Ahsante, kiatu cha kati nimekipenda sijui nikipate wapi nimtoe mr wangu akiwa na t'shirt na kadet yake safi kabisa! i like itahh wapi kakosea kuanzia juu mpaka chini
mazingira hayo unakwenda na mambo kama haya:
au rangi ya Brown
juu pia angepiga rangi ya Khaki