JK kwenda Ufaransa leo

JK kwenda Ufaransa leo

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
aliyeongelea suala la medical checkup..je ni kwenda kuchekiwa au ni kwenda ku......... kuna tofauti ya kuchekiwa na kujulikana kuwa waumwa kitu flani so ukienda hospitali wafuata tiba tuu na sio kuchekiwa tenaaa

...maendeleo ya afya yake jamani, mwe!...😱

...hivi ule mpango wa viongozi 'kuruka' na helicopter uliishia wapi? angalau akiwa hayupo 'anapunguza' msongamano wa foleni Dar!
 
Ukweli wa mambo ni kwamba JK kwenda Rome ama Holy Sea ni kujibu tuhuma za udini ambao aliingia nao madarakani kwa teuzi zake . Habari toka Holy Sea zinasema kwamba Kanisa liliona hatua za makusudi za JK na teuzi zake za udini na ahadi yake ya Mahakama ya Waislam .Sasa aliitwa muda mrefu sana na sasa anaenda kujibu hili kwa kuwa Kanisa lilimkubalia kuwa Rais wa Watanzania na si washikaji na watu wa upande mmoja na madaraka .
 
teh teh ...mwalimu alishalizungumzia hili,mambo ya udini tuanchene nayo..tuzungumzie njia ya kuwachoma moto mafisadi!!!
 
Ukweli wa mambo ni kwamba JK kwenda Rome ama Holy Sea ni kujibu tuhuma za udini ambao aliingia nao madarakani kwa teuzi zake . Habari toka Holy Sea zinasema kwamba Kanisa liliona hatua za makusudi za JK na teuzi zake za udini na ahadi yake ya Mahakama ya Waislam .Sasa aliitwa muda mrefu sana na sasa anaenda kujibu hili kwa kuwa Kanisa lilimkubalia kuwa Rais wa Watanzania na si washikaji na watu wa upande mmoja na madaraka .

Hizi ndiyo habari za uzushi sasa!! Kwa hiyo hiyo sababu ndiyo inajustify safari yake??? Na huko Paris je, ameitwa kujieleza nini????
 
Habari ni kwamba. JK anaondoka leo kwenda Ufaransa. atafanya ziara huko na pia kabla ya kurudi nyumbani, atakwenda kuonana na PAPA Benedict.

Habari zaidi zitawajia baadaye
Hamna cha kushangaza wajameni mbona kaalikwa tu na waziri mkuu wa Italy, na offcourse ni moja ya majukumu ya rais kujega mahusiano mema na nchi nyingine diniani kote,sasa cha kushangaza ni nini?
 
... Enzi za JK Nyerere tuliwapokea 'vigogo' kama; Queen Elizabeth, Indira Gandhi, Pope John Paul nk, zama hizi 'madhali hawaji', bora rais awafuate huko huko!

Pope John Paul alikuja wakati wa Mwinyi, Sept 1990.
 
Pengine hii safari itamwamsha kidogo, kwani Papa atampatia Biblia ili aisome anaweza kuanza kuwashughulikia mabaradhuli. Wajuzi mchagulieni aanze kusoma waraka upi?
 
Pengine hii safari itamwamsha kidogo, kwani Papa atampatia Biblia ili aisome anaweza kuanza kuwashughulikia mabaradhuli. Wajuzi mchagulieni aanze kusoma waraka upi?

Umenichekesha sana hapo, By the time anafika City of Light anakuwa ameshasahau yote aliyoambiwa Eternal City..Kweli mambo ya around the world in 80 days.
 
Dua,
Akipewa Biblia aende matendo ya mitume 5. Hapo atasoma nguli mmoja enzi hizo kwa jina la Gamaliel alivyotumia busara ya kiwango cha juu kuamua mashtaka yaliyowakabili Petro na kundi lake. Kilio dhidi ya ufisadi ni kilio cha majority ya watanzania, hivyo kupuuzia kilio hiki inaweza kuwa kumpuuza mwenyezi Mungu.
 
2011tj0.jpg

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia nyama katika moja ya maduka ya kuuzia kitoweo hicho cha Ng'ombe lililopo katika soko la Buguruni jijini Dar es Salaam Septemba 17, 2007. Dk Shei yupo katika ziara ya siku tatu kukagua hali ya vyakula na bei katika masoko jijini humo.

Picha kwa hisani ya Father Kidevu

angemruhusu Dr Shein akaenda some of hizi safari ili naye apate allowances za kusafiri nje badala ya kuishia kwenda kwenye bucha za nyama... poor Shein
 
Pengine hii safari itamwamsha kidogo, kwani Papa atampatia Biblia ili aisome anaweza kuanza kuwashughulikia mabaradhuli. Wajuzi mchagulieni aanze kusoma waraka upi?

..na akipewa akaanza kuisoma,ndo hapo yale maneno ya kafri yataanza kuibuka tena!

..kwahiyo,quran haitoshi kumpa nguvu ya kushughulikia mabaradhuli?
 
lets not get this twisted people ! mambo ya dini yaongelewe kwenye dini. focus on the thread mzee !
 
Back
Top Bottom