JK kachangisha milioni hizi, kwa nini tunaomba bajeti ichangiwe nje?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03

MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.

Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.

Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.

“Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu,” alisema.

Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
 
Pesa za kupigania vita comoro wanazo pesa za maendeleo ya watanzania hawana

Sishangai wanafanya Harambee sasa
 
Mafisadi kama Mkono kuchangia Mil. 50 si shida maana wameiibia serikali na anajua ni jinsi gani atazirudisha hizo pesa. Lazima watajikosha kwa kuchangia tu ili mradi Rais Kikwete kawaona wanachangia kisha aangalie jinsi ya kuwa-cover kwenye prosecution. Lakini pamoja na hayo JF itaendelea kuwaumbua tu.
Kwa nini huyo JK asiendeshe Harambee kama hizo kuchangia ununuzi wa madawa au ukarabati wa hospitali vijijini au wilayani????????????
 
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03

MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.

Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.

Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.

“Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu,” alisema.

Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Pumba topic, asichange sasa!!!
 
Wanachangia?

Jambo wanalo fanya ni sawa na kibaka akikuibia laki yako mfukoni halafu anakurushia 500 ya nauli.
Bila kuzingatia ukweli wa mambo mtu atadhani kibaka yule ni mtu mwema kakupa 500.
Wametuibia Billlions of $$$ halafu wanatoa michango wa$300,000.00, kwa ujuha wetu tunawapigia makofi.

W&^%$)(*&#@&^(*%#@!F@**&^% $%#@*(%$ M#@!&^%$ wakubwa

P&%*u zao.
 
Wametuibia nini bwana?...Mandela kodi umelipa lini?..Na kuongelea michango/harambee ya CCM na budget ya nchi ni kuchanganya mambo...bila topic ya wizi hatuwezi kuongea hoja???
 
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03

MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.

Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.

Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.

"Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu," alisema.

Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

UMECHEMSHA !
thumbs%20down.jpg

failed_1.jpg
 
Wametuibia nini bwana?...Mandela kodi umelipa lini?..Na kuongelea michango/harambee ya CCM na budget ya nchi ni kuchanganya mambo...bila topic ya wizi hatuwezi kuongea hoja???
huko ndio JF inapoelekea....
 
Pesa za kupigania vita comoro wanazo pesa za maendeleo ya watanzania hawana

Sishangai wanafanya Harambee sasa

Exactly !!! Yaani kwanza ni kiinimacho.Umesha ambiwa CCM mkowa wamrumia more than 300m kutengeneza ukumbi wa mkutano Butiama.Ina maana baada ya kuona wametumia kiasi hicho walikuwa watupu na imebidi sasa wazirudishe kwa njia hii .Hawachangishi kwa maendeleo ya wananchi hapana bali kwa CCM.JK kweli he is thinking low anadiriki kusema CCM ndiyo chama cha amani .We do we need that amani huku watu wanakula miziz na kufa bila ya uwezo wa kuzikwa na sanda achilia mbali jeneza ?Watoto wanasomea chini ? Migomo nchi nzima ?Ufsadi kila kona ?
 
JK naye yumo mulemule ndugu zangu, huyu ni mwanamtandao siku nyingi tu, ila anafanya usanii kwa sasa hivi

CCM ni chama cha amani kivipi, wakati kikiwa kama chama tawala cha nchi viongozi wake wakuu na makada wake wakuu wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na kupindisha sheria za nchi.

Amani hipi hiyo, huyu msanii anayozungumzia, wakati ni sasa tu ndugu zetu wapendwa wetu (Albinos) wanauwawa kila kukicha, sasa hapa amani hiko wapi, kwa maana hii mtu yeyote anaweza kuuliwa muda wowote hapa nchi

Amani hipi hiyo ambayo CCM imesimamia toka ichukue nchi hii, wakati, pakitokea mwananchi mwenye uchungu na nchi yake na msema kweli anayepinga uchafu unaofanya na serikali, mwishilio wake ni kifo kutoka serikali ya CCM.

Amani hipi hiyo kila kukicha masikini ambao wanasota kutafuta hata pesa ya kula mlo mmoja wanavamiwa na majambazi, vibaka kibao katika makazi yao? nba ushahidi unaonekana kuwa viongozi wakuu ndio wanao wapa support hao Majambazi (Nyari, Njake na KLM bus ni majambazi wakubwa wenye mchango mkubwa sana kwenye chama cha CCM)

Amani hipi hiyo isiyokuwa na sheria za kufuatwa, tumeona upindishwaji wa sheria kila kukicha, polisi wanapiga raia, wanajeshi wao ndo wanapiga wananchi kana kwamba wako vitani na raia wao (Dawasco), sheria zinapindishwa na kuwaacha wenye nazo
wakipeta (mtoto wa kienja, Ditopile, Mafisadi), ila zikichukua hatua kwa wanyonge.

Kwa haya machache huwezi kusema nchi inayo amani hata siku, ila kuna moto unawaka chini kwa chini iko siku utaibuka na ndo hapo mambo yatakuwa yamewiva, ndugu zangu

Pili kama kweli JK anaweza kuchangisha zaidi ya milioni 300 huko
Butiama kwa ajili ya chama chake, na ameshindwa nini kuzunguka Tanzania nzima akichangisha pesa hizo kwa ajili ya kujenga zahanati na maendeleo mengine kwa wananchi wa Tanzania na si kwa ajili ya wanachama wa CCM tu.

