JK kaacha kishindo Dar?

Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi


Tumwagie mambo sasa!
 
Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi

Halisi be for real basi mbona umetuacha njia panda?!!!!
 
Nashangaa watu wanaoheshimika kwa vyanzo vya habari kwenye majukwaa leo wanakubali kudhalilika..
Mkjj, Halisi, kunani?...au waandishi mmepigwa stop kuingia kwenye conference?
 
Ni kweli kwa mujibu wa vyanzo vyangu lakini amesimamishwa boss wa TISS na si kufukuzwa. Huyu ni potential figure kiserikali ingawaje watu wanaweza kumpuuza. Sababu ni kuleak kwa siri kunakohusishwa na rushwa.
 
Naona kama vile tunakaribia Misri na Libya...tuko karibu nao kama pua na mdomo
 
Kama ni kweli RO katoswa, hili ni kubwa sababu zifuatazo:
-RO amekuwa analalamika sana kwenye korido kuwa ushauri anaompa JK hauheshimiwi, ni mbishi na anawaamini sangoma zaidi kuliko idara ya RO.
-RO ameonekana amechoka sana siku za karibuni na hata kutishia kujiengua yeye mwenyewe. Kama hii ni kweli, atakuwa amefurahi sana.
-Kuna watu ndani ya idara wamekuwa wanamkalia kooni kwa kudai hakustahili kuteuliwa yeye kwa nafasi hiyo. Yupo Prof mmoja wa Chuo cha Diplomasia, ndiye kinara wa movement hii na inasikika kuwa ndiye possible mteule.
-JK anamtuhumu RO kuwa amejiunga na kambi ya mzito fulani kwa mbio za 2015, na kambi hiyo si chaguo la JK.

Jamani hizi zote ni TETESI tu. Walioanzisha thread, watujuze kishindo ni kipi.
 
Duh Halisi na MMM mbona mmesepa wakuu?? Tunasubiri mtumwagie mambo hapa jamvini!!!!
 
Magogoni has proved over the past years that it is unable to execute decisions that are in the favor of national interest.

There is no KISHINDO, Magogoni is too predictable, so predictable that my friends in the media are well aware that the

so called BREAKING NEWS as long packed its bags and vacated the premises.

Dont get carried away by this thread!
 

Naanza kuukubali utabiri wa Sheikh Yahya Tartiiiibu,

Wadau mnaukumbuka??
 
jamani bado tuna hang kama nguo kwenye kamba, Halisi upo?
 

... kaenda France na vimwana wa kishindo ! Ebo?
 
Jamani,mnatulusha roho hebu tujuzeni jamani sie tulio huku Tanganyika,MM please hebu tupe hata Dodoso au amesema hatarudi si nimsikia kaenda ufaransa bora
 

Halaa kumbe huna uhakika !!!!.
 
Kishindo gani jamani! Tupeni taarifa jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…