bizebizesana
Member
- Feb 14, 2013
- 7
- 0
kama maaskofu walivyofurahi saana baada ya kuagiza waislam wauwawe Msikiti wa mwembe chai Dar es salaam
Unalotaka kuaminisha watu sio sahihi, ukristo uko wazi kuwa " hatutahukumiwa kwa kundi", "kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe". Msalaba wako, uko katika amri kumi za Mungu. Na katika amri hizo hakuna ndogo na hakuna kubwa, zinatakiwa kutimizwa kwa ukamilifu wake na kwa ujumla wake. Katika amri hizo kumi hakuna ya "kuchinja au kutochinja mnyama". Jumuisho la amri hizo kumi ni "Upendo" na "uchaji Mungu wetu",usiokuwa na shaka na wala masharti. Kurithi au tafuta mwenyewe hakupo hapa.
Ukiamua kumkosoa mtu onesha eneo au neno au sentensi iliyokosewa au iliyotumiwa vibaya. Useme jumla jumla tu, hutamsaidia mtu.
kama maaskofu walivyofurahi saana baada ya kuagiza waislam wauwawe Msikiti wa mwembe chai Dar es salaam
kuna mwenzako aliposti utumbo kama wakwako nikampa shule, nakukopia na wewe kwani inakuhusu na inamajibu ya maswali yako yote,
Umeandika vizuri, Ustaadhi Illunga naamini amefurahishwa na kuchinjwa kwa mchungaji pia. Hivi kukiwa na kitimoto msibani lazima waislamu wale? wamechinja wakristo lazima waislamu wale? Kwani ilipelekwa buchani? Kwani kama wangejua amechinja mkristo then wakazika wakaenda zao kuna ubaya gani? ukikosa elimu unakuwa mjinga, njaa inakupa jazba plus kukosa elimu lazima uwaze kishetani.
mkuu inawekana ukawa uko sahihi kabisa kuwa nilikosa elimu kwa sababu mfumo unawapendelea mpaka leo hii ninapopost hapa na sisi wengine umetutenga. japokuwa tunajaribu kupambana kufa na kupona/kuzikana
pili, hakuna anayependa kuuna, kwa mafundisho ya uislam ni haramu kuua binadamu yeyote ila kwa mamlaka zinazohusika na kuthibitika kuwa huyu anasitahiki kunyongwa kwa amri kama ya court. Sio kwa huyo mchungaji wala hao waislam waliokufa (japokuwa mnajifanya hamjui na kila posti inapoletwa hapa mnaipotezea as if hao ni panya) mtu anaweza kufurahia. hiyo sio kweli. na la mwisho, hao wakristo wangesema mapema kuwa jamani hii nyama ni kibudu kuna muislam angekula? kuna ambaye angelalamiaka? huyo kwa vyovyote angekuwa na la kwake. TATIZO NI KWAMBA WALIKUJA KUJUA BAADA YA KUWA WAMEPEWA NA KULA. HATA KAMA UNGEKUWA WEWE UNGEFURAHIA? au unaandika tu kwa chuki zako.
la ziada, kweli kama wewe ni mtanzania umeanza kuishi na waislam kwa stail hiyo kuanzia lini? sisi mbona huku kwetu tunashirikiana kila shughuli bila ya kujali imani ya mtu. kwani kukiwa na tukio kwa mkirsto akamwita muislam akachinja na wakaendelea kushirikiana mnapungukiwa nini? kukiwa na shughuli kwa waislam wakristo wakaja tukashirikiana kinapungua kitu gani? hebu fikiria kidogo angalao. sisi wengine tuna ndugu sehemu zote. hatuwezi kuwatenga ndugu zetu kamwe kwa sababu eti ya dini? ni ujuha. angalia vizuri mkuu usije jikuta juza.
Katika hili watanzania wenzangu tusikubari kuburuzwa na mtu yeyote! Tusimame kama taifa moja, ndugu moja na familia moja .
Watanzania tumechangamana sana, hakuna familia au ukoo usiokuwa na waislam au wakristo au kuoleana au ujirani na urafiki pia.
Hili suala tusikubari hata siku moja litugawe, ndugu zangu wanaJF nmekuwa nikiangalia post mbali mbali hapa zikipostiwa cha ajabu watu wengine wanaangalia ubinafsi zaidi kuliko kuangalia utaifa.
Kwa hili hebu ndugu zangu tujaribu kuangalia wadogo zetu, watoto wetu, baba zetu, mama zetu, babu zetu, bibi zetu nk nk. Si busara kushabikia mauwaji eti tu tunashabikia dini zetu, hebu suara la imani zetu libakie kwetu kama sisi na imani zetu tusikwazane kwa masuala ya imani ndugu zangu.
Viongozi wa dini mbali mbali, viongozi wa kada mbali mbali tafadharini kama ni tunalipenda taifa letu kwa dhati tuhubiri kutokomeza mauaji haya na kwa umoja wetu bila kuangalia itikadi zetu tulaani kwa pamoja mauaji haya yasipate kurudia tena.
Imani yangu ni kwamba hakua sehemu kwenye quran au biblia inaporuhusu kuchinjana! Narudia tena ndugu zangu hapa tulipofikia tuseme kwa pamoja kuwa inatosha na tusikubari kamwe kutumiwa na watu wanaotafuta umaarufu aidha kidini au kisiasa! Si utamaduni wetu watanzania huu.
Asanteni na samahani kwa kuchukua muda wenu.
.........
Suala sio eti kwa kuwa ni ya biashara achinje muislam hapana, labda ungesema anayefanya biashara ya hotel, mama lishe na umma kwa jumla ndiye akanunue kwenye bucha ya mchinjaji muisilam. Hii habari ya kuainisha kuwa hii ni bucha ya nyama safi iliyochinjwa na mkristo ni hatua nzuri ambayo inatoa furusa muislam asiingie kichwa kichwa akala 'najisi', ni sawa na bucha za kitimoto mbona furesh tuu hamna noma au kwa kuwa alisema muislam mwenzenu kuwa ni ruksa? Namshauri Rais atamke kama ilivyo ruksa kuamini kupitia dini yoyote unayopenda ilimradi usivunje sheria, vivyo hivyo iwe ruksa kuchinja mkristo na kuuza kwa wanaoamini hivyo na vivyo hivyo kwa muislam achinje na kuuza kwa wanaoamini ya muislam. Mi sioni tatizo umewekewa bango hapa ni nyama iliyochinjwa na mkristo muisilam ukafanye nini? Mbona sijaona muislam akienda kanisani na kuvua viatu aabudu? Iweje ukosee bucha? Huu ni ukorofi ukiachiwa uendelee iko siku watatamka kuwa hata makanisa hayatakiwi yaondolewe. NB. Usimlazimishe mtu kuamini unavyoamini wewe lazima patachimbika na kama ndivyo poa mimi binafsi kitambo sili nyamafu, na akichinja muisilam sili toka zamani kwangu ni najisi.Nina mashaka na ukristo wako
Kugombania kuanza kuchinja wanyama ni fedheha maana miaka yote hii nani alikuwa ana chinja na mambo mbona yalikuwa yanaenda bila shida, na kupigana sababu ya kuchinja ni fedheha na kuuana sababu ya kuchinja ndio kabisaa. Udini unaoendeshwa na watu wasiojua dini tusiuvumbie macho! Utatuharibia Taifa letu.
kugombania kuanza kuchinja wanyama ni fedheha maana miaka yote hii nani alikuwa ana chinja na mambo mbona yalikuwa yanaenda bila shida, na kupigana sababu ya kuchinja ni fedheha na kuuana sababu ya kuchinja ndio kabisaa. Udini unaoendeshwa na watu wasiojua dini tusiuvumbie macho! Utatuharibia taifa letu.
mkuu inawekana ukawa uko sahihi kabisa kuwa nilikosa elimu kwa sababu mfumo unawapendelea mpaka leo hii ninapopost hapa na sisi wengine umetutenga. japokuwa tunajaribu kupambana kufa na kupona/kuzikana
pili, hakuna anayependa kuuna, kwa mafundisho ya uislam ni haramu kuua binadamu yeyote ila kwa mamlaka zinazohusika na kuthibitika kuwa huyu anasitahiki kunyongwa kwa amri kama ya court. Sio kwa huyo mchungaji wala hao waislam waliokufa (japokuwa mnajifanya hamjui na kila posti inapoletwa hapa mnaipotezea as if hao ni panya) mtu anaweza kufurahia. hiyo sio kweli. na la mwisho, hao wakristo wangesema mapema kuwa jamani hii nyama ni kibudu kuna muislam angekula? kuna ambaye angelalamiaka? huyo kwa vyovyote angekuwa na la kwake. TATIZO NI KWAMBA WALIKUJA KUJUA BAADA YA KUWA WAMEPEWA NA KULA. HATA KAMA UNGEKUWA WEWE UNGEFURAHIA? au unaandika tu kwa chuki zako.
la ziada, kweli kama wewe ni mtanzania umeanza kuishi na waislam kwa stail hiyo kuanzia lini? sisi mbona huku kwetu tunashirikiana kila shughuli bila ya kujali imani ya mtu. kwani kukiwa na tukio kwa mkirsto akamwita muislam akachinja na wakaendelea kushirikiana mnapungukiwa nini? kukiwa na shughuli kwa waislam wakristo wakaja tukashirikiana kinapungua kitu gani? hebu fikiria kidogo angalao. sisi wengine tuna ndugu sehemu zote. hatuwezi kuwatenga ndugu zetu kamwe kwa sababu eti ya dini? ni ujuha. angalia vizuri mkuu usije jikuta juza.
Na mtalishwa nguruwe kwa kudoea vya hao jamaa,bado unang'ang'ania kula tu!
Kwa kweli huyu baba kabalikiwa, kwa kauli tamu zenye kila aina ya matumaini, subiri sasa danadana zake kwenye utekelezaji!
Na mtalishwa nguruwe kwa kudoea vya hao jamaa,bado unang'ang'ania kula tu!
mkuu wengine ni ndugu kabisa wa damu. utaacha kwenda kumjulia hali ndugu yako kwa sababu ya dini? suala la msingi hapa ni kuheshimiana tu. na kuangalia lipi la kufanya na lipi lina athari upande mwengine na mambo kama hayo. mbona maisha yanaenda.
labda tu kitu kingine nilicho note, ni aina ya dhehebu lililofanya hii kitu ya ajabu, utaniwia radhi kama wewe ni miongoni mwao. mimi nimeishi na wakatoliki miaka yangu yote. sijawahi ona wanafanya ujinga kama huu. tunashiriana nao vizuri tu huku kijijini kwetu. ila haya madhebu mapya yanayoibuka kama uyoga yatatupeleka pabaya. tatizo kwa wakatoliki ni moja tu na ni kwa uongozi wa juu. kuendesha serikali na jamii zingine hasa za kiislam kukosa mambo mengi, siwezi kuyataja hapa. lakini kwa hawa wakatoliki wa chini mbona mambo poa. tena wako peace ile mbaya.

Good2015, nakuelewa vema, tunavumiliana sana kwa mengi nchi hii, nimekua naona na najua waislamu ndo wanachinja ila mazoea yana mwisho! kama unavyoona bakwata inafunuliwa ni taasisi ya kikistro,maatatizo yetu ya ndani ni mengi sana. Tumefikishwa hapa inatosha tuangalie mbele, Halal kiandikwe Halal. Mambo mengine yasiwe lazima, hakuna msafi zaidi ya wengine. Kwanin itakuwa vipi wakristo nao wakiamua hatuli nyama ya machioni kwa sababu wamechinja waislamu au unadhani hawawezi. Tatizo sisi jazba, na kufa ukishabikia kidini ndo kwenda peponi, fikra ngumu kabisa! Loosers tunaonekana sasa. Hili tatizo na litatutokea puani tusipokuwa makini
kwenye highlight hapo sijakupata. sijui ulikuwa unamaanisha nini.Good2015, nakuelewa vema, tunavumiliana sana kwa mengi nchi hii, nimekua naona na najua waislamu ndo wanachinja ila mazoea yana mwisho! kama unavyoona bakwata inafunuliwa ni taasisi ya kikistro,maatatizo yetu ya ndani ni mengi sana. Tumefikishwa hapa inatosha tuangalie mbele, Halal kiandikwe Halal. Mambo mengine yasiwe lazima, hakuna msafi zaidi ya wengine. Kwanin itakuwa vipi wakristo nao wakiamua hatuli nyama ya machioni kwa sababu wamechinja waislamu au unadhani hawawezi. Tatizo sisi jazba, na kufa ukishabikia kidini ndo kwenda peponi, fikra ngumu kabisa! Loosers tunaonekana sasa. Hili tatizo na litatutokea puani tusipokuwa makini
suala la kuchinja kwa wakristo sio ishu kama halitahatarisha waislam kula vibudu. kwani waislam wanachinjaga nguruwe? simuwauaga wenyewe na kula. suala hapa ni jinsi gani ya kutrace hiyo nyama inakwenda wapi. kama ingekuwa inakwenda tu kwa majumba ya wakristo tatizo litakuwa wapi. waislam watakachofanya ni kutokula tu kwa mkirsto, simple. tatizo hapo ni kwamba hiyo nyama inaenda kwenye migahawa na magenge kitu ambacho ni vigumu kutrace. sasa kabla hamjaanza kuchinja, basi iwekwe wazi na magenge na migahawa ijiregiste kwa inauza halal au sio. mbona ulaya na marekani hayo mambo yapo na hakuna tatizo. tuweke tu mfumo mzuri hakuna anayeng'gang'ania kivile kuwachinjia.
Na la mwisho ni kwamba, tofauti iliyopo ni kuwa waislam wanaongelea mafundisho ya imani yao wakati kwa wakristo hamna mafundisho bali ni chuki tu. this is the difference, kwani waislam haohao wanakula kilichopikwa na mkirsto bila shida yoyote kwa sababu mafundisho ya imani yaho hayajakataza. CAN YOU SEE THE DIFFERENCE?