Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
Nina mashaka na ukristo wako
hata mimi nina mashaka na ukristo wake
Nina mashaka na ukristo wako
sisi wakristo hatushiriki ibada za waislam coz hatuamini dini hiyo, na hatuwezi kulazimishwa kula nyama waliyochinja waislam ETI kwa maana ya kupanua soko!!! kikwazo kinakuja wanapodai hiyo ni ibada kwao, wewe hulioni hilo meck?Kila mmoja wetu anayohaki. Wakristu wanayo haki na waislamu wanayo haki ya kuchinja.
Kwa sababu za kibaishara, na hasa kupanua soko, waisalam ni bora wachinje kwa sababu wakristo hatuna kikwazo kula nyama ya mnyama aliyechinjwa na muislam, ila kwa muislam akijua kuwa mnyama imechinjwa na mkristu hataila katika mazingira ya kawaida, labda nyama hiyo iwe ndilo chaguo la pekee ( kama nikutetea uhai wake).
., Una tetea ujnga wewe na bible huijui. usikubali kufanyiwa maombi na mtu. ile ng'ombe inavyonjwa kuna vitu inombewa we unajua maana yake? basi wachinje wasiombeeIli tupate nini sasa? Do we understand well the christianity teachings in the holy bible? Kuacha kuchinja...is it something too much to allow? Kuacha malumbano kwenye issue kama hizo kunatugharimu nini? Hatuna mambo muhimu ya kufanya tuanze kugombania kuchinja wanyama?
unaonaje kama saa hizi waislam wakaanza kula vilivyochinjwa na wa kristu, kwa sababu wao wamechinja kwa muda mrefu?hapo itakua ni kupokezana kijiti.
Wakristo hoja yao imekuja baada ya waislam na wasira kutangaza kuwa wana haki ya kuchinja kwa sababu kwao kuchinja ni ibada,wakristo hawataki kushirikishwa kwenye ibada ya mungu mwingine,kwenye biblia pia akina Daniel,Meshak,shedrak na Abednego walikataa kula Chakula cha mfalme Nebukadreza walipokuwa utumwani.Wala usiwe na shaka na ukristo wangu, ungekuwa na shaka kama ningesema nikifa nitaenda mbiguni kwa imani hiyo niliyoieleza. Inawezekana hicho ndicho kikwazo changu. Ninakushauri utafakari zaidi na unisahihishe, mimi ni mwafunzi mtiifu.
sisi wakristo hatushiriki ibada za waislam coz hatuamini dini hiyo, na hatuwezi kulazimishwa kula nyama waliyochinja waislam ETI kwa maana ya kupanua soko!!! kikwazo kinakuja wanapodai hiyo ni ibada kwao, wewe hulioni hilo meck?
Ili tupate nini sasa? Do we understand well the christianity teachings in the holy bible? Kuacha kuchinja...is it something too much to allow? Kuacha malumbano kwenye issue kama hizo kunatugharimu nini? Hatuna mambo muhimu ya kufanya tuanze kugombania kuchinja wanyama?
Hata mimi.hata mimi nina mashaka na ukristo wake
Kwa taarifa yako kikao maaskofu na wachungaji wa kikristo mkoa wa Geita kilifanyika katika makao makuu ya jimbo katoliki la Geita,askofu wa katoliki, mapadri pamoja na wachungaji wengine walitoka na msimamo wa kutoshiriki ibada ya mungu mwingine kupitia kula nyama.Waliazimia kuwatangazia waumini kutokula nyama iliyochinjwa na muislamHilo jina Mechard sio bandia, ni langu na mimi ni mkristo wa kanisa katolic la mitume. Mimi sio muislam na hayo ndio maoni yangu katika suala hili, naweza ni siwe sahihi, lakini ninaona hivyo.
Wewe ni mpuuzi namba moja...huo ulazima wa wao kuchinja nani kauweka yaani wakritu tuendelee kuchinjiwa na majini....kwa mtu anaye fanya biashara ya kuuza nyama, kuchinjiwa na muisalam mnyama wake ni kupanua soko kuwa wanunuzi wawe wengi. Kwa mtu asiyefanya biashara ya nyama na anamchinja mnyama wake nani achinje ni hiari yake. lakini kama unamuingiliano na waisalam na wanaweza kuja kupata mlo kwako, kuchinja kinyume na matakwa yao ni ushenzi, au ni kinyume cha ustaarabu.
Wakristu lazima tukubali kuwa kama nyama ni kwa ajili ya biashara, mchinjaji lazima awe muislam na hilo lisiwe na mjadala. Lakini mkristu atakae chinja na kupeleka nyama hiyo kwenye bucha la jumla/umma ni mharifu. Adhabu yake sio kukata mapanga na kumuua. Atakaye ua binadamu mwenzie sio muislam bali ni mharifu achukuliwe hatua za kisheria.
mechard Rwizile ni mnafiki...sisi wakristo hatushiriki ibada za waislam coz hatuamini dini hiyo, na hatuwezi kulazimishwa kula nyama waliyochinja waislam ETI kwa maana ya kupanua soko!!! kikwazo kinakuja wanapodai hiyo ni ibada kwao, wewe hulioni hilo meck?