Kwa maana hii ni wazi kuwa Mh yuko kwa ajili tu ya chama chake na si kwa ajili ya wananchi wa Tanzania kwa ujumla, sasa kwa hali hii mnategemea maendeleo kwa kweli??

Ndo tulivyo na bila kushangaa 2010 wanashinda

Mie nimebaki kinywa wazi .Huu ni mchezo mchafu sana .I hope Watanzania watasimama nakukataa .
 
Hivi Wakati Anaenda Kuchangisha Hiyo Hela Wanaharakati Walikuwa Wapi Hawajasema Chochote Mpaka Hela Zinachangwandio Kelele Zaaza

Chamani Tujadili Vitu Vingine Vyenye Maendeleo Na Mantiki Kwa Nchi Yetu

Hiyo Michango Ni Ya Ccm Na Wanachama Wake

Sisi Ni Watanzania Tuangalie Tanzania Yetu Na Sio Ccm

Bila Sisiemu Ina Maana Hatuwezi Kujadili Ktu ??
 
Pale Lumumba Unaapa Kuitetea Ccm Kwanza Au Taifa ?

Nitatetea Na Kulinda Masilahi Ya Chama Changu Popote Na Kwa Njia Yoyote Ile

Nitaitetea Nchi Yangu Pia

Chamakwanza

Chamandiokimekufikisha Hapo Ulipo
 
Siamini Kama Ccm Ndio Imetufikisha Hapa Tulipo

Ina Maana Unavyofanya Kazi Au Baba Yako Alivyokuwa Anakulea Wewe Aliwekewa Nembo Na Ccm Kwamba Asifanye Hiki Nakile ?

Ni Yeye Mwenyewe Aliamua Hayo Yatendeke

Tunaposema Ccm Ndio Imefanya Haya Yote Hatuitendei Haki

Kila Mbuzi Atakula Kutokana Na Urefu Wa Kamba Yake
 
Mwandishi Wetu
Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03

MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa kukusanya Sh milioni 305. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais na Habari ilisema katika harambee hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Peninsula Beach Complex mjini Musoma Sh 50,600,050 zilikusanywa wakati ahadi ni Sh milioni 254.

Taarifa hiyo ilisema CCM mkoani Mara inakusudia kuzitumia fedha hizo kuendesha uchaguzi wa jumuiya mbalimbali za chama na pia kujenga jengo la kitega uchumi kukiwezesha kujitegemea katika fedha. Mbali na watu wengine Rais Kikwete ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM alichangia Sh milioni 15 na Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM) Nimrod Mkono Sh milioni 50.

Taarifa hiyo ilisema Rais Kikwete alihamasisha uchangiaji kwa kusema kuwa CCM ni chama kilichothibitisha kuwa kinaweza kutunza amani na hivyo kuchangia chama hicho ni kuchangia amani ya nchi.

“Kama mnavyojua ndugu zangu, chama chetu ni chama ambacho kimedumisha amani ya nchi hii, hivyo hata kwa wafanyabiashara kuchangia CCM ni kuchangia amani na hakuna lolote, ikiwamo biashara inayoweza kufanyika bila nchi kuwa na amani, kwa hiyo nawaombeni ndugu zangu kuchangia chama chetu,” alisema.

Mwenyekiti wa CCM yuko mkoani Mara kuhudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoanza jana mchana katika Kijiji cha Butiama alikozaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
mafi sadi machangisha nini bot zimeisha
 
Samahani Jamani Naomba Kuuliza! Kwani Raisi Wa Nchi Analipwaje? Yaani Mshahara Wake? Na Ni Kweli Anaweza Kuchangia Kiasi Hicho Kwa Mshahara Wake? Na Hao Wachangiaji Wengine Wamepata Wapi Hizo Hela? Kweli Mishahara Yao Wanaweza Kutoa Hela Zote Hizoo? Anyways None Of My Business But I Hope Hao Watu Wachangie Na Mambo Mengine Kama Elimu, Afya, Chakula N.k
 
Hivi kweli hiyo mil 15 aliyotoa JK ni fedha zake binafsi kutoka katika mapato yake binafsi? Yapi hayo? Maana kama kweli ni mapato binafsi ndio anayochanga kwenye harambee, sijui huyu muungwana anazo hela ngapi maana harambee kibao anaalikwa na kote anachanga. Nizungumzie "rais" kwa nafasi yake, anapaswa apate wapi pesa za kuchanga kwenye harambee? Wakati wa kuanzisha chuo kikuu cha Waislamu Morogoro, Rais Mstaafu Mkapa alichanga mil 10. Zilikuwa hela zake binafsi au ni hela za urais, yaani yeyote angekuwapo katika ofisi hiyo kipindi hicho angetoa kiasi hicho? Nataka kujua kama rais analo fungu la michango kama hiyo kwenye bajeti ya ofisi yake ama ni kweli ni hela zake binafsi kama wanavyotoa wachangaji wengine?
 
Kwa hapa tungemuliza kipaumbele chake ni CHAMa na sio budget,ndio maana anaona cham ni bora zaidi kuliko Budjet
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom