JK kwa pamba hawezekaniki

Zito sasa ndo anakimbiza bunge zima ila kwa dr. Hapana, dr. Yuko busy kusoma makabrasha hana muda wa shoping. ha ha ha ha!

Sipo hapa kujadili siasa...ukweli usiobishika ni kuwa JK hawezekaniki kwa pamba

kuanzai za kawaida suits mpaka kanzu (anakwenda kama Sheikh Mohammed wa Dubai

Post your pictures

in our expense

zitokabwemp_500x366.jpg
Hiyo na yenyewe

ange-balance looks na vitendo ingetusaidia zaidi. apearance yake inaweza kua muhimu kwa mkewe and associates, lakini sie watz tunahitaji uwepo wa tofauti. haina tofauti na mwanamke mrembo,msafi wa mwili na anayejualakini watoto wake hawana chakula,wana minyoo hadi nywele zimenyonyoka hawafanyi vizuri shuleni na pengine hawana hata ada na vitabu vya kiada! inakuwa useless tu!
Angalau mnapenda show anayowapa...maana msingependa uwepo wake pale usingekua na maana!

Sipo hapa kujadili siasa...ukweli usiobishika ni kuwa JK hawezekaniki kwa pamba

kuanzai za kawaida suits mpaka kanzu (anakwenda kama Sheikh Mohammed wa Dubai

Post your pictures

Hawekani kabisa kwa pamba, tena inamfanya atusahau hapa Tanzania kwa ma shopping ya nguvu ili aendelee kung'ara!

Why not, kwake maji yanatiririka bombani, umeme kwake unawaka, hakai foleni barabarani, watoto wanlipiwa na hela ya mlipa kodi IST, hajui gharama ya ball joints wala tyrod ends, akiumwa haendi muhimbili wala nini, hata akiumwa mafua, huyo SA, au marekani! Wache aendelee kuvaa hayo masuti ya nguvu, kwani si ameshachaguliwa?! Hata akitusahau na kusahau ahadi zake hewa kuna ubaya gani?! Kwanza ndio lala salama kwake, nani atamtoa madarakani?!

Thread ya ajabu kabisa hii, ndio maana tuko maskini na tunapata shida hapa nchini, huku tukiangalia sifa za kuvaa vizuri kwa viongozi wetu?!

BURE KABISA!

Sipo hapa kujadili siasa...ukweli usiobishika ni kuwa JK hawezekaniki kwa pamba

kuanzai za kawaida suits mpaka kanzu (anakwenda kama Sheikh Mohammed wa Dubai

Post your pictures

Yani umekaa ukakosa chakufanya ukaona uanze kumsifia mwanaume mwenzako mavazi je wake zake na mahawara wake watafanya nini?

Hawekani kabisa kwa pamba, tena inamfanya atusahau hapa Tanzania kwa ma shopping ya nguvu ili aendelee kung'ara!

Why not, kwake maji yanatiririka bombani, umeme kwake unawaka, hakai foleni barabarani, watoto wanlipiwa na hela ya mlipa kodi IST, hajui gharama ya ball joints wala tyrod ends, akiumwa haendi muhimbili wala nini, hata akiumwa mafua, huyo SA, au marekani! Wache aendelee kuvaa hayo masuti ya nguvu, kwani si ameshachaguliwa?! Hata akitusahau na kusahau ahadi zake hewa kuna ubaya gani?! Kwanza ndio lala salama kwake, nani atamtoa madarakani?!

Thread ya ajabu kabisa hii, ndio maana tuko maskini na tunapata shida hapa nchini, huku tukiangalia sifa za kuvaa vizuri kwa viongozi wetu?!

BURE KABISA!

Kweli mkuu na aliyeanzisha hii thread ajiangalie sana kwana fikra zake zimaishia anapoona kama kuku

Unaposema hawezekaniki kwa pamba unamfananisha na nani? Bila ushabiki na unazi mimi naona Lowassa pamba zake zaidi kuliko huyo mkwelee wenu!! Maasai anajua sana kuchagua na kuzivaa pamba kwa staili!!

ahh wapi kakosea kuanzia juu mpaka chini

mazingira hayo unakwenda na mambo kama haya:

KVx00.jpg

au rangi ya Brown

DSC_0025-500x332.jpg

image1xxl.jpg

5478FH9khaki.jpg

juu pia angepiga rangi ya Khaki

muanzisha thread we ni ally rhentullah nini? maana wanaume ambao ni fashion guru most of gthem are gays..

Back
Top Bottom