Marais wa Naijeria wanakawaida ya kujipa uwaziri wa mafuta, kwani huwa hawamwamini mtu. Kwa Trend Hiyo Nadhani Mheshimiwa Kikwete anafaa kujipa Uwaziri wa Mambo ya Nje kwani anaonekana kutomwamini yeyote linapokuja suala la Nje!. Tusubiri tuone, labda mabalozi pia wameshindwa kazi!