mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 213
hana jipya
kwenye highlight hapo sijakupata. sijui ulikuwa unamaanisha nini.
suala la kuchinja kwa wakristo sio ishu kama halitahatarisha waislam kula vibudu. kwani waislam wanachinjaga nguruwe? simuwauaga wenyewe na kula. suala hapa ni jinsi gani ya kutrace hiyo nyama inakwenda wapi. kama ingekuwa inakwenda tu kwa majumba ya wakristo tatizo litakuwa wapi. waislam watakachofanya ni kutokula tu kwa mkirsto, simple. tatizo hapo ni kwamba hiyo nyama inaenda kwenye migahawa na magenge kitu ambacho ni vigumu kutrace. sasa kabla hamjaanza kuchinja, basi iwekwe wazi na magenge na migahawa ijiregiste kwa inauza halal au sio. mbona ulaya na marekani hayo mambo yapo na hakuna tatizo. tuweke tu mfumo mzuri hakuna anayeng'gang'ania kivile kuwachinjia.
Na la mwisho ni kwamba, tofauti iliyopo ni kuwa waislam wanaongelea mafundisho ya imani yao wakati kwa wakristo hamna mafundisho bali ni chuki tu. this is the difference, kwani waislam haohao wanakula kilichopikwa na mkirsto bila shida yoyote kwa sababu mafundisho ya imani yaho hayajakataza. CAN YOU SEE THE DIFFERENCE?
Kwenye red kaka, akichinja muislam kwa mkristo sio kibudu!? unauhakuka?! Au upande mmoja unavumilia tu?
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema mauaji ya mchungaji yaliyosababishwa na waislam wa buseresere mkoani Geita ni fedheha, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wapya wa CC JK alisema wale wote waliohusika na mauwaji hayo watasakwa hadi wapatikane.