Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu kwa muda mrefu, lakini nimekuwa nikishangazwa na maoni ya watu wengi kuhusu suala la nani achinje. Mimi ni mkristu mtiifu na kusema kweli nimerithi kutoka kwa baba yangu miaka mingi iliyopita. Jirani zangu ni waislam watiifu kwa imani yao tumeishi kwa uwelewano mkubwa tangu enzi hizo hadi sasa. Wamekuwa wakila kwetu nasi tukila kwao bila mashaka. Kutokana na muungiliano huo, sisi kila tulipoamua kuchinja mbuzi au kuku tumekuwa tukitafuta huduma hii kwenye familia ya kiislam. Na ujira wa kuchinja unaeleweka kwa yule mchinjaji ni sehemu ya nyama ya shingo. Kuamua waislam wachinje kulitokana na ustaarabu wa kutaka kutowanyima kitoweo ndugu zetu kwa maana inamani zao zinaelekeza mashart fulani yafuatwe.
kwa mtu anaye fanya biashara ya kuuza nyama, kuchinjiwa na muisalam mnyama wake ni kupanua soko kuwa wanunuzi wawe wengi. Kwa mtu asiyefanya biashara ya nyama na anamchinja mnyama wake nani achinje ni hiari yake. lakini kama unamuingiliano na waisalam na wanaweza kuja kupata mlo kwako, kuchinja kinyume na matakwa yao ni ushenzi, au ni kinyume cha ustaarabu.
Wakristu lazima tukubali kuwa kama nyama ni kwa ajili ya biashara, mchinjaji lazima awe muislam na hilo lisiwe na mjadala. Lakini mkristu atakae chinja na kupeleka nyama hiyo kwenye bucha la jumla/umma ni mharifu. Adhabu yake sio kukata mapanga na kumuua. Atakaye ua binadamu mwenzie sio muislam bali ni mharifu achukuliwe hatua za kisheria.
Wakristu hatuna sababu ya kulitumia hili la kuchinja kama chanzo cha kutetea imani yetu, hata hivyo hakuna amri ya Mungu hata moja inayosema, muumini ataingia mbinguni kwa kuwa aliwahi kuchinja mnyama kwa mikono yake. Tuachane na ukorofi usio na tija.
Nina mashaka na ukristo wako
Kama kuna mnafiki Duniani ni huyu Rais!! Nyuma ya pazia mchochezi ndani ya nyumba anaongea haya!! Mnafiki! Hata Dr Ulimboka alipopigwa na watu wa Ikulu yake (kwa maagizo yake) alienda "kumjulia" hali hospital! Watz tulichagua garasa kama raisRaisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema mauaji ya mchungaji yaliyosababishwa na waislam wa buseresere mkoani Geita ni fedheha, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wapya wa CC JK alisema wale wote waliohusika na mauwaji hayo watasakwa hadi wapatikane.
Kama kuna mnafiki Duniani ni huyu Rais!! Nyuma ya pazia mchochezi ndani ya nyumba anaongea haya!! Mnafiki! Hata Dr Ulimboka alipopigwa na watu wa Ikulu yake (kwa maagizo yake) alienda "kumjulia" hali hospital! Watz tulichagua garasa kama rais
Alafu wakishapatikana?Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema mauaji ya mchungaji yaliyosababishwa na waislam wa buseresere mkoani Geita ni fedheha, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wapya wa CC JK alisema wale wote waliohusika na mauwaji hayo watasakwa hadi wapatikane.
Hakika ccm ndo watatuletea vita kwenye nchi hii, wanahubiri udini, wanaubiri majukwaani ukanda! Dhambi hii itawatafuna wenyewe.Mhe. anavuna alichopanda majuzi alikuwa RPC sasa mchungaji mtumishi wa mungu hii ni laana inabidi kufikiri upya kuhusu sheria ya utangazaji viredio visivyo na maadili vinavyopandikiza chuki vifungwe,kama jirani zetu Kenya wameweza kwanini sisi tunashindwa?.
