuhusu richmond? ilichukua hata mwaka? hivi wewe kijana unaumri gani?
Kikwete amezima kabisa uhuru wa wananchi kutoa kilio chao kwa migomo au maandamano viranja wote amewafanya wakae chini au kuwazima kabisa-jiulize CUF walivyopata kipondo kipindi cha mkapa. watu siajabu zaidi ya 70 waliuawa kule pemba wewe na chuki zako huoni kama hilo ni tatizo. slaa ni mbunge tangu mkapa akiwa madarakani. hizi mbwembwe zake anazozileta kipindi hiki (sijasema zote hazina manufaa kwa taifa, nataka unielewe) ulizisikia kipindi cha mkapa? angepataje virungu? hivi unajua hata Prof. Lipumba alishawahi kuvunjwa mkono na majeshi ya mkapa? HEBU JIBU HIZI HOJA KAMA KWELI WEWE NI MWANAUME AU MWANAMKE WAUKWELI otherwise jikate kivyako, /QUOTE]

Umeandika vizuri, Ustaadhi Illunga naamini amefurahishwa na kuchinjwa kwa mchungaji pia. Hivi kukiwa na kitimoto msibani lazima waislamu wale? wamechinja wakristo lazima waislamu wale? Kwani ilipelekwa buchani? Kwani kama wangejua amechinja mkristo then wakazika wakaenda zao kuna ubaya gani? ukikosa elimu unakuwa mjinga, njaa inakupa jazba plus kukosa elimu lazima uwaze kishetani.
 
Wakiristo mnachekesha sana mnaposema "kila kiingiacho ni halali" hii haingii akilini ndo maana waislam hawataki mchinje kwa sbb nyie nyama ni nyama ya mtu, paka, mbwa n.k....lakini haya ni mafundisho mabovu ya Paulo wala si Yesu Kristo aliyefundisha hivyo..wala Mungu hakusema hivyo kama kweli anatupenda. Mungu alisema (soma Mambo ya Walawi 11:1-8) najua utasema hiyo ni taurati ya musa hivyo ni agano la kale lakini (soma Mathayo 5:17) uone Bwana Yesu anasemaje. Hayo ndo mafundisho ya Yesu yanayofanana na mafundisho ya Quran Tukuf (Almaida 5:3).Huyo ndo Mungu wa kweli...kuhusu kuuana sio kweli kwamba wakiristo hawauwani Wakatholiki (crusaders) wamewauwa sana wakiristo wa madhehebu ya Protestants huko Ulaya.

Huyo ng'ombe hakuwa wa biashara, alikuwa wa shughuli ya wakristo, sasa wamejinjia haramu yao nyie mnamind! napata tabu kuwaelewa. Kwani ilikuwa lazima wale? Ebwana eeh, jiratibuni ndugu zangu waislamu, kukupa kuku wangu unichinjie ni utashi tu na upendo tu kwamba unaweza kuibuka mida ya menu. Chamsingi acheni kula kula ovyo, msindekeze njaa au kuleni bila kuuliza uliza basi? Na kama unanjaa Dini yako si inakuruhu kula chochote? sa mnamind nini?
 
Kinacho nisikitisha sana ni kwamba ndugu zangu Waisilamu hawachukui hatua kubwa sana kukemea mambo kama haya yanayo zidisha hisia za udini. Kama wangefanya hivyo naamini mambo kama haya yasingekuwa yanatokea kwa wingi huu uliopo sasa.

No offence to any one. Just opinions.
 
unapochangia ni vema ukatoa ushahidi usikurupuke, wakiristo wameonewa umetaja Zanzibar,Dar na Geita lakini hujui mauaji ya waislam wengi yaliyotokea Mwembechai kwa kupigwa risasi na askari mwaka 1999 baada ya Maaskofu kumuagiza Mkapa afanye hvo mara moja cha kushangaza hakuna hata uchunguzi uliofanyika,
Pili Wakiristo wasabatho walimvamia na kumpiga mpk kumuua kjana wa Kiislam Jummanne Huko Kahama mwak 2009 vyombo vya habari kimyaaa!
Tatu,Mtoto kakojolea Quran Tukufu hakuchukuliwa hatua yyte ya kisheria wakasema bado hajawa na akili lakini hyo cyo kweli kw sbb mbona hajakojolea Biblia Takatifu? au mbona hajikojolei? au mbona hajinyei? aahaa kumbe akili anayo saana, lakini pia kama watoto hawana akili mbona tunazo mahakama za watoto ni za nini basi kwa viumbe wasio na akili? lakini pia hata kama hana akili kutojua sheria hakumuondolei mtu hatia..lakini pia ni matokeo ya mafundisho ya Mapdre kwa ushahidi nlionao wtt wanafundishwa kuuchukia uislam na Waislam wakiwa wadogo kbs hko makanisani,
Nne,chama tunajua mmeubiliwa saana makanisani kumchagua padre Si-laha kwa manufaa ya kanisa na wakiristo ndo maana mnaiponda sn CCM..Na hii kila mkiristo ni shahidi.
Tano, Wakiristo wamekuwa wakichotewa mabilioni ya Hela na Serikali hii toka awamu ya Nyerere, na mwaka 1992 Makanisa ya TEC na CCT wakaingia mkataba rasmi wa kuzichota fedha kupitia mkataba haram wa MoU Ili kusaidia Taasis za makanisa hayo hku wakiendelea kudanganya kuwa nchi haina dini.
Sita, Waislam wamepewa haki ya kuchinja kisheria tokea awamu ya kwanza ya Nyerere, hvo wakiristo kufanya hivyo ni kuvunja sheria za nchi maksudi, malalamiko yao ni ya msingi wangesubiri serikali iwaruhusu kufanya hvo si kuchukua hatua mkononi
Saba, Mh Mchungaji aliyeuwawa na wachungaji wengine walitumia bastola na kuwajeruhi baadhi ya waislam katika vurugu hzo ndo maana wachungaji wengine wawili wanashikiliwa na polisi pamoja na waislam kadhaa.
je ni wapi mnaonewa ndugu?
 
Back
Top Bottom