Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03
MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.
Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.
Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.
Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu, alisema.
Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Wanachangia?
Jambo wanalo fanya ni sawa na kibaka akikuibia laki yako mfukoni halafu anakurushia 500 ya nauli.
Bila kuzingatia ukweli wa mambo mtu atadhani kibaka yule ni mtu mwema kakupa 500.
Wametuibia Billlions of $$$ halafu wanatoa michango wa$300,000.00, kwa ujuha wetu tunawapigia makofi.
W&^%$)(*&#@&^(*%#@!F@**&^% $%#@*(%$ M#@!&^%$ wakubwa
P&%*u zao.
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03
MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.
Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.
Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.
"Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu," alisema.
Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
huko ndio JF inapoelekea....Wametuibia nini bwana?...Mandela kodi umelipa lini?..Na kuongelea michango/harambee ya CCM na budget ya nchi ni kuchanganya mambo...bila topic ya wizi hatuwezi kuongea hoja???
Pesa za kupigania vita comoro wanazo pesa za maendeleo ya watanzania hawana
Sishangai wanafanya Harambee sasa
JK naye yumo mulemule ndugu zangu, huyu ni mwanamtandao siku nyingi tu, ila anafanya usanii kwa sasa hivi
CCM ni chama cha amani kivipi, wakati kikiwa kama chama tawala cha nchi viongozi wake wakuu na makada wake wakuu wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na kupindisha sheria za nchi.
Amani hipi hiyo, huyu msanii anayozungumzia, wakati ni sasa tu ndugu zetu wapendwa wetu (Albinos) wanauwawa kila kukicha, sasa hapa amani hiko wapi, kwa maana hii mtu yeyote anaweza kuuliwa muda wowote hapa nchi
Amani hipi hiyo ambayo CCM imesimamia toka ichukue nchi hii, wakati, pakitokea mwananchi mwenye uchungu na nchi yake na msema kweli anayepinga uchafu unaofanya na serikali, mwishilio wake ni kifo kutoka serikali ya CCM.
Amani hipi hiyo kila kukicha masikini ambao wanasota kutafuta hata pesa ya kula mlo mmoja wanavamiwa na majambazi, vibaka kibao katika makazi yao? nba ushahidi unaonekana kuwa viongozi wakuu ndio wanao wapa support hao Majambazi (Nyari, Njake na KLM bus ni majambazi wakubwa wenye mchango mkubwa sana kwenye chama cha CCM)
Amani hipi hiyo isiyokuwa na sheria za kufuatwa, tumeona upindishwaji wa sheria kila kukicha, polisi wanapiga raia, wanajeshi wao ndo wanapiga wananchi kana kwamba wako vitani na raia wao (Dawasco), sheria zinapindishwa na kuwaacha wenye nazo
wakipeta (mtoto wa kienja, Ditopile, Mafisadi), ila zikichukua hatua kwa wanyonge.
Kwa haya machache huwezi kusema nchi inayo amani hata siku, ila kuna moto unawaka chini kwa chini iko siku utaibuka na ndo hapo mambo yatakuwa yamewiva, ndugu zangu
Pili kama kweli JK anaweza kuchangisha zaidi ya milioni 300 huko
Butiama kwa ajili ya chama chake, na ameshindwa nini kuzunguka Tanzania nzima akichangisha pesa hizo kwa ajili ya kujenga zahanati na maendeleo mengine kwa wananchi wa Tanzania na si kwa ajili ya wanachama wa CCM tu.
Kwa maana hii ni wazi kuwa Mh yuko kwa ajili tu ya chama chake na si kwa ajili ya wananchi wa Tanzania kwa ujumla, sasa kwa hali hii mnategemea maendeleo kwa kweli??
Ndo tulivyo na bila kushangaa 2010 wanashinda
mafi sadi machangisha nini bot zimeishaMwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03
MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.
Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.
Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.
Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu, alisema.
Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Samahani Jamani Naomba Kuuliza! Kwani Raisi Wa Nchi Analipwaje? Yaani Mshahara Wake? Na Ni Kweli Anaweza Kuchangia Kiasi Hicho Kwa Mshahara Wake? Na Hao Wachangiaji Wengine Wamepata Wapi Hizo Hela? Kweli Mishahara Yao Wanaweza Kutoa Hela Zote Hizoo? Anyways None Of My Business But I Hope Hao Watu Wachangie Na Mambo Mengine Kama Elimu, Afya, Chakula N.k