angalia hapo kwenye red, yaani wewe una matatizo makubwa, tena wewe ni muislam, acha kutuzuga hapa. kama huna cha kuongea you better keep quit!!!!!!Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu kwa muda mrefu, lakini nimekuwa nikishangazwa na maoni ya watu wengi kuhusu suala la nani achinje. Mimi ni mkristu mtiifu na kusema kweli nimerithi kutoka kwa baba yangu miaka mingi iliyopita. Jirani zangu ni waislam watiifu kwa imani yao tumeishi kwa uwelewano mkubwa tangu enzi hizo hadi sasa. Wamekuwa wakila kwetu nasi tukila kwao bila mashaka. Kutokana na muungiliano huo, sisi kila tulipoamua kuchinja mbuzi au kuku tumekuwa tukitafuta huduma hii kwenye familia ya kiislam. Na ujira wa kuchinja unaeleweka kwa yule mchinjaji ni sehemu ya nyama ya shingo. Kuamua waislam wachinje kulitokana na ustaarabu wa kutaka kutowanyima kitoweo ndugu zetu kwa maana inamani zao zinaelekeza mashart fulani yafuatwe.
kwa mtu anaye fanya biashara ya kuuza nyama, kuchinjiwa na muisalam mnyama wake ni kupanua soko kuwa wanunuzi wawe wengi. Kwa mtu asiyefanya biashara ya nyama na anamchinja mnyama wake nani achinje ni hiari yake. lakini kama unamuingiliano na waisalam na wanaweza kuja kupata mlo kwako, kuchinja kinyume na matakwa yao ni ushenzi, au ni kinyume cha ustaarabu.
Wakristu lazima tukubali kuwa kama nyama ni kwa ajili ya biashara, mchinjaji lazima awe muislam na hilo lisiwe na mjadala. Lakini mkristu atakae chinja na kupeleka nyama hiyo kwenye bucha la jumla/umma ni mharifu. Adhabu yake sio kukata mapanga na kumuua. Atakaye ua binadamu mwenzie sio muislam bali ni mharifu achukuliwe hatua za kisheria.
Wakristu hatuna sababu ya kulitumia hili la kuchinja kama chanzo cha kutetea imani yetu, hata hivyo hakuna amri ya Mungu hata moja inayosema, muumini ataingia mbinguni kwa kuwa aliwahi kuchinja mnyama kwa mikono yake. Tuachane na ukorofi usio na tija.
Mhhmm! Kuliko kutoa roho ya mtu kwa sababu za kupuuzi? Ingekatwa Shingo ya mama, baba, mdogo au mwana ungesema hayo? Hivi wewe ni great thinker kweli?:confused2:
Umeongea vizuri sana.swali langu moja tu.Ni nani mwenye haki ya kuchinja?
angalia hapo kwenye red, yaani wewe una matatizo makubwa, tena wewe ni muislam, acha kutuzuga hapa. kama huna cha kuongea you better keep quit!!!!!!
Fujo za Mbagala nilimsikia Rais akisema Aliyekojolea kuraani kakosea na aliyechoma makanisa kakosea - Rais alishindwa kumjua mkosaji na kumkemea. Akaamua kuwa Neutral.
Jana kuhusu mauaji ya Buseresere, Rais anasema wananchi wa imani tofauti wajenge kuvumiliana. Again hamjui nani anayestahili kukemewa. Akaamua kuwa Neutral.
Hivi kweli kauli hizi zinasaidia kitu? zinaweza kuzuia yaliyotokea yasitokee tena? Hivi kweli katika matukio haya Rais hajui nani anastahili kukemewa kulingana na katiba iliyopo?
Rais anamuoneaje aibu mhalifu na kunutralize issues kijuujuu. Rais unaposhindwa kutetea haki za kundi lililoonewa wananchi wanakujudge kuwa unabelong katika kundi la wachokozi/wahalifu. Haiwezekani ukawa neutral kama kiongozi asiyejua anachopaswa kukisimamia katika jamii anayoiongoza.
Mfano katika issue ya Buseresere ni nani alitakiwa amvumilie mwenzie? kwa nini Rais anatoa statements zinazotuacha hewani?
nitakula nyama nitakayonunua buchani sijiulizi wala cjali nani kachinja nitaitakasa kwa jina lipitalo majina yote na kuibariki kama itakuwa na mafungamano ya ibada za yoyote isiyo ya mungu ninayemuamini basi kwa jina YESU itatakaswa, tuache malumbano am,bayo kimsingi ni uhaba wa